Uchaguzi 2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

Mbowe alisema hivi, anae amini trh 28 kulikuwa na uchaguzi akapimwe akili, sasa sijui ni kweli au uongo
 
Sasa unatuambia ili iweje, kama uliona si sawa ungepinga huko sio kuja huku. Halafu nani atakuamini bila uthibitisho maana unaweza kuwa umetumwa tu
Nimetumwa na nani? Nipinge huko ili nife ? Hapa ninausema ukweli tu.
 
Sheria hairuhusu kuwapeleka mahakamani wezi wa kura
 
Binafsi niliyoyaona katika Uchaguzi Mkuu huu uliomalizika nchini Tanzania ni Watanzania 84.4% Kumpenda mno tu Rais Dk. Magufuli na CCM yake.
 
Kama haya
 
Binafsi niliyoyaona katika Uchaguzi Mkuu huu uliomalizika nchini Tanzania ni Watanzania 84.4% Kumpenda mno tu Rais Dk. Magufuli na CCM yake.
Maigizo haya, ninakuona kila page upo, inaonekana mwenzetu uko kazini ukiipigania Lumumba. Hongera sana.
 
Maigizo haya, ninakuona kila page upo, inaonekana mwenzetu uko kazini ukiipigania Lumumba. Hongera sana.
GENTAMYCINE ni CCM na CCM ni GENTAMYCINE hivyo sijaona kabisa sababu ya Wewe Kunishangaa au Kushangaa 'nikitetea' Chama na Rais JPM.
 
Unao ushahidi?
Tukikutaka utoe ushirikiano upo tayari?
Mnaiba ili watu wakose ushahidi? Mimi ninao. Hii kauli ya chizi wenu kwa wakurugenzi watendaji wa halmashauri;-
"Nikulipe mshahara mkubwa, nikupe gari na full wese,Ofisi full kipupwe halafu unitangazie mpinzani kashinda"
Si dhambi Mdee akisema " kwa kukamata mabengi ya kura ya bwana wenu, asinitambie namuona kama NANIHII TU."
 
Uchaguzi umeisha wewe hujasikia? Leo ukitueleza upuuzi wako huu unadhani sisi ni UN? Nenda Mahakamani
Alafu humu kuna mitaahira! Hivi unaijua hii katiba yenu ya ki KONYO inasemaje kuhusu m/ kiti wa tume ya uchaguzi akishamtangaza mshindi wa uraisi kwa mtindo wowote ule? Nchi hili halijawahi kuwa na uchaguzi, na hautatokea kama hayo matamshi yaki shoga hayatafutwa katika katiba.
 
GENTAMYCINE ni CCM na CCM ni GENTAMYCINE hivyo sijaona kabisa sababu ya Wewe Kunishangaa au Kushangaa 'nikitetea' Chama na Rais JPM.
Unapata faida gani kushabikia dhuluma kwa binadamu wenzako? Ipo siku hao unaowashabikia watakuvunjia yai.
 
Unapata faida gani kushabikia dhuluma kwa binadamu wenzako? Ipo siku hao unaowashabikia watakuvunjia yai.
Wewe walipokuwa wakikuvunjia hayo 'Mayai' umepata madhara yoyote labda? CCM ndiyo Chama 'Dola' na Magufuli ndiyo Rais halali wa Tanzania.
 
Upuuzi
 
Uchaguzi umeisha wewe hujasikia? Leo ukitueleza upuuzi wako huu unadhani sisi ni UN? Nenda Mahakamani
Yale majeshi mliyokodi kutoka Burundi kuiba kura mbona bado hamjayarudisha ??
 
Ni kweli upuuzi , kwani mlikodisha majeshi kutoka Burundi yasaidie kuiba kura na bado hamjayarudisha , au sasa mnataka yakulindeni na hasira za wananchi ???
 
Ni kweli upuuzi , kwani mlikodisha majeshi kutoka Burundi yasaidie kuiba kura na bado hamjayarudisha , au sasa mnataka yakulindeni na hasira za wananchi ???
Kuna kitu lazima kitokee nchini, muda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…