Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka yetuu huo upuusi haukuwepoWewe unasema tu!
Kwani enzi zako ulienda jkt?
Muhimu saana nyinyi watoto WA 2000 mpelekwe ili mkakamae.Basi wewe ni mzee sanaaa!
Baba angu ameshavuka 50 lakini alienda alivyomaliza 6
😂😂Mpaka hapa umeshaishi miaka mingiii! Hongera
Ila hio siku hutaisahau maisha nakwambia, doso la kombania af umewachoma wenzio mm nilijitahidi sana kudoji kwa mipango na kuangalia bakabaka alie zamu... ila kuna siku nilinaswa kofi kombania mda wa roll-call ikafika zamu yangu kuhesa nimelala sijui namba ngapi! akiamungu nilihisi manyotanyota. Sitasahau lile banzi nikikumbuka huwa nacheka tu.Nilisema "Sirudii tena!!"
Siwezi kusahau hio siku! Mwanangu hatoenda jeshi labda ang'ang'anieIla hio siku hutaisahau maisha nakwambia, doso la kombania af umewachoma wenzio mm nilijitahidi sana kudoji kwa mipango na kuangalia bakabaka alie zamu... ila kuna siku nilinaswa kofi kombania mda wa roll-call ikafika zamu yangu kuhesa nimelala sijui namba ngapi! akiamungu nilihisi manyotanyota. Sitasahau lile banzi nikikumbuka huwa nacheka tu.
Mm sometime huwa nakumbuka natamani kurudi sio coz of dose, ila ile lifestyle tu unajua ilikua na kamzuka flani uraiani kukapata ni nadra sana.Bora tuendelee kukumbuka lakini kurudi kule hapanaa!
Miezi miwili hivyo tungekaa mwaka je
Nakuvutia picha hapa nikikumbuka wa demo af nakupigia picha serengeti na Donda lako hilo nacheka kweli, ila kuna mda unafika inabidi ufurahie tendo hamna namnaSiwezi kusahau hio siku! Mwanangu hatoenda jeshi labda ang'ang'anie
Hahaha nalipenda ila zile 6 week ziishe kwanza, napenda maisha yale tu unakuwa hauna stress zingine unajua utaenda mabio, mpango kazi, usiku doso, chenja hapo sasa mavibe kama yote. Ila sirudi sio kwa madoso yale mwanzoni mpk kuna mda unashindwa kukaaKurudi jkt ujanishawishi bado! Inaonekana unapenda jeshi