Huh hivi kwani dini ni nini? Iman ni nini? Ningependa kujua mtazamo au ufaham wako kuhusu hili.
Navyojua mie Dini ni mfumo na mwenendo wa Maisha. Kuanzia unakula vipi, unazungumza vipi, unatembea vipi, malezi kwa ujumla, utafutaji rizki na so sooo... kwamba mfumo mzima wa maisha ndio dini yenyewe. Na pale inaposemwa kuna dini nyingi duniani upande wangu naelewa kuna mifumo mingi ya maisha duniani. Kuna mifumo ya kiislam (Unyeyekevu), kuna mifumo ya kikristo, kipagani n.k
Then, Imani... Kwa ufaham wangu mimi ni kusadiki au kua na hakika ya mambo yanayoonekana na yasioonekana. Vile katika hili kuna Imani tofauti tofauti sana. Nitolee mfano Aina za Imani zinazofanana na tunacho kiongelea hapa. Imani ya Kiislam na Imani ya Kikristo.
Hua nshangazwa mtu anaposema toa mambo ya kidini hapa? How akati dini ni mfumo na mwenendo wa Maisha. Kwanini mtu huyo asiseme toa mambo yako ya kiimani hapa. Au kwanini isiwe mfia Imani iwe mfia dini? Kwani kiini cha mtifuano kipo kwenye Imani sio kwenye mienendo ya Maisha na kama ipo basi ni michache.
Nimesema haya kwasababu naona kama ni vitu viwili ambavyo vinatumika isivyo sawa kimazoea. Hivi viwili vinaweza kua pamoja au visiwe pamoja.
Kuna watu hawana Imani, yaani hawaamini katika yasio onekana ila wanaendesha maisha yao kwa kufata moja ya mifumo ya miasha iliyopo either ya Kiislam, Kikristo au mengineyo.
Kuna watu wana Iman ya Kiislam ila wanaishi kwa kufata mfumo wa Kikristo na kuna watu pia wana Iman ya Kikristo ila wanaishi kwa kufata mfumo wa maisha ya kiislam. Au pia unakuta wana imani za kiislam au kikristo ila wanaishi kipagani.
Kuna mda naonelea kutoelewa maana ya halisi ya vile tunavyozungumza inatosha kuchochea huu mkanganyiko uliopo... Na mkanganyiko uliopo hauwezi kutoka kamwe kama mtu hayupo radhi kujifunza kitu kipya hata kama kikiwa tofauti na kile ambacho tayari keshajifunza.
Hivi kuna mtu alishawah waza kwa nafasi yake vipi kama kila kitu unachofaham hadi leo hii ni Uongo na hakipo?
Kati ya shirikiano au kushirikiana... na ile ya Binadam kutaka msaada kwa kiumbe kingine. Ni kitu kimoja au vitu viwili tofauti???? Em nifahamishe hili.
La pili lipo ndani ya uwezo wangu. ni kweli namwabudu Mungu mmoja asiye na dini wala imani. lugha wala kabila. nchi wala nyumba. Na naamini yuko peke yake...
Hakuna taabu wala ingawa hujanifahamisha kama unamsujudia, so nitapenda unijibu hilo. Na kama ndio unamsujudia vipi, wakati wa sala au? Na kama ni hapana ikiwa hutojali uniambie ni kwanini.
Kingine katika hiki ambacho nime qoute, hayo maneno uliyotumia itakua vyema unifahamishe maana ake unavyoelewa wewe ili nisikutafsiri namna navyoelewa mie tukashindwa kukaa meza moja vizuri.
Dini ni nini, Imani ni nini! Na kwanini unasema Mwenyezi Mungu hana dini wala Imani? Je hili kuna sehem umejifunza au ni wewe tu ndio umejiamulia juu ya jambo hilo?
Anha sauwa nimekuelewa, ngoja tulipanue hili swala na mie niseme ninachokifaham au kukielewa juu ya shirk.
