Nime gundua BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye ulengaji wa shabaha

Nime gundua BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye ulengaji wa shabaha

Mr Devil

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Posts
15,410
Reaction score
35,923
Kupitia misuko suko ya maandamano kuna jambo moja nime weza kuli gundua .

BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye kulenga shabaha na kulinda upotevu wa risasi , kwani wahanga wengi uki achilia walio pigwa risasi wakiwa wame lala chini wengi wame pigwa risasi za kichwa .
downloadfile-26.jpg



Ova and Out
 
Back
Top Bottom