Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenye mawazo kama haya kina Nzie ya Mana, na BuguchaHii post imehitimisha kila kitu.
Kuanzia sasa hata nikimwona mtumishi wa umma anaishi stand sitamdharau.
Hii serikali ya Tanzania ilishakufa. Haiwezekani umwajiri mtumishi hujui anaishi wapi halafu unampa majukumu ukimtaka awahi kazini.
Mtu akibahatika kuiba atajenga vikindu, Chanika, Kibada au Goba mwisho halafu kazini mbalimbali kinoma.
Hapo atakuwa anapiga timing aibe mzigo mwingine anunue usafiri.
Uko sahihi sana ndg,huyu aliyeleta huu Uzi kwanza sio mtumishi wa serikali na kama mtumishi utakuta anafanyia kaz TRA ambako wao national housing ambako mtu wa certificate analipwa mshahara wa mwl wa degree hapo mtakuwa sawa? Aache umama huyoHapo chini umemalizia kirahisi sana.
Wote wakifuga kuku wanunuzi watatoka wapi?.
Hali ngumu za Watanzania huanzia mbali mkuu.
Mnyororo wa matatizo huanza day one ya kuajiriwa.
Mfano baadhi ya waalimu huanza kazi bila pesa ya kujikimu na baadhi hulalamika kuwa mishahara ya awali huchelewa sijui hadi waingizwe kwenye system ya malipo.
Kwa hali hiyo mikopo huanza day one ya ajira:
1. Nauli mkopo
2. Chumba cha kupanga mkopo
3. Mahitaji ya kila siku mkopo
4. Mshahara wa kwanza unaanza kulipa madeni, sijui kugawana wazazi na ndg...aaah
Nchi ngumu sana hii
Ukishaipokea ukaenda kwa wakala kuitoa kwa simu unakatwa ngapi?Kwa card ukitumia app yao 100k unakatwa buku hivi.
Usitoe na likadi au 150.
Tumia app crdb makato ni sawa na bure
Hawa watu wametoka familia bora akina lizione huyo atapata tabu wapi? Kuna watu wanaropoka katika kutoa kauli zao juu ya watumishi,watumishi wrngi n tegemez huwez kujaji kitu kama hujafanya tafiti! Mwl wa degree aliyefanyq kaz zaid ya miaka 10 mshahara wake sawa na mtumishi wa certificate anaefanyia kaz TRA,TANESCO,NHC Sasa hapo mtakuwa sawa? Wache kuwasema vibaya Hawa watumishi jamaniTungejua background ya baadhi ya hao watu na jinsi wanavyokomaa na extended families. Muda mwingine ni kufumba mdomo tu.
Mwingine akipata mshahara 80% unaishia kwenye starehe ni tofautina hawa wenzetu.
Wengi wao mnaowaona kwenye foleni hawajui starehe 90% ya mshahara unaushia kusolve matatizo ya familia. Na wengi wao ndio wale wametoka familia zetu hizi za kimasikini upande ya nyumbani wanamuangalia yeye na upande wa mke wanamuangalia yeye na ukiangalia mshahara wenyewe hauwezi kukidhi mahitaji yote basi ni madeni na shida za kutosha.
Na pia sio kwamba wanapenda ile hali there is no way out. Haiwezekani eti wale wote wamekosa akili but ukikaa nao wakakupa maswaibu yao unabaki tu kuwaombea Mungu awape wepesi coz wanapambana mno kuendesha familia zao ni tofauti kabisa wengine waliozaliwa na "Silver Spoon"
Na wahanga wakubwa kwenye hii kadhia ni walimu sababu ndio kada yenye watumimishi wengi. Mtu akiangalia foleni atasema tu wale ni walimu but humo humo kuna manesi, watendaji, watu sijui wa kilimo n.k
Way forward nafikiri njia pekee ni SERIKALI kuendelea kuongeza mishara kila mwaka km alivyokuwa anafanya mzee wa msoga, nafikiri itapunguza hii changamoto ya ukali wa maisha kwa baadhi ya watumimishi wake.
Hilo sio swala la Rais kukomesha umaskini na ufukara. Yeye kashamaliza jukumu lake la kukulipa SALARY. Sasa kazi ipo kwako kujikwamua na umasikini na decession ya unakuwa tajiri au maskini inaanza pale tu message ya mwamala inaposoma. Elimu kuhusu pesa(Financial Literacy) ni ndogo sana kwa watu wetu, ndio maana unayaona yote hayo.Yataisha.
