Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

Safari hii imekula kwake....
Vijana lazima wajifunze, mtu miaka 10 kwenye timu yet anabehave kama mtoto mdogo.
Aende tu huko yanga, ambako labda wataruhusu mchezaji anayejipangia ratiba,
Yanga wenyewe hawamchukui
 
Hata mechi ijayo tuna uwezo wa kuwafunga. Mechi ya mwisho ya sare, mlisawazasha dk ya 89 ya mchezo! Na kwa taarifa yako, Yanga siyo timu dhaifu hata kidogo.

Wachezaji wa Yanga wana ubora kuliko hata hao wa Simba! Kinacho ikumba Yanga ni ukosefu tu wa morali kwa baadhi ya wachezaji, na hasa wale wenye kudai malimbikizo ya mishahara, nk!

Siku zote mashabiki wa simba akili zenu zimeshikiliwa na yule mvuta bangi wenu Haji Manara, anayependa kucheza mpira nje ya uwanja! Huku Yanga ikiwekeza nguvu kubwa ndani ya uwanja! Na mkiendelea kumuendekeza, tutawafunga kila siku.
Mkuu ubora wako wa hao wachezaji wa Yanga unawapimaje? Au unawapima kw mechi ya Simba na Yanga tu?
- Mwanafunzi kipimo cha ubora wake ni kupata matokeo mazuri ya mtihani wa mwisho.

-Ubora wa kisu kikali ni kukata nyama kwa haraka.

Vivyo hvy kwenye soka:
Beki bora hupimwa kwa idadi ndogo ya magoli iliyoruhusu.

Forward bora hupimwa kwa idadi ya magoli iliyofunga.

-Viungo bora hupimwa kwa idadi ya nafasi walizotengeneza.

- Na team bora hupimwa kwa mafanikio katika mashindano mbalimbali.

Sasa embu chukua Simab na Yanga kitakwimu katika overall competition na quality ya mchezaji mmj mmj kisha jibu kaa nalo mwenyewe.
 
Mimi nimekuwa sikubaliani na upangaji wa timu wa huyu kocha kwa muda sasa. Kule south na KC alipanga list ya hovyo. Leo tena kapanga list ya hovyo. Lwanga angeenda na Muzamiru na Morrison angeanzia bench.

Ukicheza ki-Yanga Yanga huwezi kuwafunga Yanga. Mpira wa pasi nyingi huwafanya Yanga kuchanganyikiwa siku zote. Alikuja kuharibu game alipoongeza sriker wa tatu. Mfumo gani huu wa kipumbavu!!!

Alikuwa na option ya Ndemla baada kutoka Chama ambaye namsamehe kutokana na maswahiba yaliyomkuta. Kitendo cha kuchezesha wachezaji hao hao kila siku mimi binafsi sikipendi. Kweli kocha hapangiwi timu lakini kwa leo ametuangusha. Na maana hiyo ninam-miss sana Sven ambaye asingepanga magorofa matatu pale mbele ambayo hayana mbinu za kiufungaji.

Tatizo la kupoteza nafasi za wazi limekuwa ni tatizo sugu katika safu ya ushambuliaji ya Simba. Katika kila mechi atayocheza Simba iwe ya ndani au ya kimataifa, Simba hupoteza nafasi si chini ya nne katika kila mchezo. Kuna game inahitaji upate nafasi moja na uitumie. Sasa hata kama tunafunga tatu bila na kupoteza saba za wazi, ipo siku uta pay the price na hicho ndicho kilichotokea kwenye game ya leo.

Trust me, mechi ya Kigoma itakuwa ni ngumu zaidi ya hii leo na kama Simba itaanza na mtindo wake wa slow start na kuamka baada ya kufungwa goli, tutegemee matokeo kama haya kwani kwa maoni yangu naona Yanga wako vizuri kwenye viwanja vibovu kuliko sisi kutokana na nature ya mpira wao. Kwa hiyo inabidi tujipange kweli kweli huko Kigoma.
Kweli tupu
Japo
Kigoma wacheze striker wawili Boko na Mugalu
Morison aanzie bennchi hata chama pia anaweza ingia sec half
 
Katika point zako zote point ya maana sana ni ya kupoteza nafasi na ni wazi Simba ilipata nafasi za wazi nyingi zaidi kuliko hata hao Yanga lakini matumizi ya nafasi hizo ndiyo yalinishangaza.

Haya twende kwa Yanga , unaweza kuniambia ikiwa Yanga walicheza vizuri zaidi walipata clear chances ngapi na walikosa ngapi na kwa nini?

Maana kuna shida naiona katika uchambuzi wa kibongo yaani timu ikiconced goli tu anaanza kulaumiwa kocha ohh angempanga huyu au yule hapa tu unaongea eti Nyoni ni mbovu mara angeanza mzamiru ila umesahau mzamiru ana udhaifu wake ambao mechi kadhaa anauonesha nao ni kupoteza pasi nyingi japo ana ubora wake mkubwa kwenye ukabaji (kupora mipira haraka) at the end game imeisha Morison akiwemo na alicheza alivyoweza.Kumbuka Simba wanacheza mpira endelevu yaani wa kitabuni Yanga wanakamia tu cos wanatambua wana madhaifu mengi tu.

