Niliyoyashuhudia Jeshini

Kule tulikua tunapita shadidi, aisee Kuna afande Moja tulikua tunamwita Trump, alivo trump na alivo yy sema trump kazeeka....pale tulifeka pembeni ya mto ruvu...yaan tangu asubuh ni kufeka tu Hamna kupumzika baada ya kuona mtiti umekua mkali tukajificha kwenye majani flan marefu trump kuona watu hawapo akawasha moto tukatoka nduki tulikuja kudakwa wote!

Jioni tulikabidhiwa kwa afande Moja anaitwa juma 😁anaongea kisela ila jamaa ni shetani yule usiku kucha ni kubebana, ni kuimba kukimbia aisee tulikua makuruti ya demo
 
Hivi uliwakutaga akina, Mayanga, Kwaro, Baba Hans, Humphrey Mwandenuka, Sulley, Mwamasangula
 
Tatizo lako utoto unakupa shida.
Hivi umeona kuna sentence imeambatana na hayo maneno? Kwa kuwa umepita JKT basi umekuwa mmiliki wa misemo ya jeshini sio? Kuna sehemu mtoa mada kasema tu comment mambo ya siku hizi? Pole sana dogo ujuaji utakuponza.
samahani kama nimekukwaza mkuu...🙏🙏🙏
 
Dada angu alienda ya kujitolea naona karudi mzuri vile vile 1.5yr ,Mungu amjalie apate hitaji la moyo wake anapenda sana Jeshi .Aliangua kilio siku ya usahili alivyoambiwa vigezo havijatimia vyeti vilichelewa kumfikia siku ya usahiliĺ.
We
Kwahyo wewe kuna service man alifanya yake
Mm kambi niliyo kuwepo kama kwa kudeka kwako huko wengekukula mapema sana ili upate kitonga other wise usiwe mzuriii
 
Ole wako service man umkatae utapata adhabu kama zote.
Kwahiyo ephen_ ilikulazimu umpe tunda service man ili kukwepa adhabu? Na hiki ndiyo kinatisha wazazi na wale wote ambao hatujaenda jeshini. Kuwa kuna tabia mbaya.

Katika simulizi yako yote hujaeleza faida yoyote ya maana uliyoipata huko jeshini kwa maana ya ujuzi ama maarifa.

Kweli mtu unaenda kupakaa matope, kukesha ukiimba na kuchimba visiki ktk karne hii? So what?

Nilitegemea mnafundishwa namna ya kubadilisha mbegu za mimea ziwe zinaendana na mabadiliko ya tabia nchi. Mngefundishwa namna bora ya kufuga, kulima na ubunifu wa kutengeneza silaha za kisasa.

Kuoga tope? Kukesha? Halafu mnaishia kugawa tunda kwa service man!!!!?? Aghhhj!! No! No!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…