I hope
Atafika Rais atakayekomesha umaskini na ufukara wa watumishi
Tat Mtu kama ana number ya Account anaenda kutolea Ndani ya BankPili mtu anaweza kuripoti kuwa kapoteza kadi then akapewa nyingine[emoji23]
Kwa hili uliloandika kama ni sawa nadhani ni muhimu kuweka utoaji ukalingana ili kuvutia watu kutumia njia nyingine. Ila katika hili sote tunajuwa ATM haziko kila sehemu lakini mawakala kila mtaa uhitaji hata gari kufika kwa wakala sasa kama tofauti 1200 ili kuifuata ATM si utahitaji usafiri kwa maana kuna gharama hapo nakwenda kwa wakala jirani zero cost. Kama ulivyosema kupanga ni kuchagua lakini kwa mimi najuwa kuzifuata ATM ni gharama pia siku zote naenda kwa mawakala.Kutoa wa wakala
KIASI GHARAMA
100,000 4,800
Kutoa kwa ATM
100,000 1,200
Kupanga ni kuchagua.
Muda kitu gani bana sisi wananzengo hatunaga Hayo mambo ya muda. Kama ufugaji kuku ni dili mbona huachi hicho kibarua cha ulinzi kulipwa 80k kwa mwezi uwekeze huo muda kwenye kuku? Sema tu ulichelewa foleni hapo.Nilikuwa napita jioni kuelekea job. Si mnajua night shift zetu walinzi ndugu zangu. Nilikuwa nimempa lift mfanyakazi mwenzangu tukitokea Chanika.
Sasa nafika NMB Gongolamboto nikiwa barabarani jamaa akaniambia ona ile foleni, nikacheki kushoto nakuta foleni ya haja. Nikakumbuka kuwa ni tarehe ya mshahara. Mimi tayari nishatoa kwa simu, nina karibu mwaka siijui ATM machine.
Kwanini niseme niliyoyaona ni aibu kwa watumishi wa umma?
1. Hivi enzi hizi bado mtu na akili zake timamu anapoteza muda kwenye foleni huku makato ukitoa kupitia internet au sim banking yanalingana. Huu muda unaopotea kuokoa mia 4, buku au mia 5 mtu haoni ni hasara.
2. La pili linalotia aibu ni kwamba watumishi wengi wameambatana na wadeni wao ambao ndio walimiliki ATM card zao mpaka siku ya mshahara.
Jamaa yangu aliniambia wale waliokaa kwenye mawe ni wadau wanaowakopesha watumishi na kumiliki kadi zao na kuwapa siku ya mshahara wanapokutana kwenye ATM.
Nikafanya utafiti kuhusu hilo na kujihakikishia kuwa ni kweli. Aibu hii itaisha lini?
Serikali ipeleke wataalamu wa fedha na uchumi kwenye taasisi zake ili kuwafunda watumishi. Pamoja na maslahi ndogo ila mambo mengine yanatokana na ujinga (kukosa elimu ya kiuchumi na fedha) kwa watumishi.
Mtu anashindwa hata kui sacrifice laki 3 kujitosa kwenye ufugaji wa kuku. Aibu.
Kwamba ukitoa kwa SIM BANKING makato yanalingana????Nilikuwa napita jioni kuelekea job. Si mnajua night shift zetu walinzi ndugu zangu. Nilikuwa nimempa lift mfanyakazi mwenzangu tukitokea Chanika.
Sasa nafika NMB Gongolamboto nikiwa barabarani jamaa akaniambia ona ile foleni, nikacheki kushoto nakuta foleni ya haja. Nikakumbuka kuwa ni tarehe ya mshahara. Mimi tayari nishatoa kwa simu, nina karibu mwaka siijui ATM machine.
Kwanini niseme niliyoyaona ni aibu kwa watumishi wa umma?
1. Hivi enzi hizi bado mtu na akili zake timamu anapoteza muda kwenye foleni huku makato ukitoa kupitia internet au sim banking yanalingana. Huu muda unaopotea kuokoa mia 4, buku au mia 5 mtu haoni ni hasara.
2. La pili linalotia aibu ni kwamba watumishi wengi wameambatana na wadeni wao ambao ndio walimiliki ATM card zao mpaka siku ya mshahara.
Jamaa yangu aliniambia wale waliokaa kwenye mawe ni wadau wanaowakopesha watumishi na kumiliki kadi zao na kuwapa siku ya mshahara wanapokutana kwenye ATM.
Nikafanya utafiti kuhusu hilo na kujihakikishia kuwa ni kweli. Aibu hii itaisha lini?
