Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Ndio, Static electricity naikumbuka na hapa ndipo nilipokuwa napataka haswa.
Ikiwa like charges repel and unlike charge attract tuiweke law hii katika maisha yetu ya kila siku yanayohusiana na spiritual world , Kumbe basi ikiwa mtu ni positive akakutana na mtu ambaye ni negative wote watasisimka mwili hivyo kwa njia hii tu kumbe ni rahisi mchawi kumjua mchamungu na mchamungu kumjua mchawi.
Uko Sahihi Kabisa Mcha Mungu Kweli kweli Huweza Kumjua Muovu sio Mchawi tu muovu yoyote...
Na Muovu yoyote (Mchawi) Huweza Kumjua Mcha Mungu..
1. Je kwa upande wa positive kwa positive hakuna njia yoyote unaweza jua kua umezungukwa na positive maana positive kwa positive zita repel?
Uko sawa kabisa Positive kwa Positive lazima Ziwe Repel to each Other ila Usisahau The side Of repelent inategemea na Which charging objects has strong magnetic Fields..
Na Hiyo Ndo Ikitokea Kwa Binadamu tunaita Influences..

Ngoja Nikupe Mfano..

Chukua High Power Magnetic Field (Yaani Magnet yenye Power Kubwa sana) chukua Na Nyingine yenye Moderate Power Field au Mild Power field Halafu zote ziweke kwenye Upande wa KAS kwa KAS au KUS kwa KUS..

The strength of the repulsion will depend on the magnetic force of each magnet and the distance between them. If one magnet has a much stronger magnetic field (10,000k power) than the other (moderate power), the repulsion force will still occur, but the stronger magnet might overpower the weaker one, influencing its movement more significantly.

Kupitia Mfano huo Utagundua Kwamba katika Positive and Positive Only The benefiary atakuwa Yule Mwenye Charge Kubwa Kuliko Mdogo na ataweza Kucontrol Yule mwenye Charge ndogo Kwahyi atamuinfluence Kufanya Kile anachotaka Yeye Kifanyike..

kwahyo kama Mchamungu Akikutana na Malaika kwakuwa Nguvu yake ni ndogo Mbele ya Malaika akiamrishwa Chochote kufanya na Malaika basi atakifanya..
Same applied To Negative with Negative..

hapa kama Hujaelewa Niambie Nirudie
2. Umesema majini wana charges due to their high vibratory frequencies, That means their charges can be + or - right?, Vipi kuhusu viumbe wengine kama malaika na wanyama na wenyewe wana hizi charges?
Hujawahi Kusikia Wachawi wakitumia Wanyama Kama Paka,Bundi fisi??
Unajua Kwanini wanaweza Kuwatumia?

Rudi tena kusoma Hapo kuhuju infulence of Charges
 
Uko Sahihi Kabisa Mcha Mungu Kweli kweli Huweza Kumjua Muovu sio Mchawi tu muovu yoyote...
Na Muovu yoyote (Mchawi) Huweza Kumjua Mcha Mungu..

Uko sawa kabisa Positive kwa Positive lazima Ziwe Repel to each Other ila Usisahau The side Of repelent inategemea na Which charging objects has strong magnetic Fields..
Na Hiyo Ndo Ikitokea Kwa Binadamu tunaita Influences..

Ngoja Nikupe Mfano..

Chukua High Power Magnetic Field (Yaani Magnet yenye Power Kubwa sana) chukua Na Nyingine yenye Moderate Power Field au Mild Power field Halafu zote ziweke kwenye Upande wa KAS kwa KAS au KUS kwa KUS..

The strength of the repulsion will depend on the magnetic force of each magnet and the distance between them. If one magnet has a much stronger magnetic field (10,000k power) than the other (moderate power), the repulsion force will still occur, but the stronger magnet might overpower the weaker one, influencing its movement more significantly.

Kupitia Mfano huo Utagundua Kwamba katika Positive and Positive Only The benefiary atakuwa Yule Mwenye Charge Kubwa Kuliko Mdogo na ataweza Kucontrol Yule mwenye Charge ndogo Kwahyi atamuinfluence Kufanya Kile anachotaka Yeye Kifanyike..

kwahyo kama Mchamungu Akikutana na Malaika kwakuwa Nguvu yake ni ndogo Mbele ya Malaika akiamrishwa Chochote kufanya na Malaika basi atakifanya..
Same applied To Negative with Negative..

hapa kama Hujaelewa Niambie Nirudie

Hujawahi Kusikia Wachawi wakitumia Wanyama Kama Paka,Bundi fisi??
Unajua Kwanini wanaweza Kuwatumia?