Ushirikiano ni kitendo cha kuungana katika kufanya jambo flan. Mfano mie na wewe Simba hapo tunaweza kushirikiana kutengeneza gari hadi liwe sawa. Wake zetu wanaweza kushirikiana lel say katika upishi kisha wakatuletea sie tukala. N.k
Hapo ni kwenye neno ushirikiano.
Shirk ambayo inazungumziwa na Allaah mtukufu ni katika kuabudu. Hapa naongelea ufaham wangu mimi. Shirk hii katika kuabudu ni kumtaka kiumbe mwingine msaada along mola wetu mlezi. Hapa sijui naeleweka? Hope so.
Mfano mtu anaenda msikitini kumuomba mwenyezi Mungu jambo kisha anaenda kilingeni kuomba mizimu jambo. Hii ni Shirk na inatafsrika kama kumdogosha mwenyezi Mungu akana kwamba hatoshi so unatafuta msaada sehem nyingine mbali nae. Kitu ambacho si sawa.
Kuna kauli kama hizi nitazitaja juu juu zipo kwenye kitab kitukukufu, like "Na waumini wamtegemee yeye tu, Mola wa walimwengu" nyingine kama "Wewe pekee ndie tunakuabudu na wewe pekee ndie tu tunakutaka msaada" zikiwa ni miongoni mwa kauli zenye kutaka kumpwekesha yeye Muumba kwa upekee wake.
Kufupisha upande wangu mie naelewa shirki katika mtazamo huo, Kushikirikishwa na asiekua Allaah katika kuabudu. Ila ushirikiano baina ya watu na watu katika maisha ya kila siku upo iwe ni kwenye kheri au ubaya.
Hapo ndio nikapata wazo la kutaka kuuliza kwani Ushirikiano na kutakana Msaada ni vitu viwili tofauti au ni kitu kimoja. Kwani kama umechunguza vizuri wengi tunatumia maneno mengi kimazoea bila kujua maana halisi ya maneno tunayotumia. Sasa ikitokea huyu analimaanisha hivi na yule analimaanisha vile basi mtafaruku unaanzia hapo hapo.
Huh hivi kwani dini ni nini? Iman ni nini? Ningependa kujua mtazamo au ufaham wako kuhusu hili.
Navyojua mie Dini ni mfumo na mwenendo wa Maisha. Kuanzia unakula vipi, unazungumza vipi, unatembea vipi, malezi kwa ujumla, utafutaji rizki na so sooo... kwamba mfumo mzima wa maisha ndio dini yenyewe. Na pale inaposemwa kuna dini nyingi duniani upande wangu naelewa kuna mifumo mingi ya maisha duniani. Kuna mifumo ya kiislam (Unyeyekevu), kuna mifumo ya kikristo, kipagani n.k
Then, Imani... Kwa ufaham wangu mimi ni kusadiki au kua na hakika ya mambo yanayoonekana na yasioonekana. Vile katika hili kuna Imani tofauti tofauti sana. Nitolee mfano Aina za Imani zinazofanana na tunacho kiongelea hapa. Imani ya Kiislam na Imani ya Kikristo.
Hua nshangazwa mtu anaposema toa mambo ya kidini hapa? How akati dini ni mfumo na mwenendo wa Maisha. Kwanini mtu huyo asiseme toa mambo yako ya kiimani hapa. Au kwanini isiwe mfia Imani iwe mfia dini? Kwani kiini cha mtifuano kipo kwenye Imani sio kwenye mienendo ya Maisha na kama ipo basi ni michache.
Nimesema haya kwasababu naona kama ni vitu viwili ambavyo vinatumika isivyo sawa kimazoea. Hivi viwili vinaweza kua pamoja au visiwe pamoja.
Kuna watu hawana Imani, yaani hawaamini katika yasio onekana ila wanaendesha maisha yao kwa kufata moja ya mifumo ya miasha iliyopo either ya Kiislam, Kikristo au mengineyo.
Kuna watu wana Iman ya Kiislam ila wanaishi kwa kufata mfumo wa Kikristo na kuna watu pia wana Iman ya Kikristo ila wanaishi kwa kufata mfumo wa maisha ya kiislam. Au pia unakuta wana imani za kiislam au kikristo ila wanaishi kipagani.
