Niliyoyaona kwenye kampuni za ulinzi

Enzi za mobitel ndio ujio wa simu za mkononi vocha inaanzia elf 5 kupiga nje ya nchi mfano ulaya ni ghali sana hayakuwepo mambo ya email,wasap,FB nk ni uende TTCL wakakuconnect upige nje ya nchi Sasa billi yake ilikua Sio mchezo hapakuwepo na mambo ya Safelite Kama Sasa.
So wezi wataalamu waliosemea mawasiliano walikuwa wanakuja na kifaa Kama simu wanahack kisha wanawauzia muda wa maongezi waliotaka kuongea ulaya bili ya mwisho wa mwezi ikija inaingia kwenye bill ya kampuni iliyoibiwa mawasiliano Jana usiku.
So inabakia kushikana uchawi wa matumizi makubwa simu kwa wafanyakazi wa kampuni au kiwanda kulichoibiwa
 
Kazi zinazidi kuwa ngumu kadri miaka inavyokwenda. Ongezeko kubwa la wasomi wanaotoka vyuoni kila mwaka ilihali "wadosi" Hawataki kuachia viti vyao wakati wengine wana miaka 75 ndio chanzo kikubwa. Kuna kampuni X ya ulinzi imeajiri graduates wenye bachelor wengi sana kama walinzi.
 
Uliishi hivyo kama marioo kwa muda gani?

Ulikuwa hujishtukii ruhusa zinakuwa nyingi.?
 
Stori ya kufikirika
 
Nilikuwa na kimwanamke sumajkt ,kazuri balaa,tatizo vimalaya mnoo
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nakubali mwanangu!!!! Wacha tuendelee kuhaso!!
 
Kazi za ulinzi zinaokoa sana Kama hujapata ramani mjini umegraduate tafuta hizi kampuni kubwa ukipata laki 3 si haba.
Itakusaidia kulipa Kodi,nauli ya kutembeza bahasha mjini,kula nk.
Hv ni kampun gan inalipa 300k?? Maana hz kubwa mfano garda, SGA, SUMA JKT naskia znalipa 180-230k.
 
🤣🤣🤣 mpumbavu nimekuonea gere
 
Hv ni kampun gan inalipa 300k?? Maana hz kubwa mfano garda, SGA, SUMA JKT naskia znalipa 180-230k.
300 gross utabakia na 250,280 zinacheza humo si haba kama ni bachelor ukapata lindo la kutembea mguu na ukachonga uingie usiku mchana unautumia kupambana.
Pana malindo usiku kumetulia hakuna kazi mnalala kwa timing mnamuweka mmoja gadi getini kwa maana supervisor usiku mnene Wana kawaida ya kuingia kupatrol ukikutwa umelala wanachukua kofia utaifata ofisini kazi hio ukizdi kazi huna.
 
Bora kulima au kujifugia wanyama upate hela ya maaana
 
SHIDA WANAKUWA WABAYA WALINZI
 
Thanks.
 
Hizi kazi nahisi Kama uwa ni njia ya wengi hasa wenye elimu zao kufikia ndoto kubwa maana huku upata kile mtaa unataka
 
Ha ha ha ha kk ni kampuni nzuri shida ni wapigwa viyoyozi ndo miyeyusho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…