Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Heee kumbe!! Ndiomana wachawi wanapotaka kumdhuru mtu huyo huwa anaoteshwa au hadhuriki ama???

Au ndiomana wakimjia kumdhuru huweza kuhisi uwepo wao na anaweza pambana nao??

Hapo kwenye uwezo wa kutibia kivipi???



Cc Smart911
Yap iko hivyo unakuwa uko protected na hivyo viumbe. Kuhusu kutibia hapo it depends una tawaliwa na majini wa race ipi na wana itikadi ipi ya kiimani kama race yao ni weusi watataka utibie kwa mitishamba and if race yao ni wazungu waarabu or wachina watataka utibie kwa culture zao ,mfano ukiwa na majini ya kizungu ambayo yana fuata itikadi za kikristo wata kutaka uponye watu kwa kutumia neno la mungu Refer kina mwamposa and the likes it's the same pia endapo kama majini hayo yatakuwa na itikadi za kiislam yatakutaka utibie watu kwa kutumia mifumo ya kiislam 😆😆😆 Mambo ndio yapo hivyo lakini wachungaji na mashekhe hawasemi ukweli 😆😆😆 wanaponya watu kwa nguvu za majini na mizimu then wana brain wash watu kuwa ni kwajina la yesu au allah
 
Vipi kuhusu ile hali ya unakuta mtu akiwa na hofu au wasiwasi na kitu fulani basi lazima hicho kitu kinatatokea na kitakua na effect mbaya na endapo huyo mtu hana wasiwasi wala hofu Hakuna kitu kubaya kitatokea kwake au kwa anaowahofia!
Hio hali inatokana nanini?? Na ni kwanini??

Cc Smart911
 
Sasa kama wewe wasema hivyo wakristo waseme nn?maana sijaona dini iliyosifiwa na jamaa kama uislam na Quran.Nyie ndio wale wafia dini na wagumu kujifunza,tulitakiwa tuchemke ni sisi wakristo ambapo Kuna sehemu kasema hata sio dini ya kweli.
 
Huyo ni tapeli tu
 
Sheikh Njiwa uje tu utufahamishe kuhusu Qareen kwa uelewa wako, mana bahthi yangu ndogo tu nimekuta Qareen kaelezwa tofauti na wanazuoni tofauti...kama jini, shetani na malaika, pengine mzizi wa mjadala baina yenu ni jibu la swali hili
 
Arsis mtu asie na imani sana wala kinga ya mwili kidunia awezaje mtega na kumkamata mchawi anaekuja kumdhuru kwa namna moja ama nyingine ???

Cc Smart911
Hio mitaani wanasema "mbwa kala mbwa".

Sifa hizo zote ni sifa za kishetani. nakushauri isome suratul Baqara kuanzia mwanzo ina majibu kwa hao. Link ya tarjama ya Sheikh Ali Muhsin Barwani, hii hapa;


Simba.
 
Ukiisoma moja katika sura ndogo za Qur'an iitwayo An-Nas (Q 114:4) kwenye aya ya 4 inawataja hao kua ni "Al khannasi" مِن شَرِّ ٱلْوَسْوَاسِ ٱلْخَنَّاسِ ٤ Isome aya yote hio ni kinga kubwa ya wasiwasi, aya zake ni fupi tu, naamini hakuna Muislam aliesoma madrasa ambae hajaihifadhi. Ina aya 6 fupi fupi. Link hii hapa; An Nas
Simba.
 
In shaa Allah tutajitahidi tulete zaidi na zaidi.

Tulipopaanza panataka tafiti za kina za ndani ya Qur'an na tunachokiandika kisitoke kichwani mwetu, kwa kua tumefikiria au kukiwaza au tulikisoma au kukisikia kwa fulani. Ni muhimu sana kitoke ndani ya Qur'an ili tuwe na yakini nacho.
Simba
 
Weka ushahidi acha porojo, naona huelewi maana ya "telepathy".

Mbona ni "natural" hio kwa binadam lakini hatuifanyii mazoezi tu. Nakumbuka niliwahi kuanza kutoa elimu yake humu, uliisoma?
Simba.
 
Naona uzi ushageuka kuwa wa kiilslam pekee sasa
Kimeanza kisa cha Adm kwa mujibu wa Qur'an, kinaamsha hisia nyingi.

Qur'an haipo kwa ajili ya Waislam tu, ni kwa watu wote. Soma yenyeqe inasema nini;

Q 45:20. Hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uwongofu, na rehema kwa watu wanao yakinisha. 20

Kwani kwa wasio Waislam hakuna kisa cha Adam? Kama kipo basi ukikisoma hapa cha Qur'an, utaona kua kipo tofauti kabisa na cha biblia.
Simba.
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…