Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Heee kumbe!! Ndiomana wachawi wanapotaka kumdhuru mtu huyo huwa anaoteshwa au hadhuriki ama???

Au ndiomana wakimjia kumdhuru huweza kuhisi uwepo wao na anaweza pambana nao??

Hapo kwenye uwezo wa kutibia kivipi???

Cc Smart911
Yap iko hivyo unakuwa uko protected na hivyo viumbe. Kuhusu kutibia hapo it depends una tawaliwa na majini wa race ipi na wana itikadi ipi ya kiimani kama race yao ni weusi watataka utibie kwa mitishamba and if race yao ni wazungu waarabu or wachina watataka utibie kwa culture zao ,mfano ukiwa na majini ya kizungu ambayo yana fuata itikadi za kikristo wata kutaka uponye watu kwa kutumia neno la mungu Refer kina mwamposa and the likes it's the same pia endapo kama majini hayo yatakuwa na itikadi za kiislam yatakutaka utibie watu kwa kutumia mifumo ya kiislam 😆😆😆 Mambo ndio yapo hivyo lakini wachungaji na mashekhe hawasemi ukweli 😆😆😆 wanaponya watu kwa nguvu za majini na mizimu then wana brain wash watu kuwa ni kwajina la yesu au allah
 
Vipi kuhusu ile hali ya unakuta mtu akiwa na hofu au wasiwasi na kitu fulani basi lazima hicho kitu kinatatokea na kitakua na effect mbaya na endapo huyo mtu hana wasiwasi wala hofu Hakuna kitu kubaya kitatokea kwake au kwa anaowahofia!
Hio hali inatokana nanini?? Na ni kwanini??

Cc Smart911
 
Ndugu yangu, naona ulikurupuka kaanze upya.
Uzi wako nmeufatila mwanzo mwisho siku taka comment chochote mpaka nione hitimisho lako kwa sasa huna jipya.

Umesema Mtume Muhammad(S.A.W) Haja tafsiri Qur-an zaidi ya Aya20 huu ni uwongo wa dhahiri kabisa mtume (s.a.w) ame wafundisha maswahaba zake qur an na kuwa tafsiria ni shie hapo hakuna Arsis ulitaka kuuchafuwa uislam na umeshindwa,
Hii dini Allah ndie anaeilinda.
Sasa kama wewe wasema hivyo wakristo waseme nn?maana sijaona dini iliyosifiwa na jamaa kama uislam na Quran.Nyie ndio wale wafia dini na wagumu kujifunza,tulitakiwa tuchemke ni sisi wakristo ambapo Kuna sehemu kasema hata sio dini ya kweli.
 
Ndugu yangu, naona ulikurupuka kaanze upya.
Uzi wako nmeufatila mwanzo mwisho siku taka comment chochote mpaka nione hitimisho lako kwa sasa huna jipya.

Umesema Mtume Muhammad(S.A.W) Haja tafsiri Qur-an zaidi ya Aya20 huu ni uwongo wa dhahiri kabisa mtume (s.a.w) ame wafundisha maswahaba zake qur an na kuwa tafsiria ni shie hapo hakuna Arsis ulitaka kuuchafuwa uislam na umeshindwa,
Hii dini Allah ndie anaeilinda.
Huyo ni tapeli tu
 
Umejitahidi lakini bahati mbaya unajichanganya sana na badot unahitaji elimu zaidi.

Ili kuendelea kuelimishana; Umeelewa maana ya Qareen na walivoielezea waliojibu wawili ulipokua bado hujaielewa? kutoka watafsiri wa Qur'an, wengne wamesema "Jini", wengine "Malaika", wengine "shetani". Au sivyo?

Wewe umeelewa vipi mpaka sasa kuhusu Qareen?
Simba.
Sheikh Njiwa uje tu utufahamishe kuhusu Qareen kwa uelewa wako, mana bahthi yangu ndogo tu nimekuta Qareen kaelezwa tofauti na wanazuoni tofauti...kama jini, shetani na malaika, pengine mzizi wa mjadala baina yenu ni jibu la swali hili
Asalaam Alykum Simba , ni jumatatu iliyonjema Alhamdullilah Allah katuepusha na Dhahama ya maandamano kutoka kwa ndugu zetu wa Chadema, kwa hili nampa hongera sana amir jeshi mkuu mama samia suluhu hasani kwa kuimarisha ulinzi ...

Akhi hakuna swali ambalo sijajibu ... sema majibu yangu hayajakuridhisha and i can do nothing about that .. ndio Allah amekadiria uelewa wako ufikie hapo ..

Hamna hoja hapa, zaidi ni manneno tu It seems you're engaging in circumlocution, avoiding a clear and direct response. Let's approach the matter with straightforward clarity, shall we?"

Alhamdullilah Allah kaniepusha ni shirki za aina hiyo ,, kulala mapangoni, na ulozi ... simply nimesema mimi ni mwenyeji wa Tanga , wilaya ya Mkinga .. kijiji si mbali na mombasa ..na katika story yako hapo juu ilianza ukiwa maeneo ya hukohuko, nashangaa wanizulia mimi elimu yangu nachukulia mapangoni.. ila sishangai uzushi ni kitu cha kawaida kwa ahalul Bidaa..

Ittaqullah ewe Mja wa Allah , Toa elimu iliyosahihi kama aliyotoa Rasullah Allah kwa wanafunzi wake, na wanafubnzi wa wanafunzi wake katika zile karne tatu Bora usiopeteze Ummah wa kiislam katika Shirki akhi..