Kuhusu Sven , ndo huyo huyo mliyemlaumu daily ohh anapanga mshambuliaji mmoja , mara timu haifungi magoli mengi yaani sijui tunapenda nini kwa kweli ,hivi unaweza kwenda kuwaambia watu eti Yanga walikuwa bora zaidi ya Simba uwanjani kisa wamefunga tena a deflection ball goal yaani hicho ndicho kipimo kweli? [emoji23] unadhani watapata hizo deflection goals siku zote brother sahau hilo.

Mazoezi kuwa wazi sio sababu kama ingekuwa Sababu basi Yanga alipaswa ashinde goal 5 alipe kisasi cha miaka ile basi.Chambueni kiutu uzima sio blahblah nyingi kama hizi mnaharibu uhalisia ndiyo maana Yanga huko CAF kaenda mara nyingi than simba ila ana mafanikio kiduchu ukilinganisha na Simba kwa kuwa tu many times wanacheza kumkamia Simba while Simba ashavuka steji hiyo.

Ngoja tuone hizi next two games nani atakuwa mbabe huenda kila siku watapata deflection ball jambo am
basi tufanye 1-1
balo kamwe s
 
Mkuu me nakuunga mkono na miguu kabisa kwa hoja yako, Simba kama team ipo vzr mno, tatizo kwa Simba lipo katika kupanga mikakati kabambe ya derby, kwa Yanga mechi ya Derby inachezwa nje na ndani, Simba ni tofauti sana. Na ndy maana hata Yanga waliingilia mlango ambao haukuwa rasmi, wakiamini mambo ya ulozi.
Umeandika vzur ila kuna sehem mwsho umeandika vitu vya kufikilika ni wajbu na ni kawaida kwa binadam kusifiwa au kupewa pongez pale anafanya jambo zur au kitu sahihi pia ni ivyo ivyo kwa binadam kusemwa au kukosolewa pale anapofanya vibaya ktk jambo au kitu fulan iwe kwa bahat mbaya au makusud sasa sasa kusema Morison angefunga au penat ingetolewa tungesema nn kama ivyo vtu vingefanyika bas tungesifia na tungewapongeza na ndio maana apa kuna watu wanaipongeza yanga kwa uchezaj aijalish walizuia au walipata gol la aina gan ile nguvu juhud na kujitoa kwao ad kufanikisha ayo ni haki yao kupongezwa ukijumlisha na ,tukirud kwa simba naona sahihi kuwalaum kuanzia kocha ad wachezaj maana makosa yao ndio yamepelekea kufungwa haijalish walifungwaje na kiukwel kama mfuatiliaj wa mechi za simba mechi zao nyng ambazo wanafungwa asa asa na yanga au timu kubwa asilimia karbu 60 ni uzembe wa wachezaj na kocha wao alaf ndio inakuja bahat uwez kucheza daby au mech kubwa alaf unakosa nafas zaid ya nne za waz huo ni uzembe tumesema kila siku simba wajaribu kurekebisha kutumia nafas za kufunga kuna mechi unapata nafas moja au mbil ukikosa umekwenda na maj ndio aya ya simba ya jana,kama tunawapa sifa tunawapongeza wakishinda au wakifanya vzur bas pia wakosolewe wakikosea
 
Baada ya sub za Simba Yanga walikuwa bora zaidi ya Simba?

Mbona game kadhaa tunacheza hivyo hasa tunapokuwa tunahitaji goli zaidi? Kimahesabu Yanga hawakuwa bora kwenda mbele ndiyo maana Kocha aliweka watu wengi wa kushambulia mbele cos nyuma kulikuwa na watu wengi upande wa Yanga ,he was right na ililipa japo goli halikupatikana kama Yanga wangepata goli la pili kwa mapungufu ya uwanjani basi ungesema sub imetuua ila haikutokea hivyo.Kama sub ya Simba ilikuwa mbovu mbona Yanga hawakuwawin Simba tena kupitia udhaifu huo? Tazama Chiefs walivyotumia udhaifu wa sisi kushambulia na kuwa walegevu kurudi kukaba tulikula 4 hiyo ndiyo huitwa matumizi ya udhaifu wa mpinzani.Mpinzani hawezi kuwa dhaifu afu clear chances hujapata.

Sema Yanga akikuwa bora kwenye nini hadi akapata matokeo yale na Simba sijaona udhaifu mkubwa cos kama ni loose balls timu yoyote ile inaweza kufungwa from far kwa situation ya jana ya goli wala hiyo haiwezi kuprove ubora wa timu.

Ubora wa timu unazingatia utengenezaji wa nafasi na kuzitumia , wewe sema Yanga walitengeneza nafasi ngapi na walitumia ngapi maana hata ya Zawadi ni loose ball sio created chance cos hakuwa assisted na mchezaji wa Yanga.Wachezaji wa Simba walijipanga kwa usahihi nyuma ila mpira ulimgonga mchezaji ukaenda upande ambao golikipa hakuwa na cha kufanya.

