wiztech
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 259
- 511
Maramba Tanga .....Wewe sasa ndo umepatia![emoji122] mojawapo hapo mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maramba Tanga .....Wewe sasa ndo umepatia![emoji122] mojawapo hapo mkuu...
Hakuniona, bahati nzuri nilipangwa kombania tofauti. Ila kuna mwanangu mmoja alijikuta yupo kombania ya huyo jamaa. Aliwahi kukesha juu ya mti kama adhabu. Yani unapanda kwenye mti kidogo, alafu unaambiwa tulia hapohapo, usiende juu wala usishuke chini.Yule baba alikuwa mtata[emoji23] kwanza kuna siku alinambia kanawe uso urudi unatiririka maji.
Haha si alikuwa anakuoshea sana? Ama hakukuona? Ila wa karanga uwa wapole flani, nilikuwa nawaona mle ndani.
🤣🤣🤣🤣Huo Sasa uonevuHII imenikumbusha siku niliyoripoti JKT mimi nilinyoa kipara Sasa wakati nafika kwenye gari la kuelekea kambini nilikutana na wadada wawili wao walikuwa hawajanyoa, Ile tunafika nikaulizwa Hawa unawafahamu nikajibu ndiyo, wakaniambia kwahiyo wewe umewadanganya wasinyoe alafu ukanyoa peke yako, aisee palepale getini nilianza kuroll na kurukishwa vichura, nikamwagiwa maji, Kisha nikaambiwa niwapake poda usoni yaani vumbi, alafu niwanyoe yaani palepale hamu yote ya JESHI iliisha
Not the soldier. I wish I were a soldier. Hii lugha msikosee wadau.Everytime I meet with stories like this I feel blue, I wish I were the soldier
Hii ni bongo ukikosoa utakosolewa sawa, wewe hiyo ''solder'' ndio nini ?Not the soldier. I wish I were a solder. Hii lugha msikosee wadau.
Solder ndio nini?Hii ni bongo ukikosoa utakosolewa sewa, wewe hiyo ''solder'' ndio nini ?
bila shaka jiteute kwa mkisi/kesi na akina afande tolu,dame,mroki etcSikwenda JKT mie, ila shule niliyosoma ilikuwa lazima kwata.
Nilikuwa NANGA wa mwendo wa pole [emoji23]
Mwanzoni ilikuwa ukinimixia na heshima kulia nakosa balance.
Solder ndio nini?
Na hiyo sewa ndio umeandika nini?h
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Habari!
Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa"
Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu naenda jeshi hapana! Hata mpango nayo nilikua sina ila tu niliona ni bahati jina langu kua kwenye list sababu sio wote uchaguliwa.
Nikawasiliana na marafiki zangu kuna baadhi walichaguliwa pia lkn hakuna niliyechaguliwaa nae kambi moja, nikaanza kusikia story plus video za status, instagram watu wanaeka makuruta wanavyogaragara kwenye matope, mazoezi magumu hadi wanalia, nikapata uoga hapo ikawa mzozo nikasema mimi jeshi siendi kwanza kunyoa kipara hapana.
Mzee akaniambia lazima uende, huko Rukwa mkuu wa kambi ni rafiki yangu hivyo wewe mateso hutoyapata nikafikiria nikaona huyu mzee ananipiga fix ili nijae mimi jeshi siendi.
Ila nikawa nataka sitaki na kilichokua kinanitatiza kwenda ni yale mateso tu niliyokua naona kwenye video.
Kuna siku rafiki yangu akanipigia simu kunishawishi twende ila akaniambia "Ephen twende kambi ya mkoa X achana na Rukwa huko wana mazoezi makali sana" nikamwambia kama hivyo fresh acha nijiandae tutaenda next week sababu deadline ilikua bado. Rafiki yangu nampa jina Anna.
Anna ana kaka ake ni mjeda sasa akawa anatupa tips muhimu za kuzingatia mojawapo alisema tranka tutakalobeba tusijaze vitu vingi tuweke vitu vyepesi ikiwezekana vitu tukanunue kambini hukohuko.
Mimi niliona usumbufu yaani nitoke na tranka tupu vitu nikanunulie kambini? nikanunua vitu vyote nikajaza kwenye tranka. Kumbe yule mjeda alikua na maana yake Aisee bora ningemsikiliza.😂
SIKU YA SAFARI
Tukatoka zetu na Anna tukapanda gari tunaenda kambi ya mkoa X japokua tumepangiwa kambi tofauti kila mtu.
Tupo kwenye gari nina furaha naenda kupata experience mpya pia nilifurahi kwenda mkoa mwingine sababu nimezoea dar tu, safari ilichukua almost masaa 7 tukafika huo mkoa X mjini, gari ndo mwisho.
Sasa wote hatujui nini kinafata hapo Anna yeye tranka lake niseme lipo tupu kabeba vitu muhimu tu, mimi nimejaza hadi kubeba linanishinda.
Tukamfata konda kumuuliza, "Sisi tunaenda kambi X tunaomba utupe muongozo" akatuambia pandeni bajaji hadi kituo flani mkifika kuna hiance zinaenda huko jina la kambi ndo jina la kituo cha kushuka.
