D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Kuna matukio mtu akielezea we yako sielewi yalitokea muda ganiKumbe hadi nikutajie mwaka!
Basi😄
Najua tu ulikuwa maramba au mgambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna matukio mtu akielezea we yako sielewi yalitokea muda ganiKumbe hadi nikutajie mwaka!
Basi😄
Natania mkuuSasa nilichokosea ni nini hapo kusema physical training short?🤔
Wewe umetokea wapi? Ndani ya mia kuna ngapi?Acha kudanga
Acha kudanganya watu.
Kujua kuhusu Jeshi kusikufanye uanze uongo hapa Eti nilipita nipo MSU ndio nini😀😀 hujui hata kifupi chake
Sisi hayo maisha tuliyaishi Tabora Girls enzi hizo. Ila walifuta tulipofika form four.Duuh asee hakuna kitengo ninachokipenda na ninachokiona rahisi jeshini kama kwata huwa sielewi kwanini watu wanakichukia na kukiona kigumu
Yani mimi kwangu kwata ndio ilikuwa sehemu ya kupoozea machungu ya jeshi, maana mimi sipendi mabio wala mazoezi nakumbuka mwishoni mwa six weeks za kwanza, nilikosa kuwepo kwenye pass of square tu roho iliniuma sana
Nikasema kwenye graduu lazima niingie kitengo cha kwata, na kweli graduu nilikuwa kwata coy sema kimbembe kuweka silaha begani, hadi mfupa wa bega ukaanza kuuma nikawa naweka handkerchief
Yani mimi kiujumla jeshini vitu nilivyovipenda ni chenja, kwata, range (japo niliishia kulenga mijusi), syndicate na route march (kutembea tu), ila ukishaniambia nikimbie daah nilikuwa najionea tabu tu
Na yale maovyoovyo mengine nilikuwa siyapendi kabisa
Masaa saba toka Dar, ndani ya Tanga hiyo na kwa maelezo yake ni Maramba moja hiyo.😊Kuna matukio mtu akielezea we yako sielewi yalitokea muda gani
Najua tu ulikuwa maramba au mgambo
Kutoka KO mpaka Karate combat 🤣🤣SEHEMU YA 11
2. NGOMA COY
Nilimwambia Anna mimi kwata nishafukuzwa, akanishauri nihamie ngoma coy.
Ngoma coy wanajihusisha na sanaa kuimba, kucheza, kuigiza hivyo.
Nikapiga picha mimi kuigiza, kucheza, kuimba siwezi nitafanyaje sasa? Nikajipa moyo kesho nikaongozana na Anna kitengo.
Nimefika pale bakabaka akaniambia bora umekuja ngoma coy huku utawala kama wote! hamna jua wala kutumia nguvu. Sasa kuna mchujo humu huingii bure, wote unaowaona hapa wamefanya vizuri kipindi cha mchujo.
"Aya imba tukusikie sasa ndo mchujo huu usifanye masihara"
Mimi kuimba sijui
"Sasa hujui kuimba, hapa umefata nini? Aya cheza tuone"
Kuna mziki kabisa kwenye lile hall! Navyokwambia ngoma coy utawala ujue utawala kweli!!
Mziki unapiga nicheze! Anna ananiangalia anacheka tu, nikajikaza kucheza😄
Naona kuruta wananicheka na mimi najua hapa naharibu tu.
"Weeee! Kuruta kucheza unajua lakini sasa hapa tumeshajaa tupo wengi, jaribu vitengo vingine" akaniambia bakabaka
Majibu hayo tu nikajua nimeboronga kucheza hivyo kanikataa kiaina kama walijua wamejaa kwanini hakuniambia tokea mwanzo?......
Sasa niende wapi! Ngoma coy sijafit ila ningekubaliwa hapa ingekua utawala kama wote.
Nikarudi hangani mapema, sababu muda ulikua umebaki mwingi kuruta wapo vitengoni.
Hairuhusiwi kwenda hangani muda wa kazi hivyo nililala chini ya deka ili bakabaka wakipita wasinione.
Usiku kama kawaida kombania! Ukifika unakaa chini vumbi kama lote. Kipindi hiki tushamaliza zile first weeks za mateso hivyo tukawa hatupewi mazoezi magumu hivyoo!
