Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Nimeona mnamwaga elimu, wewe na Battor. Mnatufaidisha sana.

Nawafahamisha tu, mkipiti series ya kisa cha Adam nilioianza lakini ilikua inasuasua kwa kumalizia kisa cha Kojani, naomba muipitie na muifatilie ikianza tena, mtapata elimu tofauti, kwa mtazamo tofauti kabisa ambao mbinu (method) yake ya kuifahamu Qur'an unaelekezwa humo.

natamani sana na mtaalamu mwenye ujuzi mpana, alini asieweza kujibu maswali mepesi kabisa, anaeitwa Hance Mtanashati nae aufatilie.
Simba.
Mnaongopeana.
 
Nimeona nikate baadhi a maandiko nipate kuibu kila moja kivyake, ili majibu siwe marefu sana.

Hilo la kupuuzwa wala usilifikirie kabisa. Waislam tunatakiwa tue chanya sio hasi.

Hilo jambo nilikua nalitafuta, ii nijibu kitu cha uhakaia. Uzi umekua mrefu. Natumai ulikua unaongea sula hili; Tafadhali gonga hapa.
Sawa nimeelewa... Pia asante kwa kunikumbusha, kuna muda ubinadam unatupitia na kutokuwa na subra🤝
 
Nimefurahi kama the way ninavyo andika ninaeleweka. Shukran kwalo!

Hili ni jambo jema hakika, kama unayafata vizuri aliyoteremshiwa Iysah A.S kama anavyoitwa upande wetu, kwa mujibu wa Iman yangu nakuona upo katika njia sahihi. Na Quran inathibitisha hilo....

View attachment 3100532

Labda angalizo tu kuhusu hilo, uwe unafata yale ya "Yesu Kristo" yaliyo ya kweli na si yale ambayo kazushiwa nayo. 👈 Hii sentensi ya angalizo langu kwako rafiki uisome mara mbili mbili eeh kuna kitu utanielewa ndani yake.

Zaidi niseme lingine iwe kama faida, na niliseme kwasababu ya hiyo screenshot hapo juu, kwani ndani yake kuna neno "Injili/Gospel". Kwa ufaham nilionao, as usual kila elim ina marejeo.

Kwa ufaham wangu hakuna kitabu kitakatifu kilichoshushwa kwa mitume chenye jina la "Biblia (Bible)" hata ukiamua kulitafuta ndani ya Biblia yenyewe.

Mwana wa Maryam naemjua mimi aliteremshiwa Injili, kama ilivyo Torat kwa Mussa A.S na Quran kwa Muhammad P.B.U.H

Hapa usipokua na jazba, ukawa na fikra huru utanielewa vizuri. Na kunielewa vizuri kwenyewe itapasa kuanza kwa kujua maana ya neno Bible(Biblia) kisha mengine baadae.

Either kwa mujibu wa dini ya Kikristo au kilugha utakuta ina maana ya "A collections of religious texts or scriptures". Ndio maana ndani yake unaipata Agano la kale (Old testament) na Agano jipya (New Testament).

I do hope unaelewa kua Agano la kale imebase kwenye Torah (Torat) na kiasi chake agano jipya ndio imebase kwenye injili. Na ukumbuke wanaoifata Torah hawajiiti wakristo bali wayahudi. Hapo kama una fikra huru utajiuliza, Kama Torah ilishushwa kwa Mussa A.S na Injili imeshuka kwa Yesu/Iysah mwana wa Maryam.

Je mjumuisho wa vyote, I mean kama mapokezi yote yapo ndani ya kitabu kimoja, Je hicho kitabu kinakua ni cha nani kati yao? Wote kwa pamoja au mmoja wapo na kwanini? Jiulize tu, Je Bible ni ya Mussa? kama sio kwanini wakati kuna Torah iliyoshushwa kwake ndani yake? Je Bible ni ya Mwana wa Maryam? Kama ndio kwanini kuna Torah ndani yake ambayo haikushushwa kwake? Je ile Injili iliyoshushwa kwa Mwana wa Maryam yeye kama yeye iko wapi na kwanini iunganishwe na Torah ipewe jina la Bible kwani jina la Injili lina mapungufu gani? Lengo haswa ni nini?

Teh au basi, hilo niliache, kama una fikra huru namna navyokudhania naamini nitakua nimekupa fikra mpya au wazo jipya la kufatilia ambako huenda ukapata kipya chenye manufaa nawe pamoja na wanao kuzunguka kwani elim haina mwisho.

