Niliyoyashuhudia mkesha wa mwaka mpya Arusha: Ufuska wa kutisha, anasa, ulevi, matusi, na hekaheka zingine

Niliyoyashuhudia mkesha wa mwaka mpya Arusha: Ufuska wa kutisha, anasa, ulevi, matusi, na hekaheka zingine

Sawa , mtoa mada umesema umeishi dar huenda kbs wewe ukawa mgenii wa jiji maeneo km hayo yapo mbona km uwanja wa gisi huko, mbagala na n.k
Sijaenda ndani ndani sana mi najua sinza ni kama Kuna staha fulani. Sijui chimbo zaidi ya sinza mitaa ya kitambaa cheupe!
 
Nakuja Arusha nitakaa siku 7
Unafurahia, fikia hotel nzuri.. kama mfuko upo vyema.. upewe vitu
Screenshot_20260101-215441.png
 
Nimesahau Kuna mademu wamevaa sketi zimeshonwa kama za wanafunzi ila fupi usipime
 
Back
Top Bottom