Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Efeni kumbe unajua karatee basi bwana,TItle inasema "niliyoyashuhudia jeshini" hivyo lazima niwaambie kila nilichokiona nikakipitia😄
Mimi mwenyewe nimechoka kuandika hapa natype episode moja ndefuu niwape tumalizane.
Yeah nakubaliana na wewe Mama yangu alisoma Tabora girls ananiambiaga walikuwa wanapiga course za ujeshiSisi hayo maisha tuliyaishi Tabora Girls enzi hizo. Ila walifuta tulipofika form four.
Hongera sana, ulizoea kamchezo😂😂"If it's bitter at the start, then it's sweeter in the end"
Hizi tips ningezipata mapema kuna mjomba wangu ningempatia alipoenda jeshini mwaka jana mwezi wa sitaYah uko sahihi nakumbuka kuna mwanangu week moja kabla ya kumaliza alifatwa na VX. Walikompeleka hatukujua nikaja kumuona baada ya takribani miaka 6 mbeleni akiwa front kwenye msafara wa magu.
Kwa jinsi tulivyoingia nae mpka anaondoka kambini na jinsi alivyokuwa anapiga kaz na mazoez na shabaha aliyonayo mpka maafande wakawa wanahis huyu atakuwa usalama kaja kuchunguza huku.
Mwez mmoja kabla ya kumaliza mafunzo kuna wanafunzi wakaongezwa kama watatu tukawa nao jambo la ajabu, ila jamaa alipoondoka tu na wenyewe wakapotea kwenye mazngira ambayo mpaka leo hatukuyaelewa jambo ambalo baadae sana baaada ya kuunga dot's nikaelewa
Asikwambie mtu jeshini ni raha sana
Lazima alirudi kaharibikaMdogo angu alienda, ilikuwa ni JKT KANEMBWA kama sijakosea. Muda wa kufanya maombi kwa ajili ya kujiunga chuo kikuu walipatiwa ruhusa ili waweze kufanya hivyo.
Aliporudi nyumbani, sikuamini nilicho kiona aisee. Alikuwa tofauti na jinsi alivyokuwa mwanzoni kabla ya kwenda jeshini.
Akaniambia “ kule kambini sio kuzuri kaka, ila ngoja nipambane tu niweze kumaliza “
Basi tunatofautiana maana ya madeko.Hakika,, kuna vitoto viko hivyo. Lakini binafsi siioni katika kudeka, sijui ni mazoea ya makuzi.
Mfano mdogo, nimekulia kwenye nyumba ambayo haina ndoo za lita 20. Ni tank, majaba na vindoo vya lt 10.
Nimemaliza heka heka za kusoma, nikapata tempo mkoani. Mshua akagoma nisitoke nyumbani kwenda kuishi mwenyewe ama laa niende huo mkoa nikakae kwa ndugu flani, nikakubali kwenda kwa huyo ndugu.
Hilo eneo nikakuta maji kukatika week nzima ni kawaida tu na hawana tank. Wana madumu na mandoo kibao ya Lt20, mimi siwezi kuyabeba.. yule mtu anapiga simu home kunisemelea kwamba najifanyisha. Home wananitetea kidizain aendelee kunizoesha kidogo kidogo.
So hapo napo ni kudeka? Hapana ni mazoea ya makuzi.
Nachukia kuumwa, ile moment mwili unakuwa unconfortable uwa siipendi. So najikuta ndio nimeshalia.
Mazoea ya kusindikizana pia, sijui umeagizwa wapi unaenda na mdogo wako, ama unaenda wapi umeenda na mama. Haya yalinifikia mpaka huku utu uzimani.. nikitoka job imetokea ninaondoka mwenyewe, nashindwa kutembea mwenyewe, naangalia contact list nimpigie nani mpk nifike stand.
kuna mtu humu anaitwa Lenie, nimemsumbua sana. Nikitoka nampigia tustorike mpaka navyopanda hiace. 😂
So ni mazoea na sio madeko… mtoto kamzoea baba ake, akimuona lazima amgande gande. Nyie ndo mnaona madeko? Hapana 😂😂😂
Hakuna MSU mimi naongea kitu ambacho nna uhakika nacho ungekuwa hapo usingekosea kuandika kifupi
Kile kituo ulichoshukia kinaitwa Resort wakati unareport ,shamba kule njiani ni majumba 6 yule mwalimu wa karate ni Ah*d ,SEHEMU YA 13
MAOKOTO
mwanzoni kuruta wote tulipewa kopo la uani na sanitizer sisi tukajua ni upendo tunapendwa sanaaa na bakabaka.
Mwisho wa mwezi ukafika kuruta njoeni kuna maokoto yenu jeshi tunawapa iwasogeze siku.
Tumekaa kombania bakabaka kashika burungutu mimi jina langu ni herufi ya mwanzo kwahiyo hela nilikua napewa wa kwanza
Nikaitwa jina nikaenda nikapewa hela halafu nisign, nikapiga jicho kwenye amount iliyoandikwa ni tofauti na niliyopewa, nikimaanisha nimepewa nusu ya hela.
Wote tukapewa tukaanza kuulizana vipi mbona tumepewa hela nusu?
Bakabaka akatuambia "Mlivyokuja mlichukua makopo yetu na sanitizer mlidhani tumewapa bure?"
Ikawa kila mwezi tunapewa maokoto nusu kisingizio ety tulivyokuja walitupa makopo na sanitizer zao!😄
NADHARIA YA WANAJESHI KUTEMBEA NA KURUTI
NIilivyotoka nyumbani usia ulikua kua makini huko wajeda sio watu wazuri!
Nikiri kwa nilichokiona WANAJESHI MNAWASINGIZIA!
Labda kama hiyo tabia ipo kambi zingine lakini kambi niliyokuepo mimi wanajeshi walikua wanajiheshimu sana.
Hawakua hata hivyo kusema wanatusumbua kuruta hapana.
Ila wanaoharibu sifa ni wale service man, wale ni vichomi kazi nyingi tunakua nao hivyo wanachukua nafasi hiyo kupenyeza nia yao ovu.
Ole wako service man umkatae utapata adhabu kama zote.
Mzazi usiogope mtoto kwenda kwa mujibu, faida ni nyingi kuliko hasara
"If it's bitter at the start, then it's sweeter in the end"
Asante kwa credits! Ethics muhimu.ephen_ Safi sana,ulianza kiunyonge ila umemaliza vizuri! Nimependa hapo mwisho kuwa positive kwa jeshi letu,hata hivyo nikupongeze kwa huu uzi utakua msaada na mwanga japo kidogo kwa wale waliokua na maswali kuhusu huko...nimefurahi pia hujafunguka sana baadhi ya vitu..na hizo ndio ethics.