Rudi tena kusoma Hapo kuhuju infulence of Charges
Naomba unipeleke kwenye nyuzi zako ambazo umewahi kuandika kuhusu masuala ya kiroho.
Ahsante
 
Nimekuelewa hapo kwenye + na + hivyo kumbe + akikutana na +, Yule ambaye ni more + ndio atakaye mdominate the less one. It's like to say Strongest positive will take over the weakest positive, The same applied to negative.
Hii imenifanya nijue kuwa ni rahisi kwa mchawi kumloga mtu anayefanya maaswi na mtenda dhambi kuliko kumloga mchamungu.

Nimeona umegusia jinsi wachawi wanavyotumia wanyama umemtaja PAKA, Nimewahi kusikia kuwa paka ni wa kipekee sana katika ulimwengu wa roho na anahisia kali sana za utambuzi. Je una maelezo yoyote kumuhusu na nafasiyake ni ipi kiroho?
 
Nimejaribu kupitia kuhusu ayo makanisa saba ambayo yohana aliambiwa aandike kuyahusu alipokuwa kisiwani patmo.
Makanisa saba yaliyotajwa katika Kitabu cha Ufunuo ni:
  1. Kanisa la Efeso: Kanisa hili lilisifiwa kwa kazi zake, uvumilivu, na kutovumilia maovu. Hata hivyo, lililaumiwa kwa kuacha upendo wake wa kwanza.
  2. Kanisa la Smirna: Hili lilikuwa kanisa maskini lakini tajiri kiroho. Lilihimizwa kuwa mwaminifu hadi kufa licha ya mateso yanayokuja.
  3. Kanisa la Pergamo: Kanisa hili lilisifiwa kwa kushikilia jina la Yesu hata katikati ya mateso. Hata hivyo, lililaumiwa kushikilia mafundisho ya Balaamu na wanikolai
  4. Kanisa la Thiatira: Kanisa hili lilisifiwa kwa matendo yake, upendo, imani, huduma, na uvumilivu. Lakini lililaumiwa kwa kuvumilia mwanamke yezebeli ambaye alifundisha na kupotosha watumishi wa mungu
  5. Kanisa la Sardi: Kanisa hili lilionekana kuwa hai lakini lilikuwa limekufa kiroho. Hivyo liliimizwa kuamka
  6. Kanisa la Filadelfia: Kanisa hili lilisifiwa kwa kuwa na nguvu kidogo lakini lilishika neno la Mungu na halikukana jina lake. liliahidiwa ulinzi wakati wa jaribu
  7. Kanisa la Laodikia: Kanisa hili lililaumiwa kwa kuwa vuguvugu, si moto wala baridi.Liliahidiwa kuwa na bidii na kutubu.
Kwa kusoma kwa nje inaonekana ni makanisa ambayo yalikuwepo kipindi hicho na huu ni ujumbe ambao yohana anapewa aufikishe kwa hayo makanisa, Ijapokuwa kitabu cha ufunuo wa yohana kimejaa codes na mafumbo mengi.
Sasa ningependa uelezee kivipi makanisa haya yanahusiana na ukuaji wa kiroho.
kwako .. DR Mambo Jambo
 
Nami nasubiri majibu Arsis mchango wako tafadhali
 
Sasa Nachotaka Ufute mawazo yote uliyowahi Kuambiwa na Dini Kuhusu Haya makanisa..

Kila Siku huwa Namwambia hata Mchungaji wa Jf Rabboni Kuwa biblia Imesukwa na Kuandikwa Kwa Codes nyingi sana..

Nitaanza Kanisa Moja Moja Mpaka Mwisho..

Tuanze na Kanisa La Efeso UFUNUO 2:1:-

Cha Kwanza Kabisa Ujumbe Huu wengi wanaamini kabisa Uliandikwa Kwa Malaika Wa makanisa fulani kama Efeso na Mengineyo..

Lakini hebu Tuangalie Maana Ya maneno Yaliyotumika..
Kwakuwa Mwandishi wa Ufunuo Kiasili aliandika kwa Lugha ya Kiyunani(kigiriki) tutaanza kwa Kucheza Humo Ili Tulainishe maana Kabla ya Kuanza Kuichambua Vizuri..

Ufunuo 2:1..

Τῷ ἀγγέλῳ τῆς ἐκκλησίας ἐν Ἐφέσῳ γράψον· Τάδε λέγει ὁ κρατῶν τοὺς ἑπτὰ ἀστέρας ἐν τῇ δεξιᾷ αὐτοῦ, ὁ περιπατῶν ἐν μέσῳ τῶν ἑπτὰ λυχνιῶν τῶν χρυσῶν·

WAnaitamka Hivi...

angélōs tēs ekklēsí en Ephesō grápson: Tade légei ho kratōn tous heptá astéras en tē dexiá autou, ho peripatōn en mésō tōn heptá lychniōn tōn chrysōn.

