Niliyoyashuhudia Jeshini

Mbona mko serious hivi?

Mimi mpaka chuo nikiumwa mama atanipeleka hosp, na nikiwa najiskia vibaya vibaya nalia kabisa.. na sio kudeka, sijui ni nini uwa.
Ni kudeka.

Mtu anadeka kwa anaemdekeza, ndio maana kuna msemo kua "yatima hadeki" hiyo ni kwakua mdekezaji anakua hayupo.

Huoni kuna watoto akiwepo mama/baba yake analilia kila kitu basi tu apewe attention.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ila wewe 🤣
Mi nawalinda mabinti. Sipatani tu ila mitakataka inayotaka iwe kama mabinti. Ndo maana nikiona hata mtu anaonesha dalili namwahi kabla hajaharibikiwa sana. Ila kwa watoto wazuri kama nyie ole wake mtu awaguse nitamfanya kitu kibaya. Huyu mwandishi nilidhani ndo wale wanaume mchekea. Nlifura kwa hasira sana kuwa yamefikia hatua yanajiweka tu hadharani. Kumbe siyo maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…