Niliyoyaona huku meatu

Kujifanya hujawahi kuishi wala kufika maeneo ya nje ya Dar au? Mie sipendi mtu anayeringa, !@#$%^&*
 
Nakubaliana na ww... Maendeleo bado SNA ...nmetembelea baadhi ya vijiji vya huko ki ukweli hali c nzuri SNA..lami imefika maswa.. Ujenzi unaendelea hadi bariadi mjn...maajabu nliyoyaona bariadi ni 'mbina'
 
Kujifanya hujawahi kuishi wala kufika maeneo ya nje ya Dar au? Mie sipendi mtu anayeringa, !@#$%^&*
Kwani umejuaje kama natokea dar?
 
Huu uzi bila kumuona Nyani Ngabu Wick

Shualina, usimsikilize huyo.

Ni mzushi.

Bariadi lami ipo. Fact.

English medium zipo. Fact.

Supermarkets zipo. Fact.

Kuna Wahaya na Wachaga wengi tu. Fact.

Watu hawaongei Kisukuma tu huko. Fact.

Na hata kama wote wangekuwa wanaongea Kisukuma, tatizo liko wapi?
 
Ndio mana nilikuwa nataka niwasikilize kwenye mji wenu Ngabu
 
Mkuu nimefika wilaya ya bariadi lami ipo na mwaka huu mama samia alienda kuizindua ila wilaya ya itilima bado ni kijiji ikifika jioni fisi ni kawaida
 
Huu uzi bila kumuona Nyani Ngabu Wick
CRDB au atasema ya wakulima!
NMB atasema ya waalimu

kuna Azania au ndio ya waendesha Baiskeli, lakini hata China wapo hawa!😎😎


Ooh nimesahau Mama Samia ana mtaa wake pia umeandikwa kizungu kwa waongea Kisukuma tupu (sijui wataelewa kilichoandikwa au ndio watapoteana).


Bebe kuna washamba wengi jijini na huko mijini kwingine wapo!. Hapo bado shule sijazilist!.
Kwa msaada wa Google
 

Hapo CRDB kuna barabara ya lami inaenda mpaka kule Somanda kanisani...

Halafu hapo benki ni karibu sana na kituo cha basi naposhukiaga kwenda nyumbani kwangu....
 
Hapo CRDB kuna barabara ya lami inaenda mpaka kule Somanda kanisani...

Halafu hapo benki ni karibu sana na kituo cha basi naposhukiaga kwenda nyumbani kwangu....
Ni ushamba wa mleta mada tu. watu tunaserereka Dar-Simiyu huku tukinunua vocha Tigopesa mpaka tunafika room!..
Anadhani yupo mikoa inayokimbizana na Lami mpaka leo!..
 
Fursa hiyo mkuu. Sema tulete pikipiki za kutosha. Mpya na used tuwakopeshe tupige hela
 
Dada wa bariadi hujambo?
 
Shunie mama njoo uone wasukuma wajanja huku!.. Achana na hao wanaotembelea koromije ya ndani ndani.

Dar-Simiyu ndani ya Najmunisa au Mombasa Raha.....wi-fi bure utadhani nipo ndani ya KLM...

Hahahaaa....huyo jamaa si ajabu hajawahi kufika Simiyu! Anapasikia tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…