Niliyoyashuhudia Jeshini

Yule baba alikuwa mtata[emoji23] kwanza kuna siku alinambia kanawe uso urudi unatiririka maji.


Haha si alikuwa anakuoshea sana? Ama hakukuona? Ila wa karanga uwa wapole flani, nilikuwa nawaona mle ndani.
Hakuniona, bahati nzuri nilipangwa kombania tofauti. Ila kuna mwanangu mmoja alijikuta yupo kombania ya huyo jamaa. Aliwahi kukesha juu ya mti kama adhabu. Yani unapanda kwenye mti kidogo, alafu unaambiwa tulia hapohapo, usiende juu wala usishuke chini.

Angenipata mimi angeniua kabisa!
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃHuo Sasa uonevu
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Umeitwa hapa? Mijitu mingine sijui vipi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