Kuna mda naonelea kutoelewa maana ya halisi ya vile tunavyozungumza inatosha kuchochea huu mkanganyiko uliopo... Na mkanganyiko uliopo hauwezi kutoka kamwe kama mtu hayupo radhi kujifunza kitu kipya hata kama kikiwa tofauti na kile ambacho tayari keshajifunza.
Hivi kuna mtu alishawah waza kwa nafasi yake vipi kama kila kitu unachofaham hadi leo hii ni Uongo na hakipo?
Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo, yaonekanayo na yasiyoonekana. Huwezi kuwa na hakika bila kuwa na uelewa. Imani inakuja kwa kusikia(kuelewa neno la Mungu).
Tofautisha kati ya imani(faith) na kuamini(believe). Tuna imani na tunayoyajua tu ILA tuna amini hata tusiyoyajua. Mfano: nikikwambia nakwamini hapo namaanisha nakubali unachoniambia ila kikienda tofauti na vile umeniambia ni kumaanisha sikuamini ILA nikikwambia nina imani na wewe namaanisha nakujua vizuri hivyo hata unachoniambia kikienda tofauti haitabadilisha kitu maana nakufahamu. Imani ni sifa ila kuamini ni kitendo, ndo maana wafuasi wa dini wanaitwa believer, kusema kwamba imani ndo inakuokoa ni kumaanisha kwamba sio wote wafuasi wa dini ni wenye imani, wengi ni wenye kuamini.
Ili uwe na imani inakuhitaji ustahili kuipata na sio kwa kusema tu, imani inaambatana na haki na amani. Bayana ya yake ni furaha. Mwenye imani utamsoma ni mtu mwenye haki, amani na furaha. Hata akipitia shida haitamuondolea furaha yake na amani maana anafahamu anayo haki. Ukimsoma Ibrahim baba wa imani, alisomeka na sifa hizo zote tatu.
Dini ni njia ya kuturudisha Eden( ufalme wa Mungu), binadamu alikosa utii kwa mwenyezi Mungu akala tunda, kitendo cha kujificha baada ya kusikia sauti ya Mungu ni kumaanisha alikosa amani, furaha na kupoteza haki, na kula tunda ni kumaanisha walikosa imani na Mungu. Dini ilikuja baada ya dhambi(kama dini ndio imani basi ingekuepo kabla ya dhambi, Eden) lakini ilikuja baadae na ikawa kama njia ya kuturudisha katika ufalme wa Mungu.
Dini imebeba asili ya ilipoanzia ILA imani inabeba uhalisi, ndo maana watu wenye imani wanaongea lugha moja bila kujali dini zao maana dini imebeba asili ambapo asili ina tofauti ILA halisi ni halisi haina tofauti sababu inatokana na chanzo kimoja.

Paragraph ya kwanza, ya pili na ya tatu kuhusu maana ya neno "Imani" ninakubaliana na wewe kwa 90%. Hizo 10 tuzikaushie 🤣. Umezungumza vizuri hakika.
Then hizo paragraph mbili zilizobaki, niseme kwamba sikubaliani na wewe. Hujalielezea dini kama ulivyofanya kwenye maana ya Imani hapo juu. Ni kama umeeleza maana ya dini ya kikristo kwa namna unavyoielewa wewe.
Sasa nikutake urudi kuniambia maana ya neno Dini kama dini... Kwamba Neno "DINI" lina maana gani, kwani kuna dini za aina nyingi ila kabla ya kuingia kwenye aina zake. Tulitafsiri neno lenyewe Dini. Nasema hivyo kwasababu, ukiitumia maana uliyoisema Je dini ya kipagani nayo ni njia ya kuturudisha Eden? So ingependeza kama ukishare maana unayo ijua kuhusu neno Dini kama Dini bila kuingia kwe aina za dini hizo.
Lastly ni kwenye paragraph ya mwisho, kuna kitu kinanipa ukakasi kwenye maelezo yako. Kwamba watu wenye Imani wanazungumza lugha moja ila watu wa dini ndio inakua ngum. Hili silikubali kwasababu mifano hai hata wewe pia unayo na hapa ipo.