Tunanyanyua viroba (squats) tukichoka tunaimba chenja mambo yakizidi tunaekewa mziki tucheze bakabaka wetu alikua na speaker ndogo.
3. KITENGO CHA KAZI MCHANGANYIKO
Nilivyotoka ngoma coy nikaja huku sasa.
Kazi mchanganyiko wanadeal na kufyatua tofali na kubeba, kuchimba visiki, kuvuna machungwa na kupukuchua mahindi, kumwagilia bustani ya mbogamboga bondeni, kusafisha vyoo, kufyeka nyasi.
Mwanzo nilijitahidi nikaekwa kundi la kuvuna machungwa! Bakabaka walituambia kula machungwa hadi usaze kubeba hairuhusiwi hivyo nilikula utawala sana shambani.
Mpaka shamba likawa jeupe tumevuna kila kitu
Hivyo kazi ya machungwa baada ya kama wiki ikafa tukawa hatuendi tena.
Nikawa najila ili niende kundi la bustani nikafanikiwa, kule pia utawala sana tunamwagilizia michicha spinach ila tatizo likaja bustani kwenda ni asubuhi na jioni tu. Mchana tunaambiwa twende shambani kung'oa visiki.
Huko shambani mbali kama 2km nikaona hiki kipengele kila siku kubeba visiki nikawa nalalamika sana.
Anna akaniambia kwanini usiende kitengo cha karate?
Nikafunga ukurasa na kazi mchanganyiko nikahamia karate rasmi!
Itaendelea.
kubeba dunia nq kutembea kimamba mambaKama huna malengo ya kuajiriwa kwenye majeshi Jkt Hamna umuhimu zaidi ya kupigwa nua, kuimba chenja, kukwepa ndege, kula kijogoo, kulima, na kwenda mabio
Kabuku hiyoNon of the above
Anhaa mi Tanga sijawahi kufika kwani mgambo na maramba wapi ni mbali?Masaa saba toka Dar, ndani ya Tanga hiyo na kwa maelezo yake ni Maramba moja hiyo.😊
Basi MAKAO.Apana sio Samia
Kutokea Dar unaanza Mgambo ukishukia Kabuku then unakunja Segera kabla ya kufika Maramba. Sasa mbona uliniquote na kunibishia kitu ambacho ni sahihi kijana? Au unaanzisha ligi ilimradi kucoment tu?Anhaa mi Tanga sijawahi kufika kwani mgambo na maramba wapi ni mbali?
Hakuna MSU mimi naongea kitu ambacho nna uhakika nacho ungekuwa hapo usingekosea kuandika kifupiWewe umetokea wapi? Ndani ya mia kuna ngapi?
Nimekubishia ya MSU sio hiiKutokea Dar unaanza Mgambo ukishukia Kabuku then unakunja Segera kabla ya kufika Maramba. Sasa mbona iliniquote na kunibishia kitu ambacho ni sahihi kijana? Au unaanzisha ligi ilimradi kucoment tu?
kwenye mashamba ya dhabibu...Kituo gani?
Ulikuwa makutupora?kwenye mashamba ya dhabibu...
ndio...!Ulikuwa makutupora?
Usiclaim dogo, usizoee tu kwa MSF Ila tukiongelea unit kwa separative point of view in military science ile inaitwa MSU. Sijui unakiwango gani cha elimu hii mpaka unanibishia. Njoo tutambuane pm alafu tuendeleeNimekubishia ya MSU sio hii
D Metakelfin endeleeni kuotea hivyohivyo! Labda mtapatia😄Masaa saba toka Dar, ndani ya Tanga hiyo na kwa maelezo yake ni Maramba moja hiyo.😊
Nadhani nimekujibu kwenye my previous comment usipoielewa na hiyo, maliza hiyo.Hakuna MSU mimi naongea kitu ambacho nna uhakika nacho ungekuwa hapo usingekosea kuandika kifupi
Sisi tulienda time ambayo kazi kubwa ilikua kwenda bustani kwa mzee Mwalami, shamba hatukugusa kabisa. Inshort sisi hatukupata shuruba za kazi ngumu hata kidogoKama ulipata kitengo mbn unang'aaa mapema tu