Sehem hii nimekusoma vizuri tu. Kuhusu lugha hizi tulizonazo kwa ufaham wangu mimi ni moja katika Ishara za uwepo wake Mwenyezi Mungu. Marejeo ya ufaham huu nitaunganisha sehem katika Quran kama nilivyosema hapo awali kua hakuna ufaham usio na marejeo.

View attachment 3100544

Sasa ingekua vizuri na we ungenifahamisha marejeo ya ufaham wako kuhusu lugha ya Muumba kua ni mtetemo umeutoa wapi. Kwani as far as I know, hapo naona umetoa definition ya neno "Sound" na sio kuilezea lugha ya Mwenyezi Mungu.

Sijajua hoja yako kuhusu lugha ya Muumba ulitaka kusema nini ila kama ulikua na maana ya elim katika lugha asili basi acha niseme au niongezee kwa kusema hivi, Mfano leo ukaamua kujifunza kuhusu Quran, irejee kwenye lugha yake ya asili ambayo ni kiarabu. Ukitaka lel say kuileta katika kiswahili ni vyema ukawa na mfasiri zaidi ya mmoja kwa ajili ya kufanya ulinganisho wa tafsiri zao kwani kila mmoja wao atakua anatafsiri kulingana na uelewa wake. Vinginevyo unaeza kujikuta huielewi Quran bali uelewa wa yule alie kupa tafsiri kuhusu Qur'an.

Vivyo hivyo katika injili, irejee katika lugha ya asili waliyofundishwa kwao watu wa mwanzo, lugha aliyoongea Mwana wa Maryam kwa watu wake ambayo ni Aramaic, kisha ufanye kama nilivyosema hapo juu. Uwe na mfasiri zaidi ya mmoja ili ufaham wako usijijenge katika uelewa wa mfasiri bali ile halisi ya maarifa kama yalivyo.

Sio ile ooh mie namfata Sheikh flan 🤣, yule Sheikh sio Quran banaa... au mara ooh mie namfata Askof flan. Hapana sio sawa kwani yule pia sio Injili na haitakiwi kwa mtu mwenye utashi wa kujifunza kitu kwa uhuru awe namna hiyo. Tena kibaya zaidi walim wa sasa kwa mambo yahusuyo Iman na Dini wanachokifundisha ni Misimamo yao walio nayo sio ile asili ya vitabu kama ilivyo.

Too bad 😢

Na kuhusu hii sehem naona kama unakosea kiduchu kulingana na ufaham wangu mimi kuhusu Dini, kuhusu Imani. Kwanza nikukumbushe, kila unapotamka neno dini kinachonijia akilini ni mfumo au mwongozo wa Maisha. Mwongozo ya namna gani tuishi na namna gani tuabudu kaiweka yeye kupitia mitume wake ndio maana leo hii una dini ya kikristo kupitia kwa Mwana wa Maryam, Una dini ya Kiislam kupitia kwa Muhammad P.B.U.H, Una uyahudi na Torah kupitia kwa Mussa A.S.

Miongozo ama njia nikiwa na maana ya dini inaeza kua tofauti kulingana na Zama husika, watu husika ila Imani ni moja na inafanana kwani chanzo chake ni Mola mmoja aliye na nguvu na mwenye hekima.

TUnaweza kutofautiana katika uvaaji, chakula gani tule kipi tusile lakini sio Imani juu ya Muumba. Na ukiona kuna utofauti basi ujue moja wapo sio sahihi. Mfano, katika nguzo za Imani ya Kiislam (Kujisalimiha kwa muumba) ni hizi. 1. Kumuamini Mwenyezi Mungu, 2. Kuamini Malaika wake, 3. Kuamini vitabu vyake (eg Torah, Zaburi, Injili, Quran), 4. Kuamini mitume wake (eg Mussa A.S, Dawd A.S, Iysah A.S, Muhammad P.B.U.H), 5. Kuamini siku ya mwisho, 6. Kuamini Qadar zake Mwenyezi Mungu.

NImeamua kuzitaja nikiwa na sababu zangu, Kwanza unielewe kua hizo ni Nguzo za Imani na zipo pia nguzo za dini ya Kiislam. Ambazo zenyewe hasa zinaelezea namna gani tuishi, issue kama salah na zakah na mengineyo.

Nimezitaja hizo nguzo pia ili uone ufanano wa kitu. Ninaamini katika hizo nguzo za Imani, Ya kwanza, Ya pili, ya 5 uko nazo hizo zingine sitaki kukusemea. Ufanano huo ndio nachokimaanisha katika kusema Imani sahihi inayotoka kwa Muumba mmoja haipingani bali inafanana.

