Nime - bet nimeshinda milioni 18 naombeni wazo la uwekezaji

Niko moshi....... Iyo pesa ilikua ya pocket money kipindi niko fom six. Mm nimeuwa six mwaka huu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa ndo nimebahatisha 18m
Mkuu umebetia wapi mkuu kwa hapa moshi online au betting shop, maana moshi wana galsport na premier kama ni betting shop.
Kama upo moshi njoo hapa kahawa house.
 
Natamani hiyo stori ingekuwa ya kweli ili nicheke vizuri
Huyu naye ushamba wake umemfelisha, kama unabet bet kimya kimya ule. Sasa hazijui sheria za betting alafu anabet nini sasa.
Bet what you can afford to loose, kuna sheria lukuki zinazo husiana na betting.
 
Natamani hiyo stori ingekuwa ya kweli ili nicheke vizuri
Kuna ndugu yangu alichukua hela za kanisa akaenda kubet.. million 2.
Akaweka mechi 2,akaliwa.

Hadi Sasa haelewi atawaambia watu nini kuhusu hela zao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu naye ushamba wake umemfelisha, kama unabet bet kimya kimya ule. Sasa hazijui sheria za betting alafu anabet nini sasa.
Bet what you can afford to loose, kuna sheria lukuki zinazo husiana na betting.
Hapo lazima abadili dini
 
Online network....

Pesa unaiweka kwa mtindo upi? Unamtumia "usiyemjua" kwenye line yake au inakuwaje?

Tafadhali tueleza namna unavyoweka hiyo pesa ili itusaidie kujua wewe na sisi pia.
Utakuja kulia sasa hivi
 
Naomben ushaur jamani. nimebet jana nimeshinda 18m sasa sielewi hii pesa ni invest wapi ili iweze ku multiply.........

Msaada tafadhali [emoji257]
Weka mkeka hapa kwanza, vinginevyo ni chai tu huu uzi.
 
Tatizo lao moja hujikutaga watu wakusali kumbe ni wanafiki sana, huwa tu mimi kuna vingi sielewagi kwao.

Kuna ujenzi mmoja nilifanya wakanikazia kudadeki daaah hawalipagi pesa wadhulumati sana.
Ulijenga kanisa au msikiti?
 
Hivi unajua hesabu ya pikipiki kwa cku ni sh ngapi? Usimpoteze mwenzako kwa dili zisizo za maaana
 
Kama upo mjini , nunua bajaji mpyaa, ifanye bort, na uwendeshe mwenyewe kwa cku hutakosa 30-50 elfu, pesa inayobaki unaweza kutafuta eneo ukajenga, huku mengine yakiendelea
 
Sipo hapa kujadili chochote, tumekubaliana hii ishu haipo kwann unilazimishe kuijadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…