Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kama road walifunga basi viongozi wetu ni matahira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda, ila kwenye kuchana ratiba sidhaniYa kwel ayo?
True,Kuhusu nyambizi inawezekana
Mkuu unataka tukubali hata hilo la baba mkwe kukataa mahari? HatukuwepoWanaobisha na kusema ni chai, mwaka 2013 walikuwa na miaka mitano
Mambo mawili muhimu uliyoyasahau kuyaeelezea ni kuhusu mtandao wa mawasiliano ya simu za mkononi kukatwa na walinzi wa taifa kuwekwa kando.Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau.
Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki.
Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji ulisimama, nakumbuka tulikuwa tunaenda kulipa mahari ya rafiki yetu maeneo ya Msasani, tulitumia masaa kama nane kutoka Tabata mpaka Msasani, kufika ukweni saa nne usiku.
B
aba mkwe akasema wajinga ninyi wapare mna dharau rudini hatupokei mahari yenu, tukamuelewesha akatuelewa, mahari ikapokelewa.
Miezi miwili kabla Hotel ya Kilimanjaro ilishafanyiwa booking hakuna mtu aliruhusiwa kuingia, watumishi wote wakifanyiwa vetting upya, wengine walipewa likizo fupi mpaka Obama alivyoondoka.
Ikulu yetu haikubaki salama ikafanyiwa scanning sitazielezea kulinda heshima ya nchi ila kituko kimoja sitakisahau.
Kuna press conference iliandaliwa nje ya viwanja vya Ikulu ambapo Rais Kikwete na mgeni wake wangeongea na waandishi.
Ikulu ikatoa ratiba ya muda wa hiyo press, na ofisa wa Obama wakaichana chana wakisema muda huo si rafiki maana kutakuwa na mvua viunga vya Ikulu wakaomba ratiba isogezwe mbele masaa mawili.
Mzungu ni hatari muda uleule uliokuwa umepangwa na maofisa wa Ikulu lilitanda wingu mvua ikapiga kwa muda wa lisaa limoja na nusu, ilikatika nusu saa kabla ya muda waliopendekeza wasaidizi wa Rais Obama, kumbe mvua walishaiona kitambo kwenye mitambo yao.
Mimi nakumbuka ubungo yote mdudu wa malaria ayeyeitwa mbu alitoweka kwa wiki mbili. Hapo ndipo nikajifunza malaria na mradi wa watu.Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau.
Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki.
Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji ulisimama, nakumbuka tulikuwa tunaenda kulipa mahari ya rafiki yetu maeneo ya Msasani, tulitumia masaa kama nane kutoka Tabata mpaka Msasani, kufika ukweni saa nne usiku.
B
aba mkwe akasema wajinga ninyi wapare mna dharau rudini hatupokei mahari yenu, tukamuelewesha akatuelewa, mahari ikapokelewa.
Miezi miwili kabla Hotel ya Kilimanjaro ilishafanyiwa booking hakuna mtu aliruhusiwa kuingia, watumishi wote wakifanyiwa vetting upya, wengine walipewa likizo fupi mpaka Obama alivyoondoka.
Ikulu yetu haikubaki salama ikafanyiwa scanning sitazielezea kulinda heshima ya nchi ila kituko kimoja sitakisahau.
Kuna press conference iliandaliwa nje ya viwanja vya Ikulu ambapo Rais Kikwete na mgeni wake wangeongea na waandishi.
Ikulu ikatoa ratiba ya muda wa hiyo press, na ofisa wa Obama wakaichana chana wakisema muda huo si rafiki maana kutakuwa na mvua viunga vya Ikulu wakaomba ratiba isogezwe mbele masaa mawili.
Mzungu ni hatari muda uleule uliokuwa umepangwa na maofisa wa Ikulu lilitanda wingu mvua ikapiga kwa muda wa lisaa limoja na nusu, ilikatika nusu saa kabla ya muda waliopendekeza wasaidizi wa Rais Obama, kumbe mvua walishaiona kitambo kwenye mitambo yao.
Wenzetu wapo mbele ya muda sana🤠🤠😀😀😐😐Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau.

Hiki kijiwe chake cha buguruni wajinga sana wale..Mkuu achana na vijiwe vya kahawa....😁😁😁
Jambo kubwa uelewe ni kwamba, hatuaminiki kwa sababu ya rushwa na ufisadi.Waafrika bado sana asee uyu uyu bwege akienda Uk.russia .China shughuli zinaendelea kama kawaida..ata south Africa sizani kama ni maboya kama sisi
kuna wanafunzi wa azania walikuepo kwenye kumpokea obama
alikuwepo uncle wangu hapo.. aliniambia hivi
uncle alipokuwa akitusogelea obama kutupungia mkono wanafunzi wote tulihisi kama mazonge hivi,
kama wamekula madawa kiasi kwamba huwezi fanya chochote kupiga kelele wala sijui kama unataka kuleta fujo
aliniambia alizani ni yeye tu sasa kwenye kushare na wanae wakamwambia sisi pia tulijisikia hivyo hivyo
mpaka leo nashindwa kuelewa ilikuwa ni issue gani hapo
Umenifanya nimecheka sana🤣🤣nakumbuka kuna mtu fulani mchizi alikuwa analala chini ya daraja la reli karibu pale majani ya Chai, kuingia barabara ilipokuwa zamani Tigo makao makuu.. Sasa kumbe FBI washamfuatilia yule msela zaidi ya mwezi, anaenda kariokoo anachukua mabox matupu anakuja anatandika hapo analala chini ya kidaraja fulani kilikuwa pale...Jamaa wanazoom kama mwezi hivi, wakajua hana issue.. Basi ilivyokaribia ujio wa Obama, FBI wakawambia polisi wetu, kuna mtu analala pale kwenye daraja.. Tumemchunguza hana madhara, ila kamtoeni pale ... Polisi, unavyojua walimshukia kama mwewe, hinginja hingija, tupa kule, mtama , tanganyika jeshi.... Wale FBI wanawashangaa hawa polisi, wakawambia huyo hana madhara ...
Yaani hiyo kitu ilikuwa hatari tupu..
Tena vile vya karume ilala mitaa ya tff.Mkuu achana na vijiwe vya kahawa....😁😁😁
Unabishaje na hukuwepo?Mkuu unataka tukubali hata hilo la baba mkwe kukataa mahari? Hatukuwepo