Bali katika dini/mwongozo ndio unaeza kupishana zama na zama. Mfano zama hii tulizo nazo upande wetu waislam tumeamrishwa sala 5. Zama zilzopita hawakusali sala 5 kama zetu but walisali. Kuna mengine yanafanana mfano issue ya kufunga. Waliamrishwa kufungaa pia waliokuepo kabla yetu. Ila kwenye Imani sahihi wote tunafanana kwetu sisi na wale walio tangulia. Tunamuamini Mungu Mmoja, Tunaamini Malaika zake, Mitume wake vitabu vyake na siku ya mwisho.

So hapa najaribu kukwambia kua kuna miongozo/dini ambayo katupatia yeye mola wetu mlezi kupitia mitume wake kuanzia zama za Adam A.S hadi zama hizi tulizopo sasa. Pia kuna miongozo/dini tulizo zibumba sisi kulingana na tamaa zetu na upumbafu wetu kwenye kuzihadaa nafs zetu.

So kila aliepokea mwongozo/dini sahihi katika zama zote zilizo tangulia (hapa napo uninukuu vizuri) basi atakua chini ya Rehema zake. Na miongozo sahihi hiyo ni ile itokayo kwake pekee. Hivyo dini sahihi ama lugha mwongozo sahihi sio jambo la kuzua (Matabaka unayosena tumejiwekea) bali dini ambazo si sahihi hizo ndio matokeo ya matamanio ya nafsi zetu wenyewe.

As usual, ufaham huo juu marejeo yake ni hapa.

View attachment 3100572

Nakumbuka kauli kama hii uliisema kule juu, ila hukunambia umeirejea wapi. But binafs Quran ndio kitabu changu na main source ya ufaham wangu juu ya haya nayokuelezea so sioni haya kujiachia nayo kama hivi.

Kukazia zaidi katika mada yetu ya dini ni nini, Imani ni nini. Dini ni muongozo wa kua na Imani iliyo sahihi. Kama mtu anao muongozo mbaya hawezi kua na Imani iliyo sahihi. (Unishike vizuri hapa, sijataja aina za dini bali nimesema dini na imani kwa ujumla wake). Vile vile mtu anaweza kua na muongozo/dini sahihi ila akakosa Imani iliyo sahihi. Upande wangu huku ndio kuna kitu tunasema... Kila Muumini ni Muislam ila sio kila Muislam ni Muumini. Niirudie kauli hiyo kwa kutoa maneno yenye asili ya kiarab itasomeka hivi. "KILA MUUMINI KAJISALIMISHA KWA MOLA WAKE ILA SIO KILA ALIE JISALIMISHA KAAMINI".

Kuhusu hili sina elim hiyo, na sina hakika kama kuna kiumbe mwenye elim hii.

Miongozo yote aliyoteremsha kwa mitume na manabii imeshuka kwa lugha ambazo walikua wanazungumza wao katika zama hizo. So itoshe mimi kusema yeye Muumba anazijua lugha za viunbe vyake vyote sio sisi binadam tu, bali wanyama na viumbe wengine tunao wajua na tusio wajua. Lakini sisi hatuijui lugha yake.

Mwisho rafiki yangu, kiumbe mwenzangu 😊. Niombe tuufunge huu mjadala na upande wangu basi liwe gazeti la mwisho kuandika.

Nahisi post itakua ndefu balaa 🤣🤣🤣 ila yote kheri.
Ngoja nikitulia nikusome vizuri ndigu yangu, umeshusha madini yanayohitaji utulivu kuelewa.
 
Nimeona mnamwaga elimu, wewe na Battor. Mnatufaidisha sana.

Nawafahamisha tu, mkipiti series ya kisa cha Adam nilioianza lakini ilikua inasuasua kwa kumalizia kisa cha Kojani, naomba muipitie na muifatilie ikianza tena, mtapata elimu tofauti, kwa mtazamo tofauti kabisa ambao mbinu (method) yake ya kuifahamu Qur'an unaelekezwa humo.

natamani sana na mtaalamu mwenye ujuzi mpana, alini asieweza kujibu maswali mepesi kabisa, anaeitwa Hance Mtanashati nae aufatilie.
Simba.
Naam ndugu yangu tunajifunza mengi, naisubiria kwa hamu hiyo elimu.
 
we nae unatujazia ujinga unacopy na kupest mada zenye kiswahili kibovu hata haileweki kimeandikwa nini licha kujitahidi kusoma nimeishia kuumwa kichwa tu sijaelewa hata.!
Metafunusi Ontolojia eeh 😆 😆 😆

