Nimeacha damu yangu ughaibuni (Michigan, US) kisa ni ubaguzi wa rangi. Ushauri please

Mkuu tuwaache wafu wazikane, endeleza basi ile story ya pisi yenye sauti kama ya wema!
Sawa mkuu. Subiri siku za maombolezo ziishe. Nagombea urais 2025, naogopa wapinzani wangu wasije wakaanza kunidicredit kuwa sikuwa na utu kipindi cha msiba hivyo sipaswi kupewa majukumu mazito ya urais.
 
Dah, Mkuu siku za maombolezo unamaanisha siku 21? Acha masikhara bhana.
 
Naona jamaa aliweka hadithi zake za udsm Leo anahadithia ya ughaibuni watu wanajifanya wenyewe ndio wafukunyufu na kukomaza ubongo Kama kichwa Cha kambale ...

Kama unajikuta wewe mfukunyufu yaani unajua kupekenyua Mambo si ujitolee ukaisaidie serikali yako kumtafuta kigogo....?

Na nikuweke wazi kwa ujuaji wako huu wewe ni limbukeni Kama malimbukeni wengine yaani unajifanya staa kumbe poyoyo tu huna udasisi wowote ila unacho fanya wewe ni ujuaji.

Bila hata ya kuuliza ...huanda udsm alisoma hadi ngazi ya digree then mastars akaenda kuichukulia huko Michigan ....? Ila kwa ujuaji wako wa kipumbavu umefanya wote tukose story ..., Kwa sababu ya uwandawazimu wako.

Oi Kaka naomba msamaha kwa noaba tuletee story sisi wengine tumeipenda hivohivo achana na Hawa ma IT wa kuunga unga na kuja kutusumbua huku.kujifanya ma haker kumbe maushuzi tu....[emoji3][emoji3]
 
Watu tukubali tu yaishe hata kama ni chai so ni njia ya watu kutambua na kukuza vipaji vyao? Shida I'll wapi hata kama simulizi ni fiction, uhondo so uleule?
HakikaaaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Punguza hasira utaishi kwa rahaa ,lasivyo utakufa tukuzike kama khumbu[emoji28][emoji28]
 
Hilo jina nimelisoma "chawote"... Sijui ndo hivyo au nimeshaanza kulewa
... Ila nimefurahi umemtaja Mwajuma a. k. a Mwaju long ndala kipenzi changu
 
Waiting for next Episode
 
Nadhani huyu mwamba mmemdis sana. Mmefukua makaburi yake hivyo amepoteza confidence ya kuendelea na stori.
Asiogope, mbona na wewe walikuwepo watu wa aina hiyo lakini ulikuwa unawatoa knock out kwa hoja
 
Acha kutetea wewe,hoja hujibiwa kwa hoja na sio kuingia mitini,kama hataki kuulizwa awatumie die hard fans wake stori yake huko whatsapp ili hata ikiwa chai asiulizwe
 
Jamaa kala kona au?

Yaani Jf ina watu ambao ukiongea kidogo maisha ambayo hawawezi kuwa nayo basi wanamind kinoma..ila ukiongelea umaskini umaskini wala hata hawatii neno
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asiogope, mbona na wewe walikuwepo watu wa aina hiyo lakini ulikuwa unawatoa knock out kwa hoja
Stori ya Khumbu ni stori ya kweli ya maisha yangu na Khumbu hivyo wasingeweza kunitoa kwenye reli. Kwanza watu waliokuwa wanataka kunitoa kwenye reli walikuwa wanapambana na wasomaji, mimi nilikuwa hata sihangaiki nao.
 
Hahaaaaaaaaaa,sure mkuu,ulikuwa na watetezi wengi sana,inaonyesha jinsi gani stori yako iliwakolea,ila mkuu ile ndoto yako ya urais 2025 usiiache,anza sasa hv mchakato wa kuwa kada wa chama chochote cha kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…