Imani zipo tofauti, wewe unaamini katika hili mwingine anaamini katika lile labda itokee katika yale mnayo yaamini kuna kinachofanana hapo ndio mnajikuta mnazungumza lugha moja.
Tunapozungumzia mfumo wa maisha ni unaweza kusema ni kama tamaduni, hapa nieleweke vizuri... Nimesema ni "kama tamaduni". Unakuta kila jamii ina ya kwake, hivo na Dini kila kundi linakua na yao. Ambayo inakua na sheria na taratibu za kufata katika kila aspect ya Maisha.
Ndio ile unasikia "Waislam wakitaka kula hufanya hivi na vile" au "Wakristo katika mavazi yao huvaa hivi na vile" au wapagani katika jambo hili hufanya hivi na vile. Ukirejea hapa ndio nikatoa mfano kule juu niliposema kuna mtu anaweza kua na Iman X ila akaishi kwa kufata dini/mfumo V. Mfano labda mie na Iman ya Kiislam ili siishi kwa kufata mfumo wa maisha ya kiislam. Naamini katika Mwenyezi Mungu Mmoja na kua Muhammad n mtume wake but sisali, nakunywa zangu urabu, kwa kifupi sifati taratibu wala sheria yoyote ya Dini hii (Mfumo huu) wa maisha.
JINN CATCHING
Nianze kwa kusema maelezo nitakayoyatoa kuhusu njia hii ya kumkamata jinni ni kwa mujibu wa sheikh AbdoraufBenhalima nitajitaidi kufupisha kama mtu atakuwa na swali atauliza.
Nianze hivi, Nadhani wengi wetu tushaona mtu ana pandisha majini wengine husema kupandisha pepo sasa mtu anapokuwa katika hali ile maana yake jini ndio kamvaa mtu kinyume chake ni kuwa mtu anaweza kumvaa jini yaani mtu anamkamata jini hii ni kwa lazima jini ata kama hataki atakuja na atakuwa kakamatwa hio ndio jinn catching.
ili njia hii ifanye kazi ni lazima kuwe na catcher, Catcher ndio mtu atayemkamata huyo jini na sio kila mtu anaweza kuwa catcher ila ni mtu ambaye ashawahi kukumbwa na majini na majini yakaongea kupitia yeye ndio maana mwanzoni nikasema wale wanao pandishaga majini, hawa wanaweza kuwa catcher.
Sasa kwanini njia hii itumike?, Kwa mujibu wa sheikh anasema uchawi upo wa aina nyingi mtu anaweza fanyiwa uchawi na uchawi ule ukafukiwa, ukatupwa baharini, ukatupwa kwenye kisima ukazikwa makaburini n.k sasa ikiwa utamsomea mtu atapata nafuu lakini uchawi ule bado upo huko ulipowekwa hivyo mgonjwa atapata nafuu ila ataendelea kuumwa baada ya muda tena na ni ngumu wewe kujua uchawi unaomsumbua ulipo na ikatokea ukajua mfano umefukiwa makaburini ni ngumu wewe mwanadamu kufukua huko ndio maana njia hii inamwezesha tabibu kumuita jini aliyehusika katika huo uchawi maana uchawi ukifanyika majini waovu huulinda uchawi huo sasa jini yule akija anakuwa kakamatwa yeye na sio yeye kamvaa mtu na atalazimishwa autoe uchawi ule uko ulipo pamoja na mambo mengine kulingana na ugonjwa wa mtu.