Kila nikidhani nimeshajua kila kitu,muda mfupi badae nagundua mi baado sana😆😆

koherensia ya ufikirifu... Mweeh😆 Itakuwa ni Coherence thinking? Kama ndiyo basi kuna watu wameshindwa kutafsiri, mwandishi wetu alitakiwa arahisishe

Nadhani jamaa wanatohoa maneno ya kilatini kuja kiswahili matokeo yake ni mkanganyiko
 
Kwa kweli mimi ni aina ya wale watu ambao ni wahafidhina, lau hii thread ingeandikwa pale juu kuwa labda "Mnajua kuwa Adam sio wa kwanza kuumbwa duniani?" basi mimi nisingefungua kuusoma huo uzi. Na ndo mana hata dada yetu FaizaFoxy anasema ni thread ilishawahi kuletwa humu na watu wakaipita.

Ila kwa bahti mbaya ama nzuri niseme nikajikuta nimeingia mteo wa Arsis nikasoma habari za Adam (A.S) kupitia uzi wake. Kiukweli kwa sasa hata mie nina 50% kwa sasa, yani nimekaa katikati nasubiria ushahidi zaidi niamua niwe upande upi. Mana kuna aya nyingine hata ukizisoma unaanza kuwaza, pengine hii inamaanisha ni watu before sisi, mfano hii:
{ وَرَبُّكَ ٱلۡغَنِیُّ ذُو ٱلرَّحۡمَةِۚ إِن یَشَأۡ یُذۡهِبۡكُمۡ وَیَسۡتَخۡلِفۡ مِنۢ بَعۡدِكُم مَّا یَشَاۤءُ كَمَاۤ أَنشَأَكُم مِّن ذُرِّیَّةِ قَوۡمٍ ءَاخَرِینَ } Al-An'aam, aya ya 133
"Na mola wako mlezi ndiye Mkwasi, akitaka atakuondoeni na awaweke wengine awapendao badala yenu, kama alivyokutoeni nyie kutokana na uzazi wa watu wengine"

Kumbe wapo wanachuoni kama Ibn kathir wameelezea maisha before Adam, uwepo wa viumbe kama hinn, rimm, timm, rimm, jann, na wengine wakasema hata Adam ni cheo kinachokuja kila baada ya miaka kadhaa, kiasi cha kutaja Adam wamekuja mara 30 duniani katika span ya miaka 1000.

Kweli elimu ni bahari na kila mtu anazama kwenye kina chake
 
Kwa hiyo mjomba hakuna namna ya kuandika kirahisi? Basi andika kidogo kidogo na kufafanua. Maana kuna sehemu kama umekipa shavu Chama Chenu, nikaona hili nalo zoezi sasa
== Mwanzo Palipo na NENO ==

Hamasa ya UTU-KAZI-UJENZI WA KAYA; kwa Dhammapada, ni UZABIBU 13. Kiuono na Ufikirifu Mifumo, ni muktadha akilifu wa ‘Sala na Kazi’. Kwa mintarafu ya haya ‘HARAMBEE’ ni kauli mbiu inayokamilishana na ‘Uhuru na Umoja’ kwa kuwa Jamii/Nchi-Dola/Taifa daima hujengwa na wenyemoyo—huliwa na wenye meno pale ambapo ‘Ulinzi Shirikishi’ kwa mifumo ni dhaifu ama ‘Upendo wa wengi kuwa Umepoa’. Basi ndiyo yawa, kupoa kwa upendo ndiyo asili ya ‘kwenda tezi na omo’ kwa taifa, nchi-dola ama jumuiya ya watu ambavyo ‘Dhamma hufichama’ na basi uwezekano wa ‘Sovereini Jumuifu---Ujamaa wa Kweli, hudhaniwa ni ‘Utopia’-- njozi za wale wenye kuiwazia ‘Nchi ya Kusadikika’. Tena basi kumbe, ‘Njozi iliyopotea’ ni ishara ya ‘Ukafiri’--’Wasafiri walio wengi’ kuupoteza mhimili wa Imani…
 
we nae unatujazia ujinga unacopy na kupest mada zenye kiswahili kibovu hata haileweki kimeandikwa nini licha kujitahidi kusoma nimeishia kuumwa kichwa tu sijaelewa hata.!

Hio imenikumbusha watafasiri wengi wa Qur'an wamefanya namna hio kwa kiwango fulani na kila mmoja kiaina yake. wametarajama neno kwa neno bila kujali kua litapoteza maana na kufikisha ujumbe tofauti na uliokusudiwa.
Simba.
 
