Niliyoyaona baada ya kumiliki gari ya Mzungu

Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
Mkuu, kuharibiwa kwa gari ni kawaida, lakini je, unapopata tatizo ulikuwa unatumia mafundi sahihi?
 
Bado asubuhi, zembea matunzo!
 
Uko sawia kabisa mkuu 100% mie nilianza na wazungu since 2007,sijahama mpaka hivi leo.
Huko ulipo no way lazima uwe na fundi kutoka nje ya hapo.
Ukitafuta fundi local ataua gari.
It happened to me once... na Sasa mafundi wa gari za mzungu wapo wengi tu... anasafiri chap anakuhudumia chuma kina simama mahali pake...
 
Weka picha tu nione ilivyo juu au chini
 
Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
Hahahahah
 
Asante kwa kushiriki mkuu, tunahitaji mashuhuda wengi zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Hapo chanzo kilikuwa nini boss?
Ila we mzee si wa TOURAGE wewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We mzee wa TOURAGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…