Mkuu hivi unapajua madolo wewe!!!?Ingekua hivyo yasingewekwa kwenye hivyo vyombo vya majini, ukiwa na boya huzami.
Kuna safari moja hiyo mwanza to Gozba dah mvua ilikuwa inanyesha ziwa lisikie tu.Mkuu hivi unapajua madolo wewe!!!?
Maji ya madolo sio ya swimming pool mzee!!
Swimming pool haina
komezi
Buhanga
Mlimbe
Mwigundu
Ngezi
Kubwa kuliko yote hakuna MSOKE!!
Yaani kwa ujumla swmnpool ni shwari hakuna aina yeyote ya upepo so boya linakusaidia vizuri tu!
LAKINI MADOLO PASIKIE TU!!!
Ukiwa unapanda basi huwa unajua idadi ya abiria wanaotakiwa kuingia, tani za mizigo zinazotakiwa, kiwango cha pressure cha matairi, leseni ya dereva na service ya gari ilivyofanyika?Hao wanaopanda hivyo vivuko huwa hawaoni kivuko kimejaa?
Unaweza kuwa na hoja nzuri lakini uwasilishaji ukafanya hadhira ikupuuze, mfano hapo umesema boya halikusaidii chochote ziwani...Mkuu hivi unapajua madolo wewe!!!?
Maji ya madolo sio ya swimming pool mzee!!
Swimming pool haina
komezi
Buhanga
Mlimbe
Mwigundu
Ngezi
Kubwa kuliko yote hakuna MSOKE!!
Yaani kwa ujumla swmnpool ni shwari hakuna aina yeyote ya upepo so boya linakusaidia vizuri tu!
LAKINI MADOLO PASIKIE TU!!!
Unaweza kaa karibu na boya na bado ukafa.Ni bora ukae karibu na boya
Hata wale wa juzi waliokuwa wanakimbia jogging kuna mdau alitoa tahadhari.Habari zinaanzaga kimasihara HivI hivi
One day tutaukumbuka huu uzi
Wanyonge bado mnaomboleza tu. Pole sana ndugu ila jitahidi utoke kwenye huo unyongeMtanikumbuka
Kabisa mkuu, boya linakufanya uelee juu ya maji hata kama hujui kuogelea. Sema linaweza kukupeleka kokote na ukapotea hukoBoya linaelea, ukiwa na boya huwezi kuzama, hao jamaa ni waongo, labda kama kuna viumbe hatari kwenye hilo eneo
kazi ipo !!! watu wengi kujiekeza ni shida kubwaUnaweza kaa karibu na boya na bado ukafa.
kikubwa nitahadhari kabla varangati la kugombania maboya halijatinga
Haujisumbui endelea kukaa karibu na boya ili yakitokea majanga ndugu zako wasisumbuke kuuona mwili wako mapema.😅Aisee!!!
Na mbwembwe zangu kila ninapopanda hivyo vivuko nakaa karibu na lile furushi la maboya, kumbe huwa najisumbua tu! Daraja likamilike tu chapchap sasa
[emoji16][emoji16][emoji16] nimeacha kupita majiniHaujisumbui endelea kukaa karibu na boya ili yakitokea majanga ndugu zako wasisumbuke kuuona mwili wako mapema.[emoji28]
Nakutania bana haitatokea[emoji28]
Watu wanabisha tu...Kuna safari moja hiyo mwanza to Gozba dah mvua ilikuwa inanyesha ziwa lisikie tu.
Ndugu vivuko vinabeba mpaka mara tano ya uwezo wa kawaidaNi vyema kutoa tahadhari, lakini hii habari ni kama imekolezwa kupita kiasi. Abiria 700 kama unawapata wapi ndugu mleta uzi?!
Mkuu unapokuwa madolo namaanisha maji ya mbali kabisa maji ya wanaume yani matosi lii!!Unaweza kuwa na hoja nzuri lakini uwasilishaji ukafanya hadhira ikupuuze, mfano hapo umesema boya halikusaidii chochote ziwani...