Ndio maana nasisitiza kusema, kila mmoja amwage elimu kwa kiwango chake na uelewa wake, mwisho wa siku, iwe ibn Kathir au Ibn Galil, watupe elimu kwa ushahidi unaokubalika, sio wa kujitungia na ulio kinyume na Qur'an.

Mfano nimeuliza sana humu, "Hawa" Waislam wamemtoa wapi?
Simba.
 
1. Kisa cha Adam; Utangulizi 1/2/3.

wa kua tulishaanza kukileta "Kisa cha Adam kwa posts tatu za utangulizi huko nyuma, naziweka na kuzijumisha kua post moja hapa chini, ili tujikumbushe na tupate rejea kwa urahisi;

1. Kisa cha Adam; Utangulizi 1

Salaamoun Alaikoum.

Ni nini mbu?

Leo tuna mada ambayo Kwa kweli nilisita sana kabla ya kuamua kuiwasilisha kwenu. Hii ni topic ambayo itakutingesheni sana uelewa wenu na mawazo yenu. Nawaomba sana, kila ataeisoma hii mada, ni ndefu sana, ajichukulie yeye kua ni mgunduzi wa elimu ambae itaifanya mawazo yake yajiulize kwanini sikulijua hili mapema? Utajiuliza ni kwanini hakuna mtu alieona hili kabla?

Hii ni elimu, ni rejea kwa kila mtu bila kujali dini au imani yake. chanzo kikuu ni Qur'an kwa aslimia 100. Kuielezea tutatumia Qur'an kama asasi na mara moja moja tuweka hadithi zinazoendana na tunachokielezea. Tunaweza kutumia lugha zote ili kuufikisha ujumbe, kwa sababu, moja ya muujiza wa Qur'an, ilitumia Kiarabu. Kiarabu kina llisan nyingi sana mpaka kimekua lisan a sehemu na nyingine zina utofauti kama lugha tofati lakini ni ileile. ilitumia lisan ya pale kinapoelezewa kisa kwa kiasi fulani. Ingawa hakuna asiejua kua imeshushwa kwa Kiarabu cha Mtume Muhammad.

Mfano ikiongelea watu wa Ibrahim itatumia lisan ya watu wa Ibrahim. Lisan ni ulimi kwa Kiswahili au lugha iliotumika pale, kwa maana ya (lexicon) au (locution) ya pale.

Kisa hiki cha Adam tutaanza na aya ya 26 na 27 ya suratul baqara (Q2:26). Tutazichambua kuzifahamisha kadiri ya tulivyojaaliwa. Ingawa wengi huanza kumuona Adam kutokea aya ya 30 (Q2:30) sisi tuanzie hapo kufanya tafsil.

1. Kisa cha Adam; Utangulizi 2

Salaamoun Alaikoum.

Ni nini mbu?

namaanisha neno "tafsil" sio tafsiri. Maana ya tafsili ni kuchambua na unaipata ukisoma ukisoma surat "Wafusilat" ya Qur'an na sehemu zingine kwenye Qur'an.

Kwanini tunafanya tfasili? kwq sababu Qur'an inajieleza yenyewe, ina muujiza wa mfumo ambao tunaweza kuuita wa kiota (nestle). Kiota kina miti,vijiti, majani na mengine lakini yote yameshikana na hakuna katika vilivyojengea kiota kisicho na maana. Qur'an ni hivyohivyo, inashikana na kuungana yote na hakuna neno au herufi isiyo na maana. Kama ulimsoma mtafsiri akaliacha neno au herufi kua hii imezidi au hii haina maana kwa sasa, elewa kua huyo hakuielewa maana ya hilo neno au herufi kwa ilivyokusudiwa.

Kwa kufanya tafsili msishangae mkikuta tunahama sura na aya na maelezo tunayatoa aya zingine mara kwa mara kuielezea aya au neno lililopo kwingine.

Licha ya mbinu (method) ya tafsili, Qur'an ina mbinu nyingi zake yenyewe za kuielewa na mojawapo nimeitaja juu hapo ya "lisan" au ulimi, iliotumika. ambao kwa kiwango kikubwa imetumika lisan ya Ibrahim (Abrahmic locution) na wakati tunaendelea, mtafahamu kwanini, na ikiwa kuna mtu atataka kuelewa mapema basi asisite kuuliza, Simba yupo atamjibu, yeye anaelewa kwanini sana imetumika lisan ya Ibrahim.

