Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

😅😅😅Hapo umepigwa doso la kutosha afu unaambiwa kuruti sifa wepesi.. jeshi sio mama ako hakuna sifa kwenye kujila 😅😅😅
Haha,, kuna wakati misemo yao ilikuwa imenikaa mpaka nilipo move on kwa kijana yule. Kwa sasa mengine naanza kusahau.

Kujila si kujipa utawala flani wa kuibia huku ukiwategea wenzako? Kama sijasahau. Kind of uvivu.
 
Kwa hiyo walioenda jeshi kwa mujibu wote hawana wanaume wa kueleweka? Acha masihara mkuu
Ni utani mkuu .
Ila ikiwa ana passion ya kufanya kazi kwenye chombo chochote cha usalama inamlazimu kupita huko ila kama ana hizo ndoto bora asiende tu .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Dada angu alienda ya kujitolea naona karudi mzuri vile vile 1.5yr ,Mungu amjalie apate hitaji la moyo wake anapenda sana Jeshi .Aliangua kilio siku ya usahili alivyoambiwa vigezo havijatimia vyeti vilichelewa kumfikia siku ya usahiliĺ.
Sasa hapo si unakuta ameshamaliza kozi kaendelea kujitolea, uchakavu lazima uishe.
 
Back
Top Bottom