Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

DAGHI

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
186
Reaction score
401
Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
 
Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...

Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..

Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
 
Wahindi wamefanyaje?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…