Lidafo
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 889
- 1,789
PrincipledVipi m@moderator, nani kaupunguza huu uzi, kisa cha Arsis cha Unguja sikioni. Kama mmekifuta si mnatakiwa mtujulishe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PrincipledVipi m@moderator, nani kaupunguza huu uzi, kisa cha Arsis cha Unguja sikioni. Kama mmekifuta si mnatakiwa mtujulishe?
Habari Dada faiza FaizaFoxy
Samahani Sana Kwa kukukwaza kwa Bandiko Langu ambalo wewe Umeona Halina Maana..
Ufafanuzi:
Kama Ukiangalia Vizuri Bandiko hilo Limeandikwa Tarehe 05 December 2024 Obviously Lina Miezi Miwili Tangu liandikwe..
Na kama Umenotice Ni kwamba Baada ya Bandiko Hilo Sikuwasilisha Bandiko jingine tena kwenye Uzi huu..
Nini Kilitokea!
Watu waliomba Niongelee hiyo Mada na Nilikataa (Maana kwa Kawaida Huwa Sianzishi Mada Kwenye Mada ya Mtu mwingine unless Inahusiana na Jambo husika..
Ikabidi nimtafute Mwenye Uzi wake na Kumuuliza Kuhusu Maoni ya Watu kuongelea Kuhusu Muktadha Wa makanisa saba kama Ilivyoongelewa kwenye Ufunuo Na Ku Decipher the massage Behind nikapata Baraka Zote za Mtoa mada Kuwa ninaweza Kuliongelea..
Nilipoliongelea Baada ya Wiki moja Nikapokea Maoni Tofauti kutoka kwa Watu tofauti wengine ni watu ninaowaheshimu Sana kuniambia Nisitishe jambo hilo na Nilikubaliana nao na Nikasitisha Kuongelea Swala Hilo kwa muktadha wowote huku Wasomaji Nikiwaadaa Kuwa Nitawaletea Somo hilo nikipata Muda (Siri nyuma ya Kuahirisha Kila siku Kuleta somo hilo)..
Samahani Sana Kwa Kukereka lakini Kwa bahati mbaya Ni kwamba Kero yako Imechelewa Kufika kwa sababu Kero zote ziliwasilishwa ndani ya Wiki Moja huenda Ningeijibu kwa Muda..
Asante sana
Aanziahe uzi wake, asituchanganyie madawa hapa.Mkuu .. What's wrong ukiendelea na hiyo mada kama mwenye uzi kakuruhusu?
Hata hivyo naheshimu maamuzi yako mkuu just i want to know.
= fursaMjinga kivipi ?
Kama Sulemani aliyatumia Majini mema katika kumsaidia kufanyia kazi mbali mbali, kwanini mimi nisiichukue hiyo fulsa ili kujiongezea kipato?
Tambua kua kiumbe chochote duniani kinaweza kutumika katika shughuri za kuinua uchumi.
Punda anatumika kubeba mizigo, Ng'ombe anatumika katika shughuri za Kilimo.
Kwanini wewe umekasirika sana niliposema mtoa mada anisaidie kunipa majini kazi kama anauzoefu kwa upande huo?
Je ni kwanini wewe hupendi mimi kupata msaada toka kwa majini wema ?
Kumbuka ni Juzi Dr. Sule alitamka kuwa;
"Kuwatumia Majini wema kujiongezea kipato sio dhambi"
Ni kwanini wewe hutaki mimi kutumia hiyo fulsa?
Arsis leta vitu.In shaa Alah tutaliaza wiki hii, hili ndio kwa kiwango kikubwa lilinifanya nisitishe mada ya Comorro, kwani huko ndio nilipoanza kuliona mubashara. Ni very interesting, tutagusia kidogo nimalizie kipande cha Comorro japo kwa summary ili nikinza hili nidumu nalo nilimalize haraka, watu wasiende wakajidai mafundi wakajiumiza wao na wengine. Ni somo refu kiasi.
Naona huchezi mbali na hii mada,= fursa
Nitawachaje inipite na Qur'an imetufundisha kuwa elimu ya roho wamepewa wachache sana na kwa uchache sana. Soma...Naona huchezi mbali na hii mada,
Kuhusu lugha mimi nakuacha mbali sana.
Tizama michango yako kwanye mada za DP World uone jinsi ulivyokuwa unachapia.
Na tulikuwa tunakuacha tu.
Niulizie kwa Arsis, kama anasema Majini wazuri hawana msaada kwa binadamu.Nitawachaje inipite na Qur'an imetufundisha kuwa elimu ya roho wamepewa wachache sana na kwa uchache sana. Soma...
Q.17:85. Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.85
Atakujibu mwenye, si anasoma humu?Niulizie kwa Arsis, kama anasema Majini wazuri hawana msaada kwa binadamu.
Vipi kwa baadhi ya Mashehe ambao wamewaomba Malaika na Majini ili mtu ashinde uchaguzi ujao ?
Inamaana yeye ana elimu ya dini kuwapita Mashehe wake ?
Wewe kuna kitu unakijua ila hutaki kukisema humu.Wengi wnadanganya wanadanganywa.
Si uongo, kuna mengi sana nayajua kuhusu majini, nahofia kutoa siri za watu kwa ujumla, tutayaleyta kidogo kidogo.Wewe kuna kitu unakijua ila hutaki kukisema humu.
Tatizo Unapotea sana jukwaani simba, Arsis anakuja siku hizi au nayeye yupo bizeeeSi uongo, kuna mengi sana nayajua kuhusu majini, nahofia kutoa siri za watu kwa ujumla, tutayaleyta kidogo kidogo.
Mkuu ulijuaje kama vyeti vyako vinatumiwa? Ulifanikiwa kupata msaada? Isije kuwa majina yanafanana.Nipo hapa Mkuu Arsis kupata muongozo sahihi maana hao watu siwawezi kwa lolote ila Mimi haki yangu naitaka. Najua nafuatiliwa sana mpaka mtaani. Roho inaniuma kwanini wale jasho la Mnyonge kama Mimi wakati wao wana kila kitu wanachokitaka?