Tafsiri yake kwa Lugha ya Malkia (lugha ya mayai):

"To the angel of the church in Ephesus write: 'These are the words of Him who holds the seven stars in His right hand and walks among the seven golden lampstands

Neno ἀγγέλῳ (Angelos) kwa Kigiriki lilitafasiriwa Kama Mjumbe Mpaka ilipofika karne ya 4 Baada ya Kuenea Kwa Ukristo walipoamua Kuwa Litafasiriwe kama malaika kwa sababu nao ni Wajumbe wa Mungu..

Ila Neno Hilo Asili yake ni Mjumbe So Badilisha Hiyo neno Malaika Weka Neno Mjumbe au Mpeleka Taarifa..

Neno ἐκκλησίας (ekklēsías) ambalo limetafasiriwa kama Kanisa ni neno la Kigiriki ambalo Linamaanisha Mkusanyo au Mkusanyiko au Mjumuisho au Kutaniko.. na Wala si lazima Liwe katika Muktadha wa Dini...

(Unaweza Ukayahakiki maneno kwa Sehemu Yoyote Ukitaka.)

Sasa Tufanye Mabadilko Kwenye Neno Kanisa Tuweke Mjumuiko au Mkutano au Kutaniko na kwenye Malaika tuweke Mjumbe..

Ufunuo wa Yohana 2:1

"Kwa mjumbe (Mtoa taarifa) wa Kutaniko (Jumuiko) la Efeso andika; Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu."

Na hiyo Ndiyo Ilipaswa Kusomeka Hivyo kwa Kiswahili..

Kufika Hapo Nadhani Umenielewa Sasa Twende kwe ye Nyota saba na Vinara saba..

Unafahamu Chochote Kuhusu Menorah?
Iliyokuwa Inakaa Kwenye Hekalu la Mungu Yerusalem na Kwenye Tabernacle ?
Ilikuwaje?

Hii Hapa Chini..
images (5).jpeg

Sasa Biblia inapozungumzia Vinara vya dhahabu inamaanisha Menorah nadhani umeshawahi kuiona Sana hii..

Chimbuko Lake..

Kutoka 25:37-38

"Nawe zifanye taa zake saba; nao wataziwasha hizo taa zake, zitoe nuru mbele yake.
Na makoleo yake, na visahani vyake, vyote vitakuwa vya dhahabu safi."

Kwenye Quran Pia Unaweza Ukasoma Kwenye

Surah An-Naba aya 12

وَبَنَيْنَا فَوْقَكُمْ سَبْعًۭا شِدَادًۭا
وَجَعَلْنَا سِرَاجًۭا وَهَّاجًۭا

Inatamkwa Hivi..

Wabanayna fawqakum sabAAan shidadan
WajaAAalna sirajan wahhajan

Maana Yake..

Na tukajenga juu yenu saba zenye nguvu?

Na tukajalia kati yake Mianga

Umeona hata kwenye Quran?

Kwahyo Kumbe Kwenye Hivyo vinara Vilivyojengwa Kuna Mianga 7...

Sasa Lets see What is These 7 lamp au Menorah?

Unafahamu Chochote Kuhusu Chakrah 7 za Mwili wa Binadamu kiroho?

Ziko Chakra 7 Ambazo ndo Muongozo wa Ukuaji Kiroho kuanzia Chakra ya Chini kabisa Root chakra mpaka Chakra ya Juu Crown chakra..

Crown chakra Au Chakra ya Taji ni chakra ambayo humuunganisha Moja kwa Moja Muhusika na Nguvu ya Juu sana ya Kiroho unaweza Ukaita Mungu au Vyovyote utakavyoita..

Hujawahi Kusikia Watu wakiimba..

🎶Tukimaliza Kazi tutavalishwa Taji🎵

Wengi Huwa wanaimba wakifikiri kuna Siku watakuja Kuvalishwa Taji kama Ya Kifalme..
Hiyo inamaanisha Ukivumilia Katika Kiroho mpaka Mwisho utafika Kwenye Crown Chakra..

Sasa twendelee..

images.png

Sasa Upi Uhusiano Huu na Fungu la Ufunuo 2 mpaka 3..
Au Makanisa hayo..

Tuanze na Tabia za Mtu aliyefungua Chakra ya kwanza au root chakra..
Tuanze na maana Yake kama Ilivyoandikwa Hapo "I AM"
Moja..

Sasa Mara Nyingi Mtu anapofungua ama Kuanza kupata Uelewa Kuhusu Mambo ya Kiroho na akaanza Kupractise..
Hufungua kwanza Root chakra (mlango wa Elimu na Maarifa)..