Tatizo la bongo kila timu inayoshinda ndiyo bora na hapo ndipo mwanzo wa matatizo.
Nafatilia Point zako mkuu.. Uko sahihi

Kujilinda kwa Yanga bado hakukuzuia Simba Kupata Nafasi.. Washambuliaji wa Simba hawakua Makini tu.

Na kama nafasi zile za wazi Simba angefunga .. Yanga wangelaumiwa kupaki Bus kipindi kizima.
 
Hata mechi ijayo tuna uwezo wa kuwafunga. Mechi ya mwisho ya sare, mlisawazasha dk ya 89 ya mchezo! Na kwa taarifa yako, Yanga siyo timu dhaifu hata kidogo.

Wachezaji wa Yanga wana ubora kuliko hata hao wa Simba! Kinacho ikumba Yanga ni ukosefu tu wa morali kwa baadhi ya wachezaji, na hasa wale wenye kudai malimbikizo ya mishahara, nk!

Siku zote mashabiki wa simba akili zenu zimeshikiliwa na yule mvuta bangi wenu Haji Manara, anayependa kucheza mpira nje ya uwanja! Huku Yanga ikiwekeza nguvu kubwa ndani ya uwanja! Na mkiendelea kumuendekeza, tutawafunga kila siku.
Yanga hamna Timu ya Ubingwa... Labda Mjipange msimu ujao.

Hata Ruvu shooting alimfunga Simba
 
Naungana na wewe upande wa Manara. Kama Simba inataka kuwa klabu kubwa Afrika iachane na mpayukaji. Huwezi kuwa na msemaji anayeharibu saikolojia ya wachezaji kwa kuwajaza ujinga.
Bora Boko awe nahodha na msemaji wa timu maana ana busara.
Mbona Yanga hayupo Manara na Hamna lolote huko Afrika

Au Yanga hawataki kuwa Big team Africa??
 
Ukiachana na Luis, Kinachoiangusha Simba ni wachezaji wengi wa kigeni hawajui thamani ya Derby. Wanacheza tu ilimradi wapo uwanjani mfano ni uchezaji wa Clatous Chama kwenye Derby zote ni wa kiwango cha chini sana.

Natamani hizi mechi za Deby wawe wanacheza wazawa wengi, kama ilivyo kwa Yanga na unaona jinsi wanavyojitoa kwa timu yao.
Pale Yanga hao wazawa wanaoanza ndio bora kuliko Wageni Wanaobaki nje
 
Mkuu ubora wako wa hao wachezaji wa Yanga unawapimaje? Au unawapima kw mechi ya Simba na Yanga tu?
- Mwanafunzi kipimo cha ubora wake ni kupata matokeo mazuri ya mtihani wa mwisho.

-Ubora wa kisu kikali ni kukata nyama kwa haraka.

Vivyo hvy kwenye soka:
Beki bora hupimwa kwa idadi ndogo ya magoli iliyoruhusu.

Forward bora hupimwa kwa idadi ya magoli iliyofunga.

-Viungo bora hupimwa kwa idadi ya nafasi walizotengeneza.

- Na team bora hupimwa kwa mafanikio katika mashindano mbalimbali.

Sasa embu chukua Simab na Yanga kitakwimu katika overall competition na quality ya mchezaji mmj mmj kisha jibu kaa nalo mwenyewe.
Ngoja sisi tubebe kombe ..Wao wambebe Carlinho[emoji1787][emoji1787]
 
Labda wewe boya angalau umepata pa kujifariji,lakini ndio hivyo mpaka umetengua kauli. “Ubingwa hauna maana bila kuifunga Yanga”
Tunabeba Ubingwa.. wewe unabeba nini?

Unayajua Mafanikio ya klabu?
Mukoko,Feisal,Tuisila, wapo Yanga kuipa Timu mafanikio sio blaa blaa
 
Umeandika vzur ila kuna sehem mwsho umeandika vitu vya kufikilika ni wajbu na ni kawaida kwa binadam kusifiwa au kupewa pongez pale anafanya jambo zur au kitu sahihi pia ni ivyo ivyo kwa binadam kusemwa au kukosolewa pale anapofanya vibaya ktk jambo au kitu fulan iwe kwa bahat mbaya au makusud sasa sasa kusema...
Una elimu gani?
 
Hata wachezaji wa Yanga wenyewe watakushangaa, ukiwaambia wao ni bora kuliko simba.
Siku zote timu bora ndiyo inayoshinda. Simba mnapenda kujikweza, lakini kiufupi mna timu ya kawaida sana! Na inakabika kwa urahisi mpaka basi.

Kwa kikosi cha Yanga, nawahakikishia hata mcheze nao mara 100, bado mta struggle tu kupata matokeo!
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Hata mkiamua kuwachezesha washambuliaji wenu wote kama jana! Bado kipigo kiko pale pale!!! Hadi pale dharau zitakapo waisha.
Hope kipindi cha pili ulikiona kwa uzuri 2 clear goals simba walokosa
Achana na kosa kosa ya boko, kagere na miq
 
Back
Top Bottom