Tukafanya kama alivyotuambia, tumeingia kwenye hiance asilimia kubwa wana vipara hivyo nikajua wote tunaenda kambini.
Kule tuliposhuka na gari nilipapenda sana ni kuzuri panavutia hamna pilikapilika nyingi nakumbuka nilimpigia simu mama, akaniuliza umepaonaje nikamjibu kwa furaha ni pazuri nimepapenda akaniambia "ukifika kambini nijulishe lkn ukiona huko mateso yamezidi nipe taarifa nikufate urudi nyumbani"
Basi tulivyokua kwenye Hiance tunaenda huko wilaya yenye kambi mwanzoni nasmile na Anna wangu ghafla akili yangu ikavurugika tuliingia barabara ya vumbi sijawahi ona, gari zima hatuonani, kila mtu kwenye gari katapakaa vumbi hadi kope zote nyeupe ndani ya pua nywele vumbi hapo nikapata sign ninapoenda sio pazuri.
Safari ilichukua kama masaa 3 tukaambiwa wale wa kambini mmefika.
Katika maisha yangu bad moment niliyowahi kuexperience ni hii siku, Tumeshuka tu nikaona njia ya vumbi imekata kulia ni ndefu kama 2km nikasikia sauti "Hapohapo wote chuchumaa tranka kichwani ruka kichurachura uelekeo huu hapa kwenda kambini"
Kudadeq ndo nikajua kwanini niliambiwa niende na tranka tupu
Anna yeye chap kachuchumaa tranka kichwani, mimi machozi yashaanza kunitoka nikamwambia Anna mimi nimeghairi siendi narudi nyumbani, hata sijamaliza sentensi nishakula bao la mgongo kutoka kwa mjeda akaanza kufoka wewe bila shaka umetoka Dar naongea tii Amri kwanini umesimama ? Aya tranka kichwani kuruka uelekeo huu.
Akaja mjeda mwingine akanitwika tranka kichwani hapo nishachuchumaa sikuweza kuimili kuruka na tranka.
Anna akaniambia lete nikusaidie chukua langu, yule mjeda aliona tu hata akinipiga ule mzigo siuwezi na Anna pia hauwezi akamwita mjeda anayejitolea chukua hili tranka wasaidie, basi nikapona hivyo.
Kimbembe kikawa hiyo kichurachura nikiangalia mbele sioni geti, ni mbali almost 2km ndo niruke kichurachura? Hapo machozi yananitoka nalia nkamwambia Anna "mimi namwambia mama anifate siwezi hizi mambo" Anna nae analia Ephen usiondoke ukaniacha mwenyewe bora hivi tupo wote Afadhali.
Nilihisi miguu inawaka moto inataka kupasuka, msafara tupo wengi hadi wanaume wanalia, sasa tulivyoloa vumbi hadi kope mtu ukimuangalia mwenzako unatamani kucheka ukisikilizia maumivu ya miguu unatamani kulia.
Itaendelea......
Acha ukuda. Mwache dada alete stori. Kama wewe huna cha kusimulia kaa kimya.Naongea vipi tu wakati nimeshafanya kozi kibao mpaka cheo nilichokuwa nacho boy? Nami nilitokea Dar na sikuwa na uwoga kama wako uliouonesha. Kunywa maji mengi moyo uelee.......
kumaliga jitu jeusi...sema jamaa poa sana yule.Binti wa afande Kumaliga weye.
Nakusalim!
😅😅😅😳😳🤣🤣 Hilo jina nlijua ni la kiume. Nikajua ndo yale mataka taka ninayoyapiga vita kila sehemu. Nimeshamwambia pole yake. Na tumepeana namba za simu siku nyingine akienda tena jkt wasimtese niende naye.
Basi nawe utaanzisha uzi wako. Huu ni wa ephen_ mwacheni asimulie.Naongea vipi tu wakati nimeshafanya kozi kibao mpaka cheo nilichokuwa nacho boy? Nami nilitokea Dar na sikuwa na uwoga kama wako uliouonesha. Kunywa maji mengi moyo uelee.......
Umeitwa hapa? Mijitu mingine sijui vipi!?Form six gani Hiace anaita Hiance? Halafu wewe huu uandishi wako ushaharibiwa. Hakuna kitu umebaki nacho. Ndo maana mzee wako alitaka uende jeshini ukakaze misuli ya matako. Umeshalegea sana. Mwanaume hawezi omba saidiwa na mwanamke na hawezi lia eti anamwita mama yake. Wewe ni takataka. Ondoka hapa na uzi wako.
🗑 🚮 🗑 🚮Anna umekuja msaidia.... Haya nawe ukae kwa utulivu usiruke ruke na kuniumiza.
Achana naye huyo. Leo yupo kwenye joto anatafuta basha.Umeitwa hapa? Mijitu mingine sijui vipi!?
Anna umekuja msaidia mwenzio. Ukae kwa utulivu sasa siyo unajirusha rusha vibaya mpaka uniumize nishindwe kuoa.Umeitwa hapa? Mijitu mingine sijui vipi!?