Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somehow!
wanajeshi wanaishia kuwa walevi hapa bongo , mazoez ya awali tu ndo yanakupa ugumu kisa ugeni wa koziKazi ya jeshi lazima ugangamalee
huyu nahis ni mwanamke soma kwa utulivu bandiko lakeForm six gani Hiace anaita Hiance? Halafu wewe huu uandishi wako ushaharibiwa. Hakuna kitu umebaki nacho. Ndo maana mzee wako alitaka uende jeshini ukakaze misuli ya matako. Umeshalegea sana. Mwanaume hawezi omba saidiwa na mwanamke na hawezi lia eti anamwita mama yake. Wewe ni takataka. Ondoka hapa na uzi wako.
Wewe ulichaguliwa mke?
ulinyolewa na kiwembe pia Ephen?View attachment 2941848Hii picha imenikumbusha jeshini
Nan alikunyoa?ulinyolewa na kiwembe pia Ephen?
Ulivyokua nanga kiaina utakuwa uliwakata sana wenzio😀Ndio na mimi nilijifunza kunyoa watu na kiwembe jeshini.
Kila weekend tunakaguliwa kichwani unatakiwa uwe para na hakuna kinyozi ni nyie kuruta mnyoane wenyewe.
Its a joke dont mindUlivyokua nanga kiaina utakuwa uliwakata sana wenzio😀
Yes mchumba 😊
Enhee, baada ya kutoka jeshini ikawaje sasa? Upo kambi gani now? 😅Nitumie muendelezo, acha maringo
Uliishia kuwalimia mashamba yao kule kambini, alafu ukarudi kwenu 😅😅😊Kambi ya Msamvu😂