Mbinu zingine kadhaa, tutaziona kila tunavyoendelea na tutazielea kadiri ya uwezo wetu kila itapohitajika.

Q;2;26
إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَسْتَحْىِۦٓ أَن يَضْرِبَ مَثَلًۭا مَّا بَعُوضَةًۭ فَمَا فَوْقَهَا ۚ فَأَمَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ فَيَعْلَمُونَ أَنَّهُ ٱلْحَقُّ مِن رَّبِّهِمْ ۖ وَأَمَّا ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟
فَيَقُولُونَ مَاذَآ أَرَادَ ٱللَّهُ بِهَـٰذَا مَثَلًۭا ۘ يُضِلُّ بِهِۦ كَثِيرًۭا وَيَهْدِى بِهِۦ كَثِيرًۭا ۚ وَمَا يُضِلُّ بِهِۦٓ إِلَّا ٱلْفَـٰسِقِينَ ٢٦

26. Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa mfanohata wa mbu na ulio wa zaidi yake. Ama wale walio amini hujua ya kwambahiyo ni haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi, lakini wale walio kufuru husema:Ni nini analo kusudia Mwenyezi Mungu kwa mfano huu? Kwa mfano huu huwapotezawengi na huwaongoa wengi; lakini hawapotezi ila wale wapotovu,26

Tarjama iliotumika ni ya Sheikh Ali Muhsin Barwani kwa jitihada zake binafsi, Qur'an yenyewe ni hio ya Kiarabu. Naweka angalizo hili kwa sababu katika kutumia mbinu ya tafsili, tunaweza kuweka tarjama nyingine kwa jitihada zetu. Lakini hatutothubutu kuongezea neno au maneno yetu au kupunguza neno au maneno ya Qur'an. Ukiona neno katika tarjama lipo kwenye mabano elewa kua hilo sio la Qur'an ni la alieandika tarjama, Qur'an haina mabano.

Siifahamu maana ya neno "tarjama" kwa Kiswahili, anaeifahamu aielezee. Kwa Kiarabu kuna tofauti ya maneno "Tafsir, Tarjama na Tafsil.

tafsiri lina maanisha kuielezea hio aya kwa njia nyepesi kwa lugha nyingine au hata kwa lugha ileile.

Tarjama linamaanisha kuibadili maneno kutpoka lugha moja kwenda nyingine, ambalo kwa Kisahili hutumika neno tafsiri.

Tafsilii, maana yake ni kuchambua, kama unavyochambua kitunguu, ganda kwa ganda mpaka upate kiini cha maana.

Kwanini itumike tafsili? Sababu ni nyepesi sana; katika lugha ya Kiarabu neno hilo hilo moja linaweza kubadilika maana kutokana na sentensi lilipotumika. Pia neno moja la Kiarabu linaweza kua na maneno mengi ambayo yanatumika kutokana na linapotumika na kwa lugha nyingine likawa na neno moja ya kulielezea, mfano neno jicho au macho, inaweza ikawa Ain kwa Kiarabu, lakini neno hilo hilo, Ain, linaweza likawa linamaanisha kiini au likawa linamaanisha chemechem.

Kwa hio katika kuielewa Qur'a ni muhimu sana kuelewa lisan au ulimi wa sehemu lilipotumika hilo neno. Qur'an ina muujiza huo bila kujielezea, kwa maandiko yake utaelewa.

Pia mifano hai mizuri sana ipo kwenye Qur'an yenyewe, kila tunapoendelea tutaiona.
3...
Arsis.
Kisa cha Adam; Utangulizi 3

Salaamoun Alaikoum.

Ni nini mbu?

Licha ya Tafsil na Lisan, mbinu muhimu sana iliotumika ndani ya Qutr’an ni ‘dhikr”, dhikra kwa tafsiri za wengi ni ukumbusho, hapa tunalitumia neno ‘dhkr’ kumaanisha visa na hadithi za ndani ya Qur’an, kama tulivyoeleza kwa uchache juu huko, kua asilimia zaidi ya 60 ya Qur’an ni visa na hadithi mbali mbali, visa na hadith hizo ndizo dhikr zenyewe. Hili la dhikr ni somo la kipekee ambalo kila tunavooendelea na hiki kisa cha Adam tutaliona umuhimu wake.

Kwa hio mpaka sasa tuna mbinu tatu za kuifahamu Qur’an, “Tafsil, Lisan na Dhikr. Mbinu zote hizo sio za kubuni wala za kutoa kwingine kokote ni za ndani ya Qur’an. Tutaendelea kuzionesha kila zinapotumika kwa Ushahidi wa ndani ya Qur’an.