Maelezo ni marefu ila kwa ufupi ni kuwa njia hiyo inafanyika kwa kusoma aya ya 196 ya surat al a`raf mara moja kisha utasoma aya ya 148 surat baqarah kuanzia aynama takoon mpka mwisho wa aya utairudia mara nyingi mpaka jini adhihiri. إِنَّ وَلِيِّيَ اللَّـهُ الَّذِي نَزَّلَ الْكِتَابَ وَهُوَ يَتَوَلَّى الصَّالِحِينَ -- Araf --196 ayat
Inna waliyyi Allahu allathee nazzala alkitaba wahuwa yatawalla as-saliheen." وَلِكُلّٖ وِجۡهَةٌ هُوَ مُوَلِّيهَاۖ فَٱسۡتَبِقُواْ ٱلۡخَيۡرَٰتِۚ أَيۡنَ مَا تَكُونُواْ يَأۡتِ بِكُمُ ٱللَّهُ جَمِيعًاۚ إِنَّ ٱللَّهَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ قَدِيرٞ--- baqara 148 ayat
Wa likullinw wijhatun huwa muwalleehaa fastabiqul khairaat; ayna maa takoonoo yaati bikumullaahu jamee’aa; innal laaha ‘alaa kulli shai’in qadeer.
Hii surat baqarah utaanzia hapo kwenye ayna maa takoonoo mpka mwisho kwa kurudia mara nyingi mpaka jini adhihiri.
N.B: Wapo baadhi ya masheikh wanampinga sheikh ben halima wakidai kuwa njia hii anayotumia sio sahihi na wametoa hoja zao na sheikh ben halima akatoa hoja zake pia kutetea njia hii hivyo kama wewe unapenda kujifunza zaidi unaweza ingia mtandaoni ukawasikiliza you tube video zao zipo nyingi tu. sheikh amezunguka nchi nyingi sana kupamabana na wachawi na mashayatwiin na moja katika mada zake alizozifanyia jini catching ni pamoja na vita kati ya israel na palestina, barmurda triange, freemason,Pyramid za misri, Emarald book, vitabu vya imam ghazal, The coming of masih dajjal, vita vya somalia, vita vya nigeria,political issues kama za watoto kuuwawa sana zinapokaribia chaguzi katika nchi mbalimbali n.k zote hizo anakuwa anawakamata majini wanohusiana na kitu anachotaka kujua kisha ana jadiliana nao.
ukitaka kujifunza zaidi kuhusu njia hii ingia katika website yake linki hio
Duh pole sana ndungu, kuwa na moyo wa matumaini na kumshukuru MUNGU kwa kila jambo kwani yeye ni muweza wa yote.Wakati wa BWANA ukifika yote yaliyokuumiza utayasahau na kumshukuru MUNGU🙏

2) Hilo la pete inavyofanya kazi kunificha nililiuliza sana kwa alienipa hio pete, nimelielewa hivi; Pete nikiiminya kwa kuificha ni mawasiliano tu na Arsis ambae anaweka teknolojia ya kuwekewa kama pazia la kunificha nisionekane. Nabaki kuwa mimi mwenyewe na unaweza kunigusa au kunishika ukahisi lakini hunioni, ndio maana nakwepa sana kugusana na mtu nikifanya hivyo. Nilivypelewa mimi ni teknolojia tu au nsiseme mazingaombwe tu hakuna zaidi.
3) hayo ya sala na sadaka ni mambo makubwa sana kupita maelezo, Qur'an imeyasisitiza sana na ipo wazi kuhusu hayo. Ni kinga ya kila kitu. Mwenyezi Mungu wetu ni kila kitu. Maana mojawapo ya neno "sadaka" no urafiki, unapotoa sadaka unafanya urafiki na Muumba wako, kuna lipi lenye ubora zaidi ya kua rafiki wa muumba wetu?
Sadaka pia ina maana nyingine lakini zinaelekea hukohuko kwenye mema. Simba.
Kuna sehemu mkiwa na majini wengine mnavuka checkpoint mkawa mnayapita magari mengine bila kuyakwepa. Hapo unazungumziaje na teknolojia hiyo ya mazingaombwe?
Hakuna taabu wala ingawa hujanifahamisha kama unamsujudia, so nitapenda unijibu hilo. Na kama ndio unamsujudia vipi, wakati wa sala au? Na kama ni hapana ikiwa hutojali uniambie ni kwanini.
Kingine katika hiki ambacho nime qoute, hayo maneno uliyotumia itakua vyema unifahamishe maana ake unavyoelewa wewe ili nisikutafsiri namna navyoelewa mie tukashindwa kukaa meza moja vizuri.
