MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Stupid businessman umeongea pumba. Kama wanaelewana hao wanandoa watakuja kukumaliza kabisa kibiashara. Kama alikuwa mwenyewe ukamshindwa sasa wanakuwa wawili.... moto lazima ukuwakie.
Mi mweusi, nashukuru jf love connect ilinipa mme.....Bro unge kuwa mweupe wange kutolea ng'ombe 30, Kama siyo kukuibia😂🤣
Sawa mama Samia, ishi sana ila waachilie anko lisu na usi msumbue pastor gwajima.Stupid businessman umeongea pumba. Kama wanaelewana hao wanandoa watakuja kukumaliza kabisa kibiashara. Kama alikuwa mwenyewe ukamshindwa sasa wanakuwa wawili.... moto lazima ukuwakie.
Hongra bro, ila ngoja mme na bro wapi na wapi 🤣😂Mi mweusi, nashukuru jf love connect ilinipa mme.....
NaamHatari sana
Si walifanya vi dili ambavyo kimsingi ni kuiibia ofisi? .......then ofisi ikafirisika na kufungwa. Waajiriwa wakarudi makwao wakaanza kutafuta namna mpya ya kuishi.Nime cheka Sana, bro kwanini ofisi zifungwe sasa 😂🤣
Poa vip mkuu ndugu yanguOya bro haji manara niaje?
Niko poa sijui wewe best of the bestMambo ni poa, unaendeleaje?
Niko poa ba parokwo baridi tu linaninyoosha.Niko poa sijui wewe best of the best
Pole sana baridi kwa sasa ni kila kona ya nchi mpaka huku simiyu inatupiga kweli kweli.Niko poa ba parokwo baridi tu linaninyoosha.
Hii haitofungwa mkuu, labda kodi zizidi ndio tuta badilisha jina.Si walifanya vi dili ambavyo kimsingi ni kuiibia ofisi? .......then ofisi ikafirisika na kufungwa. Waajiriwa wakarudi makwao wakaanza kutafuta namna mpya ya kuishi.
Kwema kabisaz mkuu ndugu yanguPoa vip mkuu ndugu yangu
Jambo la heri sheikh ubwabwaKwema kabisaz mkuu ndugu yangu
Kila la kheri mkuu.Hii haitofungwa mkuu, labda kodi zizidi ndio tuta badilisha jina.
Kheri iwe kwetu sote mkuu.Kila la kheri mkuu.
Ooh sorry ilinipa mke, nchi ina mambo mengi sana hiiHongra bro, ila ngoja mme na bro wapi na wapi 🤣😂
Pamoja sana, wakuwekee nini?Jambo la heri sheikh ubwabwa
Waniwekee ngoma kali ya suwiiiiiiiiti melodiiiiiPamoja sana, wakuwekee nini?