Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
AhahahaMmmhhh mkuubya kwel haya au ndio CHADEMA JOIN THE CHAIN!!!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhahahaMmmhhh mkuubya kwel haya au ndio CHADEMA JOIN THE CHAIN!!!???
Kaburi ama jeneza?Wakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Kwanini hauku-ripoti hilo kaburi la mseto lazima tukutie nguvuni. Alisikika askari mmoja wa Yombo akinenaMafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...
Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..
Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
Mbn kama pametulia na hawana shidauswahilini ila ni zile nyumba za zamani utando wa buibui kama wote
Hilo kaburi kwenye ceiling wamelichimbaje na kufukia huko darini?Wakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Ahahaha kawaida tuu mkuu...Kwanini haukuripoti hilo kaburi la mseto lazima tukutie nguvuni. Alisikika askari mmoja wa Yombo akinena
Kuna mmoja aliona jeneza likiwa na maiti ndani na alipata upofu na kuumwa kipindi kirefu sana,hii ni kwenye nyumba ya mkinga mmoja hvWakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Kuna mmoja aliona jeneza likiwa na maiti ndani na alipata upofu na kuumwa kipindi kirefu sana,hii ni kwenye nyumba ya mkinga mmoja hvWakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Mtoa mada toa jibuMleta mada mpaka sasa nashindwa kukuelewa kabisa unataka kutuaminisha kwamba darini kuna ardhi ya kuchimba kaburi au umeona jeneza??
Kuna kisa kingine nilinusurika kuanguka na gypsum board mpaka chini kilichonisaidia mguu wa kulia ulinasa kwenye mbao za draft huku kichwa kikielekea chini... hii ya siku nyingneKuna mmoja aliona jeneza likiwa na maiti ndani na alipata upofu na kuumwa kipindi kirefu sana,hii ni kwenye nyumba ya mkinga mmoja hv
Sijui kama jamaa alipona
najibu mkuu..Hizi ni zama za ubabaishaji. Huna tofauti na hao manabii na mitume stori za kutunga kujitafutia umaarufu. Ingekuwa ni kweli mbona huelezi mambo kwa kina. Maswali una ulizwa huwezi kujibu.
Una mawenge bado.hyo nyumba ni ya silabu?mkuu sijakosea ni kaburi..
Hutokea nyumba husika imeleta shida isiyovumilika labda umeme umeleta shoti!! Au mabomba ya maji yamepasuka au kuziba!Mtu ana kaburi ndani alafu akuruhusu uingie kizembe hivo ndan kwake,.
Ngoja nianze na msalaba...msalaba ule ulikua umeandikwa namba 1999
BabeMy wangu sweery njoo huku kuna mtu kakutana na kaburi darini