Mm nauliza kati ya ziwa na bahari kipi kina nguvu na rabsha rabsha nyingi? Still tunaona vyombo vyote majini ( baharini ) boya halikosekani alafu wewe unasema halina msaada.
Ukiweka hoja jitahidi kidogo kuingia deep, kama hapo uliposema " Maji ya madolo sio ya swimming pool ", basi weka tabia za hayo maji ya madolo tujionee namna boya si lolote na si chochote kama hujui kuogelea.
Naomba kujua maana ya haya maneno / majina uliyotumia...
komezi
Buhanga
Mlimbe
Mwigundu
Ngezi
Kubwa kuliko yote hakuna MSOKE!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hatari sanaNdugu vivuko vinabeba mpaka mara tano ya uwezo wa kawaida
Maji nayapa heshima kubwa sana hiyo MV. Victoria iliwahi kutana na sekeseke moja hivi nikajua ndo baba jane ila ilichomoka.Mkuu unapokuwa madolo namaanisha maji ya mbali kabisa maji ya wanaume yani matosi lii!!
Huko mkizama (kumbuka uzamaji wa huko unatokana na upepo mkali na wimbi)
Kutokana na hayo maupepo yanayopiga hapo pamoja na mawimbi,
Hakuna boya linaloweza kukusaidia hapo!
Hata kama unajua kuogelea kiasi gani utaogelea wee utaishia kuchoka na kulala yo!!
Ponapona yenu kuwe na mtubwi mwingine karibu yenu na wanaokuwa kwenye huo mtumbwi wapate ujasiri wa kuwaokoa!
Tofauti na hapo lazima parapanda lilie!
KOMEZI ni aina ya upepo!
Sifa zake:
1.hukata mvua
Hata kama kuna mvua kubwa kiasi gani upepo huu ukianza lazima mvua ijisalimishe!
2.huvuma siku kumi na nne mfululizo kila mwaka mwezi wa saba. Kama uko mazingira ya ziwani ndio upepo unaovuma kipindi hiki
Na ndio kipindi ambacho wavuvi wanakufa sana kwa ajali!
3. Unapovuma hasa nyakati za usiku hufukunyua mawe na kokoto kutoka chini ya ziwa kuleta juu!!
Na ndio wakati tunaona maji yanapungua ziwani!
MWIGUNDU:
Huu nao ni aina ya upepo unaoleta mvua!
Yaani mkiwa ziwani mkauona huu upepo pamoja na mawingu kama mko karibu na kisiwa chochote lazima mkimbilie huko!!
Kwasababu unatabia ya kuleta mvua kubwa pamoja na wimbi kubwa sana!
Hasa ukiwa maji ya visiwa vya bumbile na kerebe wilaya muleba!!
MSOKE:
HUU NI HATARI!!!
ZAIDI YA HATARI!!
USIOMBE KUKUTANA NAO!!
Ni upepo unaoanzia chini kwenye maji,
unafukuta maji yanapanda juu kuelekea kwenye mawingu huku yakizunguka kama kimbunga!
Na kule kwenye mawingu utaona kama mawingu yanashuka kufata hayo maji yanayopanda juu!!
Sasa usiombe vikutane!!
Ndio utajua hivyo viboya vyenu huwa ni vya maonyesho tu!
na kazi yake ni kusaidia maiti ionekane haraka kwa sababu ya riflekta!! ( utanisahihisha)
Yaani hata kama wewe ni bingwa wa kuogelea lazima ulale yo!!
KUHUSU HAYO MAJINA MIMI SIJUI NI LUGHA GANI!!
KWANI NA MIMI NILIKUTA WENYEJI WANAITA HIVYO HIVYO!!
NIMECHOKA!!
MLIMBE NA NGEZI KESHO!!!!
ILA CHA AJABU MTU MWENYE GOVI ANA UWEZO WA KUUKATA HUO UPEPO!!!
Kila mtu anataka kuwahi mkuu. Bora daraja la Kigongo-Busisi likamilike tu maana hivi vivuko huwa napanda lakini roho mkononi.Hao wanaopanda hivyo vivuko huwa hawaoni kivuko kimejaa?