Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,178
- 3,865
Mh. Unauhakika ndugu?Boya halina msaada wowote kama haujui kuogelea...zaidi tu ya Mwili kupatikana mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh. Unauhakika ndugu?Boya halina msaada wowote kama haujui kuogelea...zaidi tu ya Mwili kupatikana mapema
Unavyojua ndivyo ilivyo. Hawa wengine wanakudanganya tu. Boya litakuokoa kabisa hata kama hujawahi kuona maji. Ila msaada zaidi uwahi tuOyooo mbona unanitisha. Mi nilidhani boya litakufanya uelee hata kama ndiyo siku yako ya kwanza kwenye maji
Uongomwingine huoMkuu hata kama unajua kuogelea!
boya halisaidii chochote zaidi ya maiti kupatikana mapema!!
Njoo uone huku kerebe wanawake wameokolewa na maboya. Watu zaidi ya 28 amefariki mmoja tu kwa sababu ya hayo maboya leo wasiojua ndo wanayabezaAisee!!!
Na mbwembwe zangu kila ninapopanda hivyo vivuko nakaa karibu na lile furushi la maboya, kumbe huwa najisumbua tu! Daraja likamilike tu chapchap sasa
Sawa. Kerebe ipo wapi?Njoo uone huku kerebe wanawake wameokolewa na maboya. Watu zaidi ya 28 amefariki mmoja tu kwa sababu ya hayo maboya leo wasiojua ndo wanayabeza
Umetaja mambo kivuvi ila boya linaelea na ukiwa na boya una zaidi ya asilimia 95 ya kuponaMkuu hivi unapajua madolo wewe!!!?
Maji ya madolo sio ya swimming pool mzee!!
Swimming pool haina
komezi
Buhanga
Mlimbe
Mwigundu
Ngezi
Kubwa kuliko yote hakuna MSOKE!!
Yaani kwa ujumla swmnpool ni shwari hakuna aina yeyote ya upepo so boya linakusaidia vizuri tu!
LAKINI MADOLO PASIKIE TU!!!
Goziba ndo naendaka kula chakula cha mchana mimiKuna safari moja hiyo mwanza to Gozba dah mvua ilikuwa inanyesha ziwa lisikie tu.
Siwezi kukupinga kwasababu kila mtu na mazingira ambayo amekulia na kuyazoea, kuna wanangu wapo NAVY yani maji hawana tabu nayo kabisa.Goziba ndo naendaka kula chakula cha mchana mimi
Tazama katika ramani yako ya google . Nikisiwa kiko zaidi ya km 30 kutoka bandari ya bukoba kuelekea mashariki. Inahitajika kupanua ramani ili kukiona na jina la kijogorafia kinaitwa bukarebe islandSawa. Kerebe ipo wapi?
Yeh kila mtu na mazingira aliyoyazoeaSiwezi kukupinga kwasababu kila mtu na mazingira ambayo amekulia na kuyazoea, kuna wanangu wapo NAVY yani maji hawana tabu nayo kabisa.
Kwahiyo kila mtu na mazingira yake kuna kipindi nikiwa mpakani Kagera mvua inanyesha na madogo wanacheza tena kwenye maji ila niambie vitoto vya mjini humu kinaweza kuhimili kama hakija umwa magonjwa chungu nzima.
Ok shukran mkuuTazama katika ramani yako ya google . Nikisiwa kiko zaidi ya km 30 kutoka bandari ya bukoba kuelekea mashariki. Inahitajika kupanua ramani ili kukiona na jina la kijogorafia kinaitwa bukarebe island
Kwa hali aliyonayo mama sasa hivi, sijui😩Aisee!!!
Na mbwembwe zangu kila ninapopanda hivyo vivuko nakaa karibu na lile furushi la maboya, kumbe huwa najisumbua tu! Daraja likamilike tu chapchap sasa
Watu wana harakaHao wanaopanda hivyo vivuko huwa hawaoni kivuko kimejaa?
Kuhusu daraja? Nimepita juzi ujenzi unaendelea.Kwa hali aliyonayo mama sasa hivi, sijui[emoji30]
Wewe unaongelea madolo kwa maana ya maji marefu far away from nchikavu, kiasi kwamba unaona umezungukwa na mbingu iliyogusana na maji ya ziwa. Acha uoga ni kawaida tu. Na hapa nawanyooshea mikono wadau wanaoendesha vyombo bila dira na hawapotei.Mkuu hivi unapajua madolo wewe!!!?
Maji ya madolo sio ya swimming pool mzee!!
Swimming pool haina
komezi
Buhanga
Mlimbe
Mwigundu
Ngezi
Kubwa kuliko yote hakuna MSOKE!!
Yaani kwa ujumla swmnpool ni shwari hakuna aina yeyote ya upepo so boya linakusaidia vizuri tu!
LAKINI MADOLO PASIKIE TU!!!