Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaa naona jiwe gizani lamtoa mada limekupata barabaraKwenu ni wap yaan mkoa gan tuanzie hapo kwanza tujue unakotoka ili tukushambulie vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kipimo cha ustaarabu ni kutotumia baiskeli..??
Nakubaliana na ww... Maendeleo bado SNA ...nmetembelea baadhi ya vijiji vya huko ki ukweli hali c nzuri SNA..lami imefika maswa.. Ujenzi unaendelea hadi bariadi mjn...maajabu nliyoyaona bariadi ni 'mbina'Hakika katika mikoa ambayo bado kimaendeleo ni simiyu.
Nilipita bariadi hata lami bado, kutokea shinyanga. Pia katika wilaya ya itilima ni kama kijiji flani tu.
Nilipofika bariadi ni kisukuma tu kwa kwenda mbele.
Nipo meatu hapa, kidogo kumeendelea, lakini cha kilichonishangaza ni baiskeli inatumika kama bodaboda, yaani kupeleka abiria kwenda sehemu mbalimbali.
Kujifanya hujawahi kuishi wala kufika maeneo ya nje ya Dar au? Mie sipendi mtu anayeringa, !@#$%^&*
Huu uzi bila kumuona Nyani Ngabu Wick
Shualina, usimsikilize huyo.
Ni mzushi.
Bariadi lami ipo. Fact.
English medium zipo. Fact.
Supermarkets zipo. Fact.
Kuna Wahaya na Wachaga wengi tu. Fact.
Watu hawaongei Kisukuma tu huko. Fact.
Na hata kama wote wangekuwa wanaongea Kisukuma, tatizo liko wapi?
CRDB au atasema ya wakulima!Huu uzi bila kumuona Nyani Ngabu Wick
CRDB au atasema ya wakulima!View attachment 861577
NMB atasema ya waalimu
View attachment 861578
kuna Azania au ndio ya waendesha Baiskeli, lakini hata China wapo hawa!😎😎
View attachment 861579
Ooh nimesahau Mama Samia ana mtaa wake pia umeandikwa kizungu kwa waongea Kisukuma tupu (sijui wataelewa kilichoandikwa au ndio watapoteana).
View attachment 861580
Kuna washamba wengi jijini na huko mijini kwingine wapo!.
Kwa msaada wa Google
Ni ushamba wa mleta mada tu. watu tunaserereka Dar-Simiyu huku tukinunua vocha Tigopesa mpaka tunafika room!..Hapo CRDB kuna barabara ya lami inaenda mpaka kule Somanda kanisani...
Halafu hapo benki ni karibu sana na kituo cha basi naposhukiaga kwenda nyumbani kwangu....
Ni ushamba wa mleta mada tu. watu tunaserereka Dar-Simiyu huku tukinunua vocha Tigopesa mpaka tunafika room!..
Anadhani yupo mikoa inayokimbizana na Lami mpaka leo!..
Dada wa bariadi hujambo?Wewe ni muongo flan hv ameizing!
Maswa kuna lami ambayo inaanzia mwigumbi to bariadi. Bariadi kuna lami muda mrefu tofauti na maswa na lami ya bariadi inatokea lamadi.
Kwenye maendeleo kwa kweli maswa ndo iko nyuma naweza sema,,,bariadi kwa mkoa wa Simiyu ndo wanaongoza kwa maendeleo hasa kibiashara. Meatu nao hawako nyuma sana japokuwa bado
Tatizo la Mkoa wa Simiyu ,zamani watu waliachwa wakate miti hovyo hivyo kusababisha dalili za jangwa lkn chini ya jemedari Mkuu wa Mkoa Mtaka hakika SIMIYU Itakuwa juu
Bila kusahau...tuna viwanda mbalimbali katika Mkoa ,km vile kiwanda cha ngozi, kiwanda cha chalks, kiwanda cha kuchakata maziwa.
Kila jambo zuri huwa na mwanzo mzuri! Tunatarajia makubwa MKOA WA SIMIYU
Sent using Jamii Forums mobile app
Shunie mama njoo uone wasukuma wajanja huku!.. Achana na hao wanaotembelea koromije ya ndani ndani.
Atakuwa "mwanamme wa Dar" huyuhuyu ni lazima awe wa dar