Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau

Mimi nilikua pale junction ya mabibo na mazense tulikua chini ya ghorofa Moja pale ghafla tukashangaa njemba Moja lakimarekani lipo kule juu Ghorofani na Darubini hatujui lilipitia wapi na lilipita saa ngapi..lenyewe lina scan barabarani tu.
 
Nchi ilikuwa chini ya ulinzi wa CIA,hawa polisi wetu waligeuka migambo
 
Polisi wa Bongo nguvu nyingi akili kidogo.
 
"Tanzania bila uchafu kumbe inawezekana,

Yoo Jakaya mualike tena Obama,

Japo ujio wake kwa wengine ni lawama,

Walalahoi wenzangu mishe zao zinakwama,"

Nay Wa Mitego - Salamu Zao.
 
Utabiri wa hali ya hewa upo toka miaka ya awali huko au a quick google search inakuonyesha a 10-days weather forecast na 2013 google tayari ipo kila kona. Hii ni chai.

Kikubwa ni kwamba DSM yote ilipuliziwa dawa ya mbu, mbu wote waliisha zile siku kadhaa hadi Obama alipoondoka bongo ikarudi kwenye default settings mbu, nzi, kunuka.
 
Mwaka juzi tuliambiwa kuna tsunami tutoke maeneoya karibu na bahari,tulifunga ofisi saa sita,mpaka leo tsunami haijaja,mara kadhaa watabiri wanapredict uongo,mwaka huu tu walisema mvua za vuli zitaanza septermbermwishoni.mara october mwishoni,jana imenyesha mvua mwanza haijakata mpaka leo.hawako accurate
 
Ndo maana unaitwa utabiri wa hali ya hewa kwa kimombo the weather forecast. Hii ndo kazi pekee unayoweza kutoa boko repeatedly na bado ukaendelea kuwa na kibarua chako.
 
Ndo maana unaitwa utabiri wa hali ya hewa kwa kimombo the weather forecast. Hii ndo kazi pekee unayoweza kutoa boko repeatedly na bado ukaendelea kuwa na kibarua chako.
Ila kwa wenzetu accuracy rate yao uko vizuri,ukitoa boko sana mji mzima ukabeba miavuli na lisipige hata tone la mvua Kazi unayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…