secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kuoa siyo kitu kibaya hata siku kidogo kwa maana hata sisi tumetokea kutokana na ndoa (ya wazazi wetu).Ndege unasemaje juu ya hii mada? Kuoa ni kubaya?
Kuoa siyo kitu kibaya hata siku kidogo kwa maana hata sisi tumetokea kutokana na ndoa (ya wazazi wetu).Ndege unasemaje juu ya hii mada? Kuoa ni kubaya?
Kulala mapema jau 😂Kulala sio dhambi kijana 🤣
We fala kweli labda wakuchezee wewwHaina noma, wata kuwekea usijali. Na wakuchezee kabisa ili usi hangaike ehh?
Hii huwa ni one in a million, ndoa kwa zama hizi ni liability 🤣😂Kwani ndoa ni mbaya?? Mimi na miaka mingi nipo kwenye ndoa na tuna prosperity Mimi na wife na familia tote kwa jumla.
Mkuu bado huja wajua wanawake vizuri, hebu oa ili ulete mrejesho.Duuuh mkuu huo ni uoga wa maisha.
Na kuoa sema nyie mnapenda kuoa ma slay queen wa mjin wanaojua kila kitu na wakutoka nao out.
Wanawake wapo vijijn bdo vilaza kabxa, unamchukua unamweka ndan, ila umwandalie mazingra ya kutokujuana sana na majirani watampa shule.
Usiogope kuoa, mwenzio hapo akioa anaweza akapga hatua mbele zaidi kama mwanamke yupo good.
Pia unachofanya wew hapo ni mtafutaji, cku ukija kuoa hutamwamin mkeo kabxa.
Mda wote utahis anataka kukuiba au kukuangamiza ili amiliki mali.
Ila mwisho kuoa ndo UANAUME, Unakua umepevuka.
Wewe utakua umekutana na vitu vizitooooHii huwa ni one in a million, ndoa kwa zama hizi ni liability 🤣😂
Hiyo saa 6 -9 Nilikuwa nje tuna celebrate na wana, si una jua weekendKulala mapema jau 😂
Kwanza sija oa au kuwahi kuoa, so hivyo vitu vizito sija kutana navyo.Wewe utakua umekutana na vitu vizitoooo
TunainjoiKwanza sija oa au kuwahi kuoa, so hivyo vitu vizito sija kutana navyo.
Pili research ina njia nyingi, Kuna Ile ya kuangalia, kusikia taarifa zenyewe kutoka chanzo husika, na ku participate.
Last, nyuzi za vilio kuhusu ndoa huzi onagi ehh?
I mean no malice to nobodyTunainjoi
nime sema sio kwa ubaya 😂🤣We fala kweli labda wakuchezee weww
I mean no malice to nobodyJamaa ana hoja asikilizwe
Divorce rate ni kubwa sana kwa ndoa za miaka ya alfu 2I mean no malice to nobody
No malice to you too😊☺️I mean no malice to nobody
True sisi wengine maturity imekua kubwa beyond reasonable doubt tumeweza KUISHI NDOANI muda Sasa despite all odds in life kama financial constraint, kupungua kwa vitu vilivyo waunganisha na mtazamo.Divorce rate ni kubwa sana kwa ndoa za miaka ya alfu 2
kwa para hii..wewe ni mhuni na mshenzy wahed....fikia kipindi hadi tuki piga deal pamoja na wateja wao, basi mwamba ana kuja kutu mind miksa biti 2-3.
Hiyo unyama sana.Hiyo saa 6 -9 Nilikuwa nje tuna celebrate na wana, si una jua weekend
Sawa wakuchezee wewenime sema sio kwa ubaya 😂🤣