Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

Mleta mada mpaka sasa nashindwa kukuelewa kabisa unataka kutuaminisha kwamba darini kuna ardhi ya kuchimba kaburi au umeona jeneza??
 
Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...

Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..

Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
Kwa wahindi au uswahilini kwetu?
 
Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...

Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..

Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
kweli jamaa mafundi weng hawasemi tu ila ni mengi tunona...
 
Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...

Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..

Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
sasa hatari gan hapo kaka vitu vishakufa havina uhai haviwezi dhuru
 
Back
Top Bottom