Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Kama unaona jambo halina madhara kwako au kwa mtu mwingine we vunga tuuShauri yako usirudie Tena kusema unavyokuta kwanyumba zawatu .....fanya kilichokuleta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaona jambo halina madhara kwako au kwa mtu mwingine we vunga tuuShauri yako usirudie Tena kusema unavyokuta kwanyumba zawatu .....fanya kilichokuleta
Kaburi darini limekaaje sasa elezeamkuu sijakosea ni kaburi..
Unachekesha wewe, bora mbwa ni tatizo la kuonekana na kueleweka, kuna matatizo mengine hayaonekani ila yanakusumbua, sijui unamwelezeaje mtuAcha uoga,
mtu mzima unaogopa mizuka?
ingekuwa ni mbwa anakukimbiza ningekuelewa angalau
Kwa wahindi au uswahilini kwetu?Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...
Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..
Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
kweli jamaa mafundi weng hawasemi tu ila ni mengi tunona...Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...
Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..
Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
Mbona wenzako tumeelewa mkuu...Mleta mada mpaka sasa nashindwa kukuelewa kabisa unataka kutuaminisha kwamba darini kuna ardhi ya kuchimba kaburi au umeona jeneza??
Kameshiba hako banaa😅😅Hujavuta kitu kikali mleta mada?
Ni mengi ila tu hairuhusiwi kusema tena mara nyingi huwa unaambiwa we fanya kilichokuleta ya hapa yaache hapa hapakweli jamaa mafundi weng hawasemi tu ila ni mengi tunona...
Wahindi... Wahindi...Kwa wahindi au uswahilini kwetu?
Yaani kuna watu wanakera sana ujue...Kashasema ni kaburi hajakosea nyie mnabisha nn sasa😂😂😂
sasa hatari gan hapo kaka vitu vishakufa havina uhai haviwezi dhuruMafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...
Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..
Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
Mnashindwa kumuelewa huyu ameona mfano wa kaburi lililojengewa, sii shimo, ni mfano wa yale makaburi unakuta juu limejengewa na msalaba.. I think soMleta mada mpaka sasa nashindwa kukuelewa kabisa unataka kutuaminisha kwamba darini kuna ardhi ya kuchimba kaburi au umeona jeneza??
Mwingine kanichekesha et au ameona kabundi kenye afya mgogoro😅😅Yaani kuna watu wanakera sana ujue...
Mtu kasema kaburi wenyewe wanalazimisha liwe jeneza..