Traviana Tray
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 546
- 457
nime wamis sana wanaume wa hum sjui kwanini
nime mis uchangamfu wenu.
nime mis uchangamfu wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa...nime wamis sana sjui kwanini
nime mis uchangamfu wenu.
Mkuu nimekuelewaMmhhhhhh , nilipokua mdogo tukienda kwa bibi tulikua tukitaka kukamata njiwa wa Jiran.. Basi tunapanga punje za mahindi, kuanzia nje mpaka ndan,,, so njiwa akifika, anaanza kudonoa punje moja baada ya nyingine moja mpaka anakuja kustuka Yupo ndan na mlango umefungwa !!
Ndio nayoyaona. Mimi sijakumis Mkuu.
Mmhhhhhh , nilipokua mdogo tukienda kwa bibi tulikua tukitaka kukamata njiwa wa Jiran.. Basi tunapanga punje za mahindi, kuanzia nje mpaka ndan,,, so njiwa akifika, anaanza kudonoa punje moja baada ya nyingine moja mpaka anakuja kustuka Yupo ndan na mlango umefungwa !!
Ndio nayoyaona. Mimi sijakumis Mkuu.
santeeeeHata mimi nimekumis sana
hahahaJamaani. Hivyo wanaume tu.
Haya ngoja waje mwaya na mie niwaone huo uchangamfu wao. Hahahaaaa.
hayaaNgoja waje
jamani mi mwenyewe nimeajiriwaJumatatu leo. Jumatatu ijayo Magu kashaachia Mzigo. Una timing kali
I'm a VirginiaUna hamu ya dushe mwaya?[emoji53][emoji53][emoji53]
yeeeasMkuu nimekuelewa
!!!!!!!!Usijal wanakuja Pm muda si mrefu. Wanaume twategeka sana ila warusha wanasema GASTUKA NAMACHALI KUNDESAA