Na baadhi Huishia Kwenye Imbalance Power of The Chakrah..
Wanajikuta Chakra haijabalance..

Na Imbalance Root chakra husababisha..

Insecurity feelings, anxiety, fear, lack of trust. Trouble concentrating and deciding, being isolated from one's self as well as others..

sasa Hii ndo sababu Ikaja Maelezo ya Kuhusu Makutano au Majumuiko yote ya Watu wa Root chakra Yaani mtoa taatifa kuwaeleza Kitakachowakuta na maelezo yao..

turejee Maana Yetu sasa ya Kutoka kwenye Ufunuo tulivyoiweka Vizuri..

Ufunuo wa Yohana 2:1

"Kwa mjumbe (Mtoa taarifa) wa Kutaniko (Jumuiko) la Efeso andika; Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu."

sasa Naona baada ya Kukuelezea Hapo Umeweza Kuona utofauti wa fungu Hilo kabla ya Kueleza Na baada ya Kueleza..

Screenshot_20241205_100648_Biblia Takatifu.jpg

Sasa Twende Ndani..
Mpaka Ufike Kufungua Root chakra huwa Ni strugle na uvumilivu wa Kutosha na Ukiifungua Utapata elimu na Maarifa na Unaweza Kupewa Gift ya Utambuzi..

Na ndo maana Ya verse ya Pili na kama Umeona Hiyo ndo Imbalance ya Toot chakra kama Nilivyokuelezea Kabla..

Sasa onyo umeliona?
"Umeuacha Upendo wako wa Kwanza"

Unajua maana Yake ni Kila mtu anayefungua Root chakra Ugundua kuwa Mafundisho ya Kidini yanafundishwa Tofauti na jinsi anavyoyachambua Yeye na Hugundua Uongo mwingi wa Wachungaji na hao wanaojiita Watu wa Mungu.

Shida Inakuja wanaofungua Wao Kujiona ni bora Kuliko wote na ndo maana Ya rootchakra Umeona Imeandikwa "I AM"..

Kwahyo Baada ya Kujua Ukweli na Kuingia Ulimwengu wa Kiroho Hujiona Ni bora na Huanza Kuwasema Vbaya wale wasioweza Kuwa ndani ya Ukweli alionao..

Na Huanza kujenga Chuki Kwa watu ambao Zamani aliwaheshimu na Kuwajali kama wachungaji na Masheikh Na hata wafia Dini wengine..

Na ndo maana Ukienda Fungu la Tano la Sura hiyo hiyo Anaamrishwa Kurudia matendo ya kwanza..

Ufunuo wa Yohana 2:5..

"Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu."

maana Yake Yale matendo yake anayofanya Hayafai anatakuwa abalance Kuujua Ukweli sio chanzo cha kuwaona wasio Jua hawana maana..Na ndo maana Anasema naja kwako na Nitakiondoa Kinara chako..

Na watu wasiotii kurudi kwenye Upendo wa Awali kuwaona walio Katika Imani zingine hawako sawa na wao na Kuendeleza Umimi Au ego!

Hunyang'anywa Uwezo w Kiroho na Maarifa hivyo huelekea Katika Kutokuwa na Imani kabisa..

Na hao ndo Huwa Wanakuwa wapinga Mungu (Atheists)
Kwa sababu ya Kungolewa Vinara vyao...

Sasa sijui kama Umenielewa?

Kama Una swali Kuhusu Kanisa La.kwanza Uliza
 
View attachment 3169285

View attachment 3169340

View attachment 3169358

Dah shukraan sana Endelea tunazidi kupata faida, nakupata Kwa ukaribu sana
 
[emoji445]Tukimaliza Kazi tutavalishwa Taji[emoji444]

ELIMU HAINA MWISHO
 
This is very educative
Nilivyoelewa kwa kifupi ni kuwa, Katika hatua hii ya kwanza ya ukuaji kiroho "Root chakrah" kwanza mpaka inafunguka unapitia up - down nyingi sana na ikisha funguka unakuwa na uelewa wa mambo ambao watu wengi hawana wakiwemo viongozi wa dini, Hali hii hupelekea kuanza kuwa na dharau kwa wengine.
Ukishindwa kutubu na kuwa na upendo kwa wengine mlango huu utajifunga na utaangukia kuwa Atheist, kinyume chake ni kuwa ukifanikiwa kutubu na kuheshimu watu wote utafungua mlango wa pili.
Mpaka hapa nina swali moja tu, Je ni Katika hatua hii tu ndio mtu akianguka anaweza kuwa Atheist au hata Katika hatua nyingine ukianguka unakuwa Atheist ?
 
Back
Top Bottom