Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

Dah! Achilia mbali vyote ila unajua kusimulia. Hizi simulizi za itaendelea mara nyingi uwa zinanikata ila hii huwezi amini nimeenda nayo hadi mwisho. Hata kama ingekuwa na episode buku ningesoma zote.
 
Asante mkuu!
 
Nilisema "Sirudii tena!!"
Ila hio siku hutaisahau maisha nakwambia, doso la kombania af umewachoma wenzio mm nilijitahidi sana kudoji kwa mipango na kuangalia bakabaka alie zamu... ila kuna siku nilinaswa kofi kombania mda wa roll-call ikafika zamu yangu kuhesa nimelala sijui namba ngapi! akiamungu nilihisi manyotanyota. Sitasahau lile banzi nikikumbuka huwa nacheka tu.
 
Siwezi kusahau hio siku! Mwanangu hatoenda jeshi labda ang'ang'anie
 
Bora tuendelee kukumbuka lakini kurudi kule hapanaa!
Miezi miwili hivyo tungekaa mwaka je
Mm sometime huwa nakumbuka natamani kurudi sio coz of dose, ila ile lifestyle tu unajua ilikua na kamzuka flani uraiani kukapata ni nadra sana.
 
Siwezi kusahau hio siku! Mwanangu hatoenda jeshi labda ang'ang'anie
Nakuvutia picha hapa nikikumbuka wa demo af nakupigia picha serengeti na Donda lako hilo nacheka kweli, ila kuna mda unafika inabidi ufurahie tendo hamna namna
 
Mm sometime huwa nakumbuka natamani kurudi sio coz of dose, ila ile lifestyle tu unajua ilikua na kamzuka flani uraiani kukapata ni nadra sana.
Kurudi jkt ujanishawishi bado! Inaonekana unapenda jeshi
 
Nakuvutia picha hapa nikikumbuka wa demo af nakupigia picha serengeti na Donda lako hilo nacheka kweli, ila kuna mda unafika inabidi ufurahie tendo hamna namna
Mwanzoni nilidhani wewe ni mtu mzima kumbe mtoto wa elfu 2
 
Kurudi jkt ujanishawishi bado! Inaonekana unapenda jeshi
Hahaha nalipenda ila zile 6 week ziishe kwanza, napenda maisha yale tu unakuwa hauna stress zingine unajua utaenda mabio, mpango kazi, usiku doso, chenja hapo sasa mavibe kama yote. Ila sirudi sio kwa madoso yale mwanzoni mpk kuna mda unashindwa kukaa
 
Back
Top Bottom