Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Umeona eeeh? Halafu huyo mtoto wa hamisa mwenyewe hata sioni km wanafanana na mondi, bora hata Nillan mdomo.
 

Zari ni member hapa JF??
 
Mmh aiseee mna maneno makali kisa dini,dai mwenyewe wa zinaa hivyo ngoma droo. Acheni kuhukumu hivyo wakuu daah
Hapana siyo maneno makali Ndio ukweli huo ulio sahihi. Mtoto yoyote aliyezaliwa nje ya ndoa ni haramu kwa baba yake iwe Mimi au mwingine.
 
Nimewaza why Diamond anafanya ubinadamu huu kwa Zari
Mange hawafahamu wanaume! Mwanaume wa kweli lazima atafimchia mwanamke/mke wake jambo kama hilo!!! Hata baba zetu humu majumbani huwa wanafahamu kwamba huyu na yule sio wangu lakini kwa kumsitiri mkewe, wanaamua kuuchuna!!!!

Mwanaume hawezi kuonaa aibu eti kisa amelea mimba isiyo yake manake kuna wanaume kibao tu wanalea mimba ambazo sio zao!!
 
Habar za Instagram waachie akina GIGGY money.
Unatafuta umaarufu huku GT's?
Tutakupuuza tu.
 
MTOTO WA MWENZIO NI WAKO, DIAMOND AMLEE TU NILLAN, MBONA YEYE ALIMPORA ZARI KWA IVAN
 
Umesahau kumpa credit [HASHTAG]#mangekimabi[/HASHTAG]
 
mkuu karibu hapa ndio celebrities, ukitaka ujasiliamali twende nikupeleke mahali husika....
hapa ni habari za celebrities tu....
Au akitaka Siasa pia mpeleke Jukwaa lake,
Kaja kufanya nini huku??
 
Miaka miwili mtu ajaingia jikoni halafu unasema una mpenzi? Bora niwe nanunua.
 
Watu bwana wakati wa tiffa walikua wanataka DNA sasa hv tifa ndio wa diamond ila nillan siyo wake
 
Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Kwa mujibu wa dini ya Dai hakuna hata mmoja hapo mwenye haki ya kurithi mali za Dai, na kwa mujibu wa dini ya dai Tiffah na Nillan wote wanastahili kumrithi baba yao kama wangekuwa naye baba wa kisheria..!!
 
Diamond kummega Zari, na wanawake wengine HAIWEZI KUWA STORY. Ni wanawake zake.

Huyo mtoto kuwa wa sio wa Diamond, haiwezi kuwa story pia kwa sababu wana maisha yao na matumizi ya huyo mtoto hayajampunguzia chochote Diamond kwa utajiri alionao.

STORY NI PALE UNAPOSIKIA DIAMOND KAMLAMBA KIDUME CHOCHOTE CHA PALE WCB. Angekuwa kamlamba Harmonize, Rayvanny au yeyote ndo ingevutia. Ila kama ni hao wanawake, acha ale tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…