Nime furahi sana, baada ya kujua mpinzani wangu ana kwenda kufunga ndoa

Unaachana na mtu halafu huku unafuatilia maisha yake ni ushamba tu. Ongeza bidii uongeze Salio, mapeni, mpunga aka mifwedha
 
Hiyo ni declaration kuwa pasipo jamaa kupata kitu cha kumuondoa focus.. Ana unyama sana kiasi kwa mnanuhofia kwa hiyo kama kapata mke sahihi, inamaanisha atakuwa mkare zaidi 😁😁

Ila jamaa, kwa hiyo umeona ndoa ndio bad omen 😁😁😁
 
Moja ya dalili za mtu kuwa mchawi ni pale habari nzuri zinamuumiza na habari mbaya zinamfurahisha.
 
Mkuu sipo kwenye ndoa ila mbona point nyepesi sana

Kwamba unachoamini kila mtu akiingia kwenye ndoa anakula za uso ???
Hujui kuna watu wanapata soulmates zao na mambo yanaenda shwanga kabisa
 
Nilipo enda likizo, nae pia ali shangilia na hadi ali omba nipotee njia ya kurudi .

Ndoa kwa sasa ni heavyweight championship, halafu wana ndoa ni welterweight boxer's πŸ˜‚πŸ€£
 
Kwa angle flan nimemuelewa huyu jamaa, Mara nyingi wanaume waliojitafuta hadi wakajipata kwenye biashara siku akija kuoa ile aggresivenes kwenye biashara itapungua kama hatashuka bas atamaintain ile level aliyopo wakati anaoa.

Hii huwa tofauti na wale ambao walifanikiwa kibiashara tayari wakiwa na ndoa zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…