Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
Kaburi ama jeneza?
 
Kwanini hauku-ripoti hilo kaburi la mseto lazima tukutie nguvuni. Alisikika askari mmoja wa Yombo akinena
 
Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
Hilo kaburi kwenye ceiling wamelichimbaje na kufukia huko darini?

Acha kazi
Wahi hospitali kabla hujadata zaidi
 
Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
Kuna mmoja aliona jeneza likiwa na maiti ndani na alipata upofu na kuumwa kipindi kirefu sana,hii ni kwenye nyumba ya mkinga mmoja hv
Sijui kama jamaa alipona
 
Kweli kwenye majumba ya watu kuna mengi kuna jamaa alienda kurepair umeme ivo ivo nyumba ya jirani alichokutana nacho uko ktk dari yule jama alipoteza fahamu siku tatu kidgo tumpoteze kama si jitahada za upande wa pili, na unaambiwa nae alikuwa amepikwa ila alikutana na chuma cha mjerumani ,kuna mafundi paa nao na mafundi choo hukutana na mengi sana
 
Kuna mmoja aliona jeneza likiwa na maiti ndani na alipata upofu na kuumwa kipindi kirefu sana,hii ni kwenye nyumba ya mkinga mmoja hv
Sijui kama jamaa alipona
Kuna kisa kingine nilinusurika kuanguka na gypsum board mpaka chini kilichonisaidia mguu wa kulia ulinasa kwenye mbao za draft huku kichwa kikielekea chini... hii ya siku nyingne
 
Hizi ni zama za ubabaishaji. Huna tofauti na hao manabii na mitume stori za kutunga kujitafutia umaarufu. Ingekuwa ni kweli mbona huelezi mambo kwa kina. Maswali una ulizwa huwezi kujibu.
najibu mkuu..
 
Enzi hizo nimemaliza form 6 nikawa napiga saidia fundi na jamaa yangu mmoja hivi fundi umeme,siku tumepanda darini kwa mteja mmoja hivi tukakutana na bonge moja la mfupa wa binadamu..hawa matajiri wengi wa bongo wanaroga sana.
 
Mtu ana kaburi ndani alafu akuruhusu uingie kizembe hivo ndan kwake,.
Hutokea nyumba husika imeleta shida isiyovumilika labda umeme umeleta shoti!! Au mabomba ya maji yamepasuka au kuziba!

Tuliwahi kukuta sanda iliyotumika kwenye nyumba ya mtu, ubao wa jeneza wa chini na makorokoro mengi mengi!

Tulipomwita mwenyewe akatukuta tumehamaki akauliza kipi cha ajabu sasa? Akakusanya vitu vyake akavihamisha mishe zikaendelea!

Ila kuna fundi mwenzetu aliumwa vibaya mno, homa ilianzia pale pale baada ya masaa kadha!! Aliponea kwa waganga huko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…