Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
ule umbali wa komsanga aah[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Uncle kumbe ulienda na wewe Kazini, tena KB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ule umbali wa komsanga aah[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Akili kubwa hujadili maendeleo.Umewahi kwenda jkt?
nilienda uncleUncle kumbe ulienda na wewe Kazini, tena KB
Kama umesoma vizuri mtiririko wake wa story ungekuwa umesha gundua kuwa huyu ni mdada na sio mkakaHasira lazima niwe nazo. Una jina la kiume unaandika kwa sauti ya kike.
Nishamalizana naye na kuanzia hapo mimi ndo namlinda asisumbuliwe. Nisione tena mtu anamrusha kichura chura. Ata pause kama chura kwa raha zake siyo kwa adhabu.... Nadhani umenielewa.Kama umesoma vizuri mtiririko wake wa story ungekuwa umesha gundua kuwa huyu ni mdada na sio mkaka
Ni physical training shorts sema kikule ndio zinaitwa pitshot kufupisha.Mkuu pitshort inaandikwaje? Najua umeelewa naongelea nini
Kama unaitimisha kwakusema hivi nimeanza kukukubali sasa...Asikwambie mtu jeshini ni raha sana
Sio kauli za hovyo bali yote ni kukujenga na kukupa morale dogo.Mwendo mchupichipi mpaka Amala😃😃😃hawa jamaa walikuwa na kauli za hovyo sana
Kuna mmoja nilikutana nae mimi anaitwa afande Sigara. Nadhani yule kabla ya kwenda jeshi alikuwa mchungaji maana kaa yangu yote ya kambi sijawai msikia anatukana na chenja zake zote za dini😅 nyimbo yake pendwa ilikuwa heya heya wale wa ukwata na Uscf chuo wanaipata😃😃Hivi kwanini hawaruhusu kukumbatiana/ kukumbatia raia na combat ila wakiwa huko ni ruksa kukatika na combat 😂
Hivi kuna Combatant asiyekuwa na matusi? Hawa watu ni kisima cha matusi.
Ni kukomaa tu, tunajivunia kuwa na idadi kubwa ya waliofuzu vipindi vyote.Special Force ni jehanam mkuu[emoji41]
Me ukwel maisha ya Jeshi niliyapenda umri umenitupa mkono ila ningeludi hata kujitoleaSio kauli za hovyo bali yote ni kukujenga na kukupa morale dogo.
Ushaambiwa 92 ya mzuka hiyoSpecial Force ni jehanam mkuu[emoji41]
Ni shorts au shirts.. maana juu huwa ni Green vestNi physical training shirts sema kikule ndio zinaitwa pitshot kufupisha.
Una umri gani now? Kama haujaenda sana na uko fit piganisha dogo. Tunafurahi kusikia kuna vijana mmeiva kama nyinyi👍Me ukwel maisha ya Jeshi niliyapenda umri umenitupa mkono ila ningeludi hata kujitolea
Nanga brigedia😃Sikwenda JKT mie, ila shule niliyosoma ilikuwa lazima kwata.
Nilikuwa NANGA wa mwendo wa pole 😂
Mwanzoni ilikuwa ukinimixia na heshima kulia nakosa balance.