monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Ww ndyo mwanamke wa kwanza kuni-miss,nakupenda sana Laazizi wangu,nakupenda hata kivuli changu kinajua,nakupenda shahidi yangu hackerchief yangu inayofuta machozi yangu sababu yako ww 'Paulinray'
Nakupenda sana mtoto mzur...nipo tayar kufa kwaajili yako,endelea kuni-miss baby wangu Paulnaray!
Nakupenda sana mtoto mzur...nipo tayar kufa kwaajili yako,endelea kuni-miss baby wangu Paulnaray!