Arsis mtu asie na imani sana wala kinga ya mwili kidunia awezaje mtega na kumkamata mchawi anaekuja kumdhuru kwa namna moja ama nyingine ???

Cc Smart911
Hio mitaani wanasema "mbwa kala mbwa".

Sifa hizo zote ni sifa za kishetani. nakushauri isome suratul Baqara kuanzia mwanzo ina majibu kwa hao. Link ya tarjama ya Sheikh Ali Muhsin Barwani, hii hapa;

Simba.
 
Vipi kuhusu ile hali ya unakuta mtu akiwa na hofu au wasiwasi na kitu fulani basi lazima hicho kitu kinatatokea na kitakua na effect mbaya na endapo huyo mtu hana wasiwasi wala hofu Hakuna kitu kubaya kitatokea kwake au kwa anaowahofia!
Hio hali inatokana nanini?? Na ni kwanini??

Cc Smart911
Ukiisoma moja katika sura ndogo za Qur'an iitwayo An-Nas (Q 114:4) kwenye aya ya 4 inawataja hao kua ni "Al khannasi" مِن شَرِّ ٱلْوَسْوَاسِ ٱلْخَنَّاسِ ٤ Isome aya yote hio ni kinga kubwa ya wasiwasi, aya zake ni fupi tu, naamini hakuna Muislam aliesoma madrasa ambae hajaihifadhi. Ina aya 6 fupi fupi. Link hii hapa; An Nas
Simba.
 
Nimeona comment nyingi kuhusu hili swali ''JE UISLAMU UNARUHUSU KUSHIRIKIANA NA MAJINI ? Na hiki ndio watu wengi wanatamani kujua, Lakini ukiangalia kitaalamu swali hili linaleta swali lingine ambalo ni 'USHIRIKIANO UPI?, WA KHERI AU WA SHARI?
Vyovyote itakavyokuwa swali la msingi linabaki Je uislamu unaruhusu kushirikiana na majini?, Hapa ni pagumu kidogo hasa katika nyakati hizi ambazo elimu imechezewa sana kila mtu atasema lake lakini Binafsi nashauri kwamba embu tuwe na subra, Kwanza tuwafahmu hao majini ni viumbe gani tukishawajua ndio tuje sasa je yafaa kushirikiana nao?.
Hivyo bwana Arsis nakuomba uendelee na kisa cha adamu kwa angalau episode 3 kwa siku maana umesema katika kisa hiko tutawafahamu majini ni viumbe gani. uzuri katika kisa hicho anatembea na aya za quran hivyo natumai tutapata jibu tu.
Ili tusije sema haifai kumbe tunashirikiana nao kila siku ila sisi ndio hatujui kuwa tunashirikiana nao au tuseme yafaa kumbe haifai mwisho tukawa wenye hasara.
Narudia, Tuwe na Subra hasa ukizingatia uzi huu una jumuisha mada nyingi sana tofauti tofauti.
In shaa Allah tutajitahidi tulete zaidi na zaidi.

Tulipopaanza panataka tafiti za kina za ndani ya Qur'an na tunachokiandika kisitoke kichwani mwetu, kwa kua tumefikiria au kukiwaza au tulikisoma au kukisikia kwa fulani. Ni muhimu sana kitoke ndani ya Qur'an ili tuwe na yakini nacho.
Simba
 
Kuna page huyu bwana aliandika baada ya kurudi Dar, alihitaji kumuita Arsis akakosa pahala.
ikabidi Arsis amwingie kichwani basi wakawa waongea Arsis yuu kichwani akawa hauliza maswali Arsis akasema siwezi kaa sana hapa ntakumiza, Huu ni ushahidi kwamba atumia majini
Malaika siyo waasi.
Weka ushahidi acha porojo, naona huelewi maana ya "telepathy".

Mbona ni "natural" hio kwa binadam lakini hatuifanyii mazoezi tu. Nakumbuka niliwahi kuanza kutoa elimu yake humu, uliisoma?
Simba.
 
Naona uzi ushageuka kuwa wa kiilslam pekee sasa
Kimeanza kisa cha Adm kwa mujibu wa Qur'an, kinaamsha hisia nyingi.

Qur'an haipo kwa ajili ya Waislam tu, ni kwa watu wote. Soma yenyeqe inasema nini;

Q 45:20. Hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uwongofu, na rehema kwa watu wanao yakinisha. 20

Kwani kwa wasio Waislam hakuna kisa cha Adam? Kama kipo basi ukikisoma hapa cha Qur'an, utaona kua kipo tofauti kabisa na cha biblia.
Simba.
 
Yap iko hivyo unakuwa uko protected na hivyo viumbe. Kuhusu kutibia hapo it depends una tawaliwa na majini wa race ipi na wana itikadi ipi ya kiimani kama race yao ni weusi watataka utibie kwa mitishamba and if race yao ni wazungu waarabu or wachina watataka utibie kwa culture zao ,mfano ukiwa na majini ya kizungu ambayo yana fuata itikadi za kikristo wata kutaka uponye watu kwa kutumia neno la mungu Refer kina mwamposa and the likes it's the same pia endapo kama majini hayo yatakuwa na itikadi za kiislam yatakutaka utibie watu kwa kutumia mifumo ya kiislam 😆😆😆 Mambo ndio yapo hivyo lakini wachungaji na mashekhe hawasemi ukweli 😆😆😆 wanaponya watu kwa nguvu za majini na mizimu then wana brain wash watu kuwa ni kwajina la yesu au allah
Chai
 
Back
Top Bottom