Dini ni nini, Imani ni nini! Na kwanini unasema Mwenyezi Mungu hana dini wala Imani? Je hili kuna sehem umejifunza au ni wewe tu ndio umejiamulia juu ya jambo hilo?
Kwanza kabisa msingi wa hojabinayozalisha mjadala huu ilikuabkumjibu aliyesema Yesu alipandisha jini katika zile siku 40. Nikauliza anayepandisha majini anaweza kujitoa yeye mwenyewe.?
So kuhusu hilo mimi mwenyewe nasubiri jibu mpaka Leo ambalo niliambiwa lipo ktk mistari niliyoiquote.
Nikirudi katika maswali hoja yako, kwanza natumia maandiko mbalimbali na kwa akili yangu napata maana ninayoielewa.
Imani ni Kuamini, Dini ni mfumo au utaratibu wa maisha ya kiroho. Na Mungu hana hivyo vyote kwasababu hana wakumchallange.
Kusujudu ni tends lakusalim amri kwa Muumba na inatakiwa viungo 7 vya mwili viguse ardhi na huo ndio utaratibu kwa watu wote kabla ya dini kuwapo. Dini ndio zimeleta u tofauti katika kumsujudu Mungu mkuu.
Kuna tamthilia ya Journey to the west ya Wachina Wu kong Monkey, Reveland, Pig na other brother, ukiangalia ni kama vitu vya kusadikika ila ukija kwenye huu uzi ile tamthilia ni vitu genuine vipo.
Safari ya Wu kong Monkey na Reveland wao kutoka China kwenda India kufuata scripture njiani wanakutana na mitihani mingi sana ya demons ambao wana uwezo wa kujigeuza maumbile mbalimbali na kukuteka moaka kwenye caves zao au under sea.
Yule Monkey Wukong ana access ya kupaa mpaka mbinguni kwenda kupata access mbalimbali hapa naweza kupata refference ya book of Enoch.
Kimsingi kuna tamthilia ni maigizo lakini zinaweza kukusaidia pakubwa sana kuijuwa dunia, siri za dunia zimewekwa kwa mtindo wa movie na codes ziko humo, na ukisoma uzi kama huu ni starehe tupu vibweka vya Arsis commoro unakuwa kama unaviona live.
Kuna sehemu mkiwa na majini wengine mnavuka checkpoint mkawa mnayapita magari mengine bila kuyakwepa. Hapo unazungumziaje na teknolojia hiyo ya mazingaombwe?
JINN CATCHING
Nianze kwa kusema maelezo nitakayoyatoa kuhusu njia hii ya kumkamata jinni ni kwa mujibu wa sheikh AbdoraufBenhalima nitajitaidi kufupisha kama mtu atakuwa na swali atauliza.
Nianze hivi, Nadhani wengi wetu tushaona mtu ana pandisha majini wengine husema kupandisha pepo sasa mtu anapokuwa katika hali ile maana yake jini ndio kamvaa mtu kinyume chake ni kuwa mtu anaweza kumvaa jini yaani mtu anamkamata jini hii ni kwa lazima jini ata kama hataki atakuja na atakuwa kakamatwa hio ndio jinn catching.
ili njia hii ifanye kazi ni lazima kuwe na catcher, Catcher ndio mtu atayemkamata huyo jini na sio kila mtu anaweza kuwa catcher ila ni mtu ambaye ashawahi kukumbwa na majini na majini yakaongea kupitia yeye ndio maana mwanzoni nikasema wale wanao pandishaga majini, hawa wanaweza kuwa catcher.
