Nime wamiss sana wanaume wa humu

Ww ndyo mwanamke wa kwanza kuni-miss,nakupenda sana Laazizi wangu,nakupenda hata kivuli changu kinajua,nakupenda shahidi yangu hackerchief yangu inayofuta machozi yangu sababu yako ww 'Paulinray'
Nakupenda sana mtoto mzur...nipo tayar kufa kwaajili yako,endelea kuni-miss baby wangu Paulnaray!
 
Bonjour
Nakupata tokea France niko na Mbappe
Kakumis pia
 
santeeeeeeee
 
paulina ray wewe mtaje tu usizunguke mbuyuuuuu. Mtaje tu shem wetu hapa na kwamba umemiss mambo yake kwa nini uzunguka kote huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…