Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
hahahaaaaaSquats huwa wanaita Viroba...
Zoezi jepesi lilikuwa ni hili ... Hapo mmepiga pushups za kutosha mkisikia viroba position mnapumua kabisa
Kambi yetu sisi ilikuwa na shamba la mahindi kubwa wenyewe wanasema hili shamba mwisho ni upeo wa macho yako😃tulivuna mahindi week nzima hayaishi
Mengine siri za jandoni dogo.🤣Mp kamanda wetu inasemekana alikimbia 92
Shamba duniaSquats huwa wanaita Viroba...
Zoezi jepesi lilikuwa ni hili ... Hapo mmepiga pushups za kutosha mkisikia viroba position mnapumua kabisa
Kambi yetu sisi ilikuwa na shamba la mahindi kubwa wenyewe wanasema hili shamba mwisho ni upeo wa macho yako😃tulivuna mahindi week nzima hayaishi
Asante mkuu nipo nampa tu bampa
Atakosa mwanaume anayejielewa .Binti yangu yuko kidato cha sita saa hizi hivi sijui ataweza kweli yule huu mziki!!? Kwani kuna madhara gani asipoenda?
Mkuu wewe ni mjeshi??Ni kukomaa tu, tunajivunia kuwa na idadi kubwa ya waliofuzu vipindi vyote.
Haha,, kuna wakati misemo yao ilikuwa imenikaa mpaka nilipo move on kwa kijana yule. Kwa sasa mengine naanza kusahau.😅😅😅Hapo umepigwa doso la kutosha afu unaambiwa kuruti sifa wepesi.. jeshi sio mama ako hakuna sifa kwenye kujila 😅😅😅
Kwa hiyo walioenda jeshi kwa mujibu wote hawana wanaume wa kueleweka? Acha masihara mkuu
Dogo unatuahidi kesho sangapi!?? Afu dogo mlaini sana ungefika Bulombora si ungekufa!!!
Anyway Uwe na usiku Mwema mtoto wa Mama laini!!
Utqishi muda mrefu na ukifa hutooza,,,na ukioza hutonuka,,,hiyo ndo hekimaHasira sio nzuri!
Nimekusamehe kwa kuniita takataka.
Ni utani mkuu .Kwa hiyo walioenda jeshi kwa mujibu wote hawana wanaume wa kueleweka? Acha masihara mkuu
Nimekusoma kumbe ni sawa na mdebwedo au kichwamajiMtu ambaye hawezi kitu.. huitwa nanga.. au usipofanya jambo kwa ufasaha unaitwa Nanga pia .. kuna vyeo vya mananga.. ila cha mwisho Ni nanga brigedia😅yan wewe hamna kazi kabisaa
nasikia kwa dosa ndiko uñakoendaga ...kupiga vyombo...Kule kwenye kuku nlikuwa naenda mara Moja Moja, ile mwanzoni nlizozana na serviceman Moja aisee nkapangwaga kwenye ujenzi uwanjani hlo tofali kulinyanyua😁siku kama hakuna ujenzi tunaenda kuangalia ruvu shooting wakifanya mazoezi
Sasa hapo si unakuta ameshamaliza kozi kaendelea kujitolea, uchakavu lazima uishe.Dada angu alienda ya kujitolea naona karudi mzuri vile vile 1.5yr ,Mungu amjalie apate hitaji la moyo wake anapenda sana Jeshi .Aliangua kilio siku ya usahili alivyoambiwa vigezo havijatimia vyeti vilichelewa kumfikia siku ya usahiliĺ.
Kwan huyu ni boy?Naongea vipi tu wakati nimeshafanya kozi kibao mpaka cheo nilichokuwa nacho boy? Nami nilitokea Dar na sikuwa na uwoga kama wako uliouonesha. Kunywa maji mengi moyo uelee.......