Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

Safari hii imekula kwake....
Vijana lazima wajifunze, mtu miaka 10 kwenye timu yet anabehave kama mtoto mdogo.
Aende tu huko yanga, ambako labda wataruhusu mchezaji anayejipangia ratiba,
Yanga wenyewe hawamchukui
 
Mkuu ubora wako wa hao wachezaji wa Yanga unawapimaje? Au unawapima kw mechi ya Simba na Yanga tu?
- Mwanafunzi kipimo cha ubora wake ni kupata matokeo mazuri ya mtihani wa mwisho.

-Ubora wa kisu kikali ni kukata nyama kwa haraka.

Vivyo hvy kwenye soka:
Beki bora hupimwa kwa idadi ndogo ya magoli iliyoruhusu.

Forward bora hupimwa kwa idadi ya magoli iliyofunga.

-Viungo bora hupimwa kwa idadi ya nafasi walizotengeneza.

- Na team bora hupimwa kwa mafanikio katika mashindano mbalimbali.

Sasa embu chukua Simab na Yanga kitakwimu katika overall competition na quality ya mchezaji mmj mmj kisha jibu kaa nalo mwenyewe.
 
Kweli tupu
Japo
Kigoma wacheze striker wawili Boko na Mugalu
Morison aanzie bennchi hata chama pia anaweza ingia sec half
 
basi tufanye 1-1
balo kamwe s
 
Umeandika vzur ila kuna sehem mwsho umeandika vitu vya kufikilika ni wajbu na ni kawaida kwa binadam kusifiwa au kupewa pongez pale anafanya jambo zur au kitu sahihi pia ni ivyo ivyo kwa binadam kusemwa au kukosolewa pale anapofanya vibaya ktk jambo au kitu fulan iwe kwa bahat mbaya au makusud sasa sasa kusema Morison angefunga au penat ingetolewa tungesema nn kama ivyo vtu vingefanyika bas tungesifia na tungewapongeza na ndio maana apa kuna watu wanaipongeza yanga kwa uchezaj aijalish walizuia au walipata gol la aina gan ile nguvu juhud na kujitoa kwao ad kufanikisha ayo ni haki yao kupongezwa ukijumlisha na ,tukirud kwa simba naona sahihi kuwalaum kuanzia kocha ad wachezaj maana makosa yao ndio yamepelekea kufungwa haijalish walifungwaje na kiukwel kama mfuatiliaj wa mechi za simba mechi zao nyng ambazo wanafungwa asa asa na yanga au timu kubwa asilimia karbu 60 ni uzembe wa wachezaj na kocha wao alaf ndio inakuja bahat uwez kucheza daby au mech kubwa alaf unakosa nafas zaid ya nne za waz huo ni uzembe tumesema kila siku simba wajaribu kurekebisha kutumia nafas za kufunga kuna mechi unapata nafas moja au mbil ukikosa umekwenda na maj ndio aya ya simba ya jana,kama tunawapa sifa tunawapongeza wakishinda au wakifanya vzur bas pia wakosolewe wakikosea
 
Nafatilia Point zako mkuu.. Uko sahihi

Kujilinda kwa Yanga bado hakukuzuia Simba Kupata Nafasi.. Washambuliaji wa Simba hawakua Makini tu.

Na kama nafasi zile za wazi Simba angefunga .. Yanga wangelaumiwa kupaki Bus kipindi kizima.
 
Yanga hamna Timu ya Ubingwa... Labda Mjipange msimu ujao.

Hata Ruvu shooting alimfunga Simba
 
Naungana na wewe upande wa Manara. Kama Simba inataka kuwa klabu kubwa Afrika iachane na mpayukaji. Huwezi kuwa na msemaji anayeharibu saikolojia ya wachezaji kwa kuwajaza ujinga.
Bora Boko awe nahodha na msemaji wa timu maana ana busara.
Mbona Yanga hayupo Manara na Hamna lolote huko Afrika

Au Yanga hawataki kuwa Big team Africa??
 
Pale Yanga hao wazawa wanaoanza ndio bora kuliko Wageni Wanaobaki nje
 
Ngoja sisi tubebe kombe ..Wao wambebe Carlinho[emoji1787][emoji1787]
 
Labda wewe boya angalau umepata pa kujifariji,lakini ndio hivyo mpaka umetengua kauli. “Ubingwa hauna maana bila kuifunga Yanga”
Tunabeba Ubingwa.. wewe unabeba nini?

Unayajua Mafanikio ya klabu?
Mukoko,Feisal,Tuisila, wapo Yanga kuipa Timu mafanikio sio blaa blaa
 
Una elimu gani?
 
Hata wachezaji wa Yanga wenyewe watakushangaa, ukiwaambia wao ni bora kuliko simba.
Siku zote timu bora ndiyo inayoshinda. Simba mnapenda kujikweza, lakini kiufupi mna timu ya kawaida sana! Na inakabika kwa urahisi mpaka basi.

Kwa kikosi cha Yanga, nawahakikishia hata mcheze nao mara 100, bado mta struggle tu kupata matokeo!
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Hata mkiamua kuwachezesha washambuliaji wenu wote kama jana! Bado kipigo kiko pale pale!!! Hadi pale dharau zitakapo waisha.
Hope kipindi cha pili ulikiona kwa uzuri 2 clear goals simba walokosa
Achana na kosa kosa ya boko, kagere na miq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…