Nime furahi sana, baada ya kujua mpinzani wangu ana kwenda kufunga ndoa

Nime furahi sana, baada ya kujua mpinzani wangu ana kwenda kufunga ndoa

What a surprise!!!! (Leo ni kinge tu kama DC)
Haujawahi kuoa, ila umesimuliwa hadi umeona ndoa ni majeraha......na hadi umeona itakua fair kwa biashara yako, yani kaoa yeye ila biashara yako itanyooka, oooh pole sana.

Basi sawa tuendelee na no reforms no election.
Hii ni maajabu😄😂😂
 
wakuu zenu Dua, maana naona it's my turn to rule the game.🔥🔥🤣🤣🤣🤣
Kwa bongo mara nyingi ukisikia "vi dili" huwa ni wizi, alafu baada ya miaka kadhaa ofisi inafungwa, waajiriwa wanarudisha makwao. Then wanaanza kulalamika ukosefu wa ajira.
 
Kwa bongo mara nyingi ukisikia "vi dili" huwa ni wizi, alafu baada ya miaka kadhaa ofisi inafungwa, waajiriwa wanarudisha makwao. Then wanaanza kulalamika ukosefu wa ajira.
Nime cheka Sana, bro kwanini ofisi zifungwe sasa 😂🤣
 
Back
Top Bottom