Niliyoyaona baada ya kumiliki gari ya Mzungu

Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
Narudi tena...gari sasa ina mwaka na miezi 3..nimepiga nayo trip from nilipo to Arusha to DSM to huku nilipo...mwaka naaa...CV JOINT ndo zimeisha...sijabadili kitu kingine chochote

Ipo sokoni now...huku nnapokaa kipindi cha mvua barabara inaharibika na gari ipo chini..kupita ni changamoto ..nilishauriwa nisiinyanyue..nilipiga jiwe majuz kati nikatoboa sample...nashukuru ilichomelewa

Gari ya mzungu nikiendesha najiona niko salama kwa asilimia 99 nakwenda speed 180 baadhi ya maeneo ambayo barabara naifahamu ila ya mjapani we acha tu, roho inakuwa mkononi naogopa kwenda speed kubwa, sana sana naishia kwenye 140 kwa baadhi ya maeneo.
 
Nahamia Audi A8 before April
 
Hivi humu nani amenunua gari ya mzungu iliotoka ulaya? Maana 95% ya hayo magari ya kizungu yametengenezwa Japan na yamenunuliwa toka Japan...
 
Hivi humu nani amenunua gari ya mzungu iliotoka ulaya? Maana 95% ya hayo magari ya kizungu yametengenezwa Japan na yamenunuliwa toka Japan...

Swali zuri sana.

-Kaveli-
 
Kwaio mkuu unauza sh ngapi hii chuma? Na pia una mpango wa kurudi Japan...au unabaki huko huko kwa "The Bavarians" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi humu nani amenunua gari ya mzungu iliotoka ulaya? Maana 95% ya hayo magari ya kizungu yametengenezwa Japan na yamenunuliwa toka Japan...

Kwamba wananunua mtumba wa Ulaya uliotumika Japan? Why wasinunue mitumba ya Ulaya directly kule kule Ulaya?

-Kaveli-
 
Swali zuri sana.

-Kaveli-
Ngoja aje kutuambia hapa...sio wanajidai mjerumani mjerumani...wakati gari zinatoka Japan...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ inakuaje Mjerumani anamuamini Mjapan amtengenezee gari ...1πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwaio mkuu unauza sh ngapi hii chuma? Na pia una mpango wa kurudi Japan...au unabaki huko huko kwa "The Bavarians" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mpaka hapo huyo mwamba anajuta kuzifahamu chuma za Ulaya.

-Kaveli-
 
Kwamba wananunua mtumba wa Ulaya uliotumika Japan? Why wasinunue mitumba ya Ulaya directly kule kule Ulaya?

-Kaveli-
Naaam tena swali langu ni kwanini wananunua hayo magari ya kijerumani lakini yaliyotengenezwa Japan? Kwanini wasinunue huko huko ulaya i.e Uingereza maana ujerumani wao ni Left Hand Drive..kwaio alietoa gari ya kizungu direct ulaya ndo tunamtaka aje hapa...
 
Mpaka hapo huyo mwamba anajuta kuzifahamu chuma za Ulaya.

-Kaveli-
Unaweza kuta gari haijauzwa hadi leo...au kama imeuzwa ime depreciate mbaya...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaweza kuta gari haijauzwa hadi leo...au kama imeuzwa ime depreciate mbaya...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vipato vyetu hivi vya unga robo, nani anunue hiyo ndoa ya kivatican?!

-Kaveli-
 
Mzungu yupo vizuri kwenye comfortable na balance barabarani
 
Mbona wengi tu wanaagiza magari UK moja kwa moja? Na sijui kama kuna tofauti kubwa ya quality, ila tu mengi yanaouzwa Asia huko yanakuwa ni Petrol. Wengi walizoea huko Japan kwa sababu ndio soko lilikuwa accessible kirahisi na convenient zaidi toka miaka hiyo.
Mfano tu Australia, SA kuna viwanda vya TOYOTA na LR, Ford
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…