Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbisa mzee wa "Nice"Mleta mada ni mdada,povu kafulie nguo mkuu
Hawezi maliza miezi mi3 halafu akaendelea kuwa na mwonekano wa kike. Hata mwendo huwa unabadilikaephen_ hukubadilika? 😂😂 kuna wadau walirudi na picha aisee ukiicheck ile picha huelewi mtoto wa kike ni yupi. Woteee wanafanana, sasa ndo uwe na komwe/ kisogo kimerudi nyuma
😂 si anazo za kutosha? Why asinipe? Ila sharti ni 1, ukitoka nayo nje ya mlango yakatokea mengine yeye atabaki upande wa Jeshi.Yaani mwenzako asotee halafu wewe akupe tu kama pipi.
hapana hio itakua tanga mgambo ni 835 alafu mgambo ukishuka kabuku hakuna daladala za kule ni boda pia mashamba ya mgambo hayako uelekeo wa standhata mleta uzi kitendo cha kusema tu walienda kuvuna machungwa hauza code hiyo ni mgambo 832 KJ kama sikosei maana kitambo sana ni miaka kumi sasa tangu nitoke huko
Ukirudi salama ni experience nzuri.Hawezi maliza miezi mi3 halafu akaendelea kuwa na mwonekano wa kike. Hata mwendo huwa unabadilika
Subscribed 🤣Huko tutafika mkuu! Picha ninazo nimezificha mbali sanaaaa
Plus kuna na rangi mbilimbili Aiseee😂
Tena anakunawa kabisa hata kama ni baby wake 😂😂 si anazo za kutosha? Why asinipe? Ila sharti ni 1, ukitoka nayo nje ya mlango yakatokea mengine yeye atabaki upande wa Jeshi.
832kj ni Ruvu Mzee Baba, Mgambo JKT no 835kj vijiji viambatanavyo na kikosi ni Gendagenda, Komsanga, kwa bojo, diwawala😄hata mleta uzi kitendo cha kusema tu walienda kuvuna machungwa hauza code hiyo ni mgambo 832 KJ kama sikosei maana kitambo sana ni miaka kumi sasa tangu nitoke huko
Una vi maneno😃Ukirudi salama ni experience nzuri.
Mteru mteru kama raia unakuwa unakupungua
Ulikuwa nanga ehee? Si ulikula mabao sanaNanga kama nanga😂😂 umenikumbusha ka kitu
Lazima akuchangamsheTena anakunawa kabisa hata kama ni baby wake 😂
Sasa usiombe utoke 92 alafu ukaangukia MSU pale NC Kigamboni.Special Force ni jehanam mkuu[emoji41]
nilijua nimeshawaka kumbe niko sawaHivi huwaga unasoma comment zako kabla hujatuma 😀😀😀
Binti wa afande Kumaliga weye.Sikwenda JKT mie, ila shule niliyosoma ilikuwa lazima kwata.
Nilikuwa NANGA wa mwendo wa pole [emoji23]
Mwanzoni ilikuwa ukinimixia na heshima kulia nakosa balance.
😀😀😀😀Kuna mmoja nilimtania naomba t shirt. Zile t shirt zao. Akanambia hizi hutupiwi mnadani, nenda kaitafute 😆
huyu atakua alikua maramba lakini kipindi kile maramba walikua wanakula bataTanga, maramba au Oljoro Arusha
Yalikukuta😅Lazima akuchangamshe
Piga nua kwanza mwili usisimke 😆😆
Afu aanze kukujutisha