Serikali ipeleke wataalamu wa fedha na uchumi kwenye taasisi zake ili kuwafunda watumishi. Pamoja na maslahi ndogo ila mambo mengine yanatokana na ujinga (kukosa elimu ya kiuchumi na fedha) kwa watumishi.
Mtu anashindwa hata kui sacrifice laki 3 kujitosa kwenye ufugaji wa kuku. Aibu.
Ukiwa na mradi wowote, hutaweza kupoteza muda kukaa foleni ili ukatoe laki kadhaa kwenye ATM.Kwamba ukitoa kwa SIM BANKING makato yanalingana????
Kwamba unapaswa kusucrifuce laki 3 uanze kufuga kuku ili usiende Bank kupanga foleni???
Mbona wewe ndio unaonekana huna akili
Tafuta kazi ya kufanya ili uhangaisheena maisha ya watu wengine kwa kujipa umuhimu sana wa ratiba za watu.Ukiwa na mradi wowote, hutaweza kupoteza muda kukaa foleni ili ukatoe laki kadhaa kwenye ATM.
Utaenda muda unaotaka wewe na si ikiingia tu umo.
Acha wendawazimu fanya biashara ili usiutie aibu utumishi wa umma
Hapo tatizo sio ku-sucrifice shs 300000/= na kuingiza kwenye ufugaji, tatizo hapa ni riba na jinsi ya kutumia hela ya mkopo.Nilikuwa napita jioni kuelekea job. Si mnajua night shift zetu walinzi ndugu zangu. Nilikuwa nimempa lift mfanyakazi mwenzangu tukitokea Chanika.
Sasa nafika NMB Gongolamboto nikiwa barabarani jamaa akaniambia ona ile foleni, nikacheki kushoto nakuta foleni ya haja. Nikakumbuka kuwa ni tarehe ya mshahara. Mimi tayari nishatoa kwa simu, nina karibu mwaka siijui ATM machine.
Kwanini niseme niliyoyaona ni aibu kwa watumishi wa umma?
1. Hivi enzi hizi bado mtu na akili zake timamu anapoteza muda kwenye foleni huku makato ukitoa kupitia internet au sim banking yanalingana. Huu muda unaopotea kuokoa mia 4, buku au mia 5 mtu haoni ni hasara.
2. La pili linalotia aibu ni kwamba watumishi wengi wameambatana na wadeni wao ambao ndio walimiliki ATM card zao mpaka siku ya mshahara.
Jamaa yangu aliniambia wale waliokaa kwenye mawe ni wadau wanaowakopesha watumishi na kumiliki kadi zao na kuwapa siku ya mshahara wanapokutana kwenye ATM.
Nikafanya utafiti kuhusu hilo na kujihakikishia kuwa ni kweli. Aibu hii itaisha lini?
Serikali ipeleke wataalamu wa fedha na uchumi kwenye taasisi zake ili kuwafunda watumishi. Pamoja na maslahi ndogo ila mambo mengine yanatokana na ujinga (kukosa elimu ya kiuchumi na fedha) kwa watumishi.
Mtu anashindwa hata kui sacrifice laki 3 kujitosa kwenye ufugaji wa kuku. Aibu.
Wafanyakazi wengi hawana ujanja huoHivi najiuliza kitu, ni kweli wengi huwa wanakopa na kuwekeza kadi za benki, sasa ikatokea nineunganisha simbanking na nikakopa nikaweka kadi mwisho wa siku mkopeshaji anabaki na kadi isiyo na msaada.
Wanafanyaje kuepuka kupigwa hawa wakopeshaji?
Hii ni kweli, kama wamezaliwa na Mama mmojaWalimu kwa mfano hua wanapenda sana kupanga foleni. Ni hobby yao hata ukiwawekea options 90 watakusanyana watiane ujinga weee wote watachagua option moja wakajazane ili wapange foleni.
Et Westlife 😄😄😄😄Ile mbaya sana hapa mabibo mabibo watu walikuwa tumepanga sasa vile mishemishe za hata vibaka wanajua madogo wamepata pesa ...Aisee zile phase za boom kila phase utasikia mwanachuo fulani kakabwa kaibiwa pesa unakuta mtu laki tano katoa yote na Wana sijui Kuna watu walikuwa wanauza ramani yaani watu walishavamiwa mpaka getto kutemeshwa pesa zote..Kuna mwana alikuja katwa kidole cha mguu mpaka akaonyesha pesa alikuwa anakaa mabibo karibu na manzese.
Watu walikuwa kama west life siku ya boom wanatembea makundi makundi huko ubongo wanajazana kweny mabar ukija manzese na sinza ndo usiseme.