Sasa kwanini njia hii itumike?, Kwa mujibu wa sheikh anasema uchawi upo wa aina nyingi mtu anaweza fanyiwa uchawi na uchawi ule ukafukiwa, ukatupwa baharini, ukatupwa kwenye kisima ukazikwa makaburini n.k sasa ikiwa utamsomea mtu atapata nafuu lakini uchawi ule bado upo huko ulipowekwa hivyo mgonjwa atapata nafuu ila ataendelea kuumwa baada ya muda tena na ni ngumu wewe kujua uchawi unaomsumbua ulipo na ikatokea ukajua mfano umefukiwa makaburini ni ngumu wewe mwanadamu kufukua huko ndio maana njia hii inamwezesha tabibu kumuita jini aliyehusika katika huo uchawi maana uchawi ukifanyika majini waovu huulinda uchawi huo sasa jini yule akija anakuwa kakamatwa yeye na sio yeye kamvaa mtu na atalazimishwa autoe uchawi ule uko ulipo pamoja na mambo mengine kulingana na ugonjwa wa mtu.
Maelezo ni marefu ila kwa ufupi ni kuwa njia hiyo inafanyika kwa kusoma aya ya 196 ya surat al a`raf mara moja kisha utasoma aya ya 148 surat baqarah kuanzia aynama takoon mpka mwisho wa aya utairudia mara nyingi mpaka jini adhihiri. إِنَّ وَلِيِّيَ اللَّـهُ الَّذِي نَزَّلَ الْكِتَابَ وَهُوَ يَتَوَلَّى الصَّالِحِينَ -- Araf --196 ayat
Inna waliyyi Allahu allathee nazzala alkitaba wahuwa yatawalla as-saliheen." وَلِكُلّٖ وِجۡهَةٌ هُوَ مُوَلِّيهَاۖ فَٱسۡتَبِقُواْ ٱلۡخَيۡرَٰتِۚ أَيۡنَ مَا تَكُونُواْ يَأۡتِ بِكُمُ ٱللَّهُ جَمِيعًاۚ إِنَّ ٱللَّهَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ قَدِيرٞ--- baqara 148 ayat
Wa likullinw wijhatun huwa muwalleehaa fastabiqul khairaat; ayna maa takoonoo yaati bikumullaahu jamee’aa; innal laaha ‘alaa kulli shai’in qadeer.
Hii surat baqarah utaanzia hapo kwenye ayna maa takoonoo mpka mwisho kwa kurudia mara nyingi mpaka jini adhihiri.
N.B: Wapo baadhi ya masheikh wanampinga sheikh ben halima wakidai kuwa njia hii anayotumia sio sahihi na wametoa hoja zao na sheikh ben halima akatoa hoja zake pia kutetea njia hii hivyo kama wewe unapenda kujifunza zaidi unaweza ingia mtandaoni ukawasikiliza you tube video zao zipo nyingi tu. sheikh amezunguka nchi nyingi sana kupamabana na wachawi na mashayatwiin na moja katika mada zake alizozifanyia jini catching ni pamoja na vita kati ya israel na palestina, barmurda triange, freemason,Pyramid za misri, Emarald book, vitabu vya imam ghazal, The coming of masih dajjal, vita vya somalia, vita vya nigeria,political issues kama za watoto kuuwawa sana zinapokaribia chaguzi katika nchi mbalimbali n.k zote hizo anakuwa anawakamata majini wanohusiana na kitu anachotaka kujua kisha ana jadiliana nao.
ukitaka kujifunza zaidi kuhusu njia hii ingia katika website yake linki hio
Kwanza kabisa msingi wa hojabinayozalisha mjadala huu ilikuabkumjibu aliyesema Yesu alipandisha jini katika zile siku 40. Nikauliza anayepandisha majini anaweza kujitoa yeye mwenyewe.?
So kuhusu hilo mimi mwenyewe nasubiri jibu mpaka Leo ambalo niliambiwa lipo ktk mistari niliyoiquote.
Nikirudi katika maswali hoja yako, kwanza natumia maandiko mbalimbali na kwa akili yangu napata maana ninayoielewa.
Imani ni Kuamini, Dini ni mfumo au utaratibu wa maisha ya kiroho. Na Mungu hana hivyo vyote kwasababu hana wakumchallange.
Kusujudu ni tends lakusalim amri kwa Muumba na inatakiwa viungo 7 vya mwili viguse ardhi na huo ndio utaratibu kwa watu wote kabla ya dini kuwapo. Dini ndio zimeleta u tofauti katika kumsujudu Mungu mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.