Kama kuna yeyote katika mada hii hajaelewa kitu au hajaelewa kuhusu hizo mbinu, anaruhusiwa kuuliza swali.

Hapo juu, tumeweka aya Q2:26 inayojulikana kama aya ya mbu, tarjama iliotumiwa hapo na Sheikh Muhsin Barwani haikuzingatia mbinu za ndani ya Qur’an tulizozitaja hapo juu. Yaani, Tafsil, Lisan na Dhikr. Nalo hilo limejitokea kwa wanazuoni wengi wa tarjama.

Ukizisoma tarjama maarifu za Kiswahili, ile ya zamani ya Sheikh Abdallah Farsy, utaona ina maneno kadhaa ambayo ni tofauti na alioyatumia Sheikh Muhsin Barwani. Hivyo hivyo kwa tarjama za Qur’an za Kingereza, kila alietarajama kutumia baadhi ya maneno tofauti na mwengine, hilo lnajionesha wazi kwenye hizo tarjama. Ambazi zipo nyingi zaidi ya za Kiswahili.

Katika kuzipitia hizo tarjama nilizozitaja hapo juu, nimegundua kua watarajama wengi, kama si wote, wamefata wa tafsiri wa Qur’an ambao hawajazingatia mbinu za ndnai ya Qur’an. Kwani kila mtafsiri kaleta maana zingine zinatofautiana na mgtafsiri mwengine japo kwa uchavche kama si wingi. Hio inamaanisha ujumbe kusidiwa wa Qur’an hatufikii kama ulivyo kwa lugha ya Kiarabu, kwa kusudio la kua mwongozo ambao kila mmoja anatakiwa aufikishe kama ulivyo kwa lugha yake ya asili iliotumika au ukaribiane kabisa ki maana na kusudio la kufikishwa kwetu mwongozo huo na Allah.

...4
 
1. Kisa cha Adam; Utangulizi 4.

Tutazame mifano ya tafsiri mbili tatu za Kingereza za ayaa hio, tujionee kila moja ilivyo tifauti na nyingine;

Sahih International.
(26) Indeed, Allāh is not timid to present an example - that of a mosquito or what is smaller[15] than it. And those who have believed know that it is the truth from their Lord. But as for those who disbelieve, they say, "What did Allāh intend by this as an example?" He misleads many thereby and guides many thereby. And He misleads not except the defiantly disobedient,

Hapa tunajionea mtafsiri huyu ametumia neno Mwenyezi Mungu si mwoga "timid". Kwa hakika Allāh si mwoga. Cha kustajaabisha ukiwasoma watafsiri wengine, kila mmoja katumia neno lake au linalogfanana na hilo.

Cha muhimu na kukielewa hapo, ni kua wamepotosha, ndio wamepotisha. Kwa sababu aya hio haiongelei mfano wa mbu, neno mbu hapo limetumika kwa maana nyingine kabisa. Ukielewa maana kusudiwa kwa nsimi (lisan) iliotumika utaona kua mbu limetumika kama ni kikundi cha watu wanyoinyaji. Haikukusudiwa kua ni udogo au ukubwa wa mbu kama watafsiri wengi walivyotaka kutuaminisha. Unaweza kurejea tafsiri zote, xipo mtandaoni.

Nimeligusia hilo kuweka mfano wa baadhi ya natatizo tunayokumbana nayo kwa kufata tafsiri ambazo aidha katika kutafsiri mmoja alimfata mwingine au walaiwafata wa tafsiri wa awali kama kina "Ibn Kathir" na ikiwa Ibn Kathir aliileta maana fulani kwa tafsiri yake basi hi ni jitihada yake kwa wakati wake lakini inaweza kua ni kinyume kabisa na kusudio na ndimi iliotumika kwenye Qur'an.

Ili kupata maana sahihi, Qur'an yenyewe inatuonesha njia za kutumia kwa ushahidi kabisa wa ndani ya Qur'an. Tutajionea kila tunavyoendelea na kisa.

...5
 
Hapa tunajionea mtafsiri huyu ametumia neno Mwenyezi Mungu si mwoga "timid". Kwa hakika Allāh si mwoga. Cha kustajaabisha ukiwasoma watafsiri wengine, kila mmoja katumia neno lake au linalogfanana na hilo.
Nimepasoma hapa ikanibidi nirejee kuziangalia hizo tafsir, kwenye screenshot hapa chini nimeziunganisha kwa pamoja. Hizo Variations za tarjamah just kwenye aya moja inafikirisha kiasi chake. Hapo kuna waliotaja "mosquito" na wengine "gnats", huku wa kwanza kwenye lis ndani ya hiyo screen shot... Yusuf Ally ye ndie hajataja kabisa jina la mdudu kwenye tarjamah yake ya hii aya zaidi ya kusema tu "mifano mikubwa kwa midogo".

1000099612.jpg

That's why jana wakati naongea na Battor nikamwambia kilicho bora ni kile ambacho kipo kwenye lugha yake ya asili. Mfasiri hua anaelezea uelewa wake ambao kuna wakati unaweza usiwe sahihi.

Mfano kama hapo, Chukua watu watatu... Mmoja aliesoma Sahih International, mwingine aliesoma Tafsir ya Muft Taqi Usmani na mwingine aliesoma tafsir ya Yusuf Ally. Kuna atakae sema Mosquito, kuna atakaesema Gnats na kuna atakaye wakataa wenzie kwa kusema hawajatajwa hao wadudu. Kama wasipoamua kurejea kwe asili ya lugha ya ayah husika, practically hayo ni makundi matatu tofauti ambayo yamezalishwa na watafsiri kutoka kwenye kitabu kimoja.
 
View attachment 3100994

Mngetulia kwanza tufuatilie historia ya Adam kwanza, maana mnajaza page mtu akiingia anakuta uzi uko mbali.
 
Ninauza dawa ya jino,kwa alfu 10 tu ni dawa ya magamba ya miti hata kama linauma vipi,mambo ya kuchoma masindano mdomoni na kung'oa yamepitwa na wakati nitafute kwa namba hii +258878845122 Whatsapp nitakutumia popote pale ulipo
Unaleta fujo sasa, hapa tuna mtaalam wetu wa miti shamba anaitwa bakora.

Huku umepotea njia.
 
Unaleta fujo sasa, hapa tuna mtaalam wetu wa miti shamba anaitwa bakora.

Huku umepotea njia.
Ndugu yangu niliileta jukwaani wakaifuta na ni ya ukweli kabisa hata mzee bakora anaweza nisaidia, sijalala siku tano jino linauma nikaponyeshwa ndani ya siku moja na mimi nataka niwasaidie Wengine kama mimi. Hii ndiyo biashara tuliyoambiwa tuifanye ya kusaidi watu
 
Nimepasoma hapa ikanibidi nirejee kuziangalia hizo tafsir, kwenye screenshot hapa chini nimeziunganisha kwa pamoja. Hizo Variations za tarjamah just kwenye aya moja inafikirisha kiasi chake. Hapo kuna waliotaja "mosquito" na wengine "gnats", huku wa kwanza kwenye lis ndani ya hiyo screen shot... Yusuf Ally ye ndie hajataja kabisa jina la mdudu kwenye tarjamah yake ya hii aya zaidi ya kusema tu "mifano mikubwa kwa midogo".

View attachment 3100994

That's why jana wakati naongea na Battor nikamwambia kilicho bora ni kile ambacho kipo kwenye lugha yake ya asili. Mfasiri hua anaelezea uelewa wake ambao kuna wakati unaweza usiwe sahihi.

Mfano kama hapo, Chukua watu watatu... Mmoja aliesoma Sahih International, mwingine aliesoma Tafsir ya Muft Taqi Usmani na mwingine aliesoma tafsir ya Yusuf Ally. Kuna atakae sema Mosquito, kuna atakaesema Gnats na kuna atakaye wakataa wenzie kwa kusema hawajatajwa hao wadudu. Kama wasipoamua kurejea kwe asili ya lugha ya ayah husika, practically hayo ni makundi matatu tofauti ambayo yamezalishwa na watafsiri kutoka kwenye kitabu kimoja.
Umenisaidia sana kufikisha ujumbe. Muumba wetu akuzidishie heri.

Sasa n nini kilichokusudiwa ikiwa watafsiri wote, tena wakubwa wakubwa, kila mmoja ana lake?

Hilo la kujua nini ujumbe huo au mwongozo umetaka kitufikie ndio tunaingia kwenye somo la tafsil. na ndimi (locution). Ifahamike kua ndimi iliotumik kwa kiwango kikubwa ndani ya Qur'an ni ya Ibrahim. Tutaiita Abrahmic Locution. Kiarabu chake cha kwenye Qur'an ni "milat ibrahim", imetajwa kwenye Qur'an sio ya kukisia.
Simba.
 
Back
Top Bottom