Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ni kudeka.Mbona mko serious hivi?
Mimi mpaka chuo nikiumwa mama atanipeleka hosp, na nikiwa najiskia vibaya vibaya nalia kabisa.. na sio kudeka, sijui ni nini uwa.
Mtu anadeka kwa anaemdekeza, ndio maana kuna msemo kua "yatima hadeki" hiyo ni kwakua mdekezaji anakua hayupo.
Huoni kuna watoto akiwepo mama/baba yake analilia